Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Unatumia simple things to disuss complex things.
Nimekueleza kuwa imani ni kitu ambacho hakielezeki kwa misingi ya kisayasansi.
kama ni hivo unaposema hakuna Mungu umefuata misingi gani ya sayansi kufikia hitimisho hilo
kama sio kuamini tu?
Kuamini kuwa hakuna Mungu hatakama hayuopo kweli bila facts za kisayansi hiyo ni imani tu...
Sio imani hiyo ni rejection ya assertion inayodai Mungu yupo
 
Masuala ya dini ukitumia logic na facts kuya chambua utaumia kichwa mana yamejengwa kwenye stori na sumilizi ambapo kwa ulimwengu wa sasa yamebaki kuwa historia tu isiyo na ithibitisho.

Ndio mana wafuasi na viongozi wa dini hizi hawanaga majibu ya maswali magumu wanaoshi kuwa wakali na kusema unakufuru..

Kiufupi ili uziamini hizi imani inakubidi we zezeta fulani hivi uliyejitoa akili ili uwe mwamini..tofauti na hapo ni mwendo wa kupewa matumani na vitisho.

#MaendeleoHayanaChama
Kabisa lazima uwe mtumwa tu, ila tuishi tu maana tumezaliwa kwenye hizo imani hatajachagua bali tumechaguliwa
 
Kutoka kwa watu na sehemu walipo andika.

Nanukuu, kijana unaonekana huna marejeo ya uhakika.

Qatadah asked Anas ibn Malik, “Who memorized the Qur’an at the time of the Prophet?” He replied, “Four, all of whom were from the Ansar .Ubayy ibn Ka`b, Mu`adh ibn Jabal, Zayd ibn Thabit and Abu Zayd.”

In another narration, Anas said, “When the Prophet died, no one had memorized the Quran except four people: Abu Ad-Darda’, Mu`adh ibn Jabal, Zayd ibn Thabit and Abu Zayd.”

Apparently, the latter narration differs with the former in two things: (l) It signifies that only four persons amongst the Companions of the Prophet (peace be upon him) completed the memorization of the Qur’an during the lifetime of the Prophet (peace be upon him), and (2) it mentioned Abu Ad-Darda’ in the place of Ubayy ibn Ka`b.

Muslim scholars do not accept that only four from amongst the Companions memorized the Quran in the lifetime of the Prophet (peace be upon him`), basing their opinion on the view that Anas ibn Malik (may Allah be pleased with him) said this according to his own knowledge. Moreover, `Abdullah ibn `Amr said, “I heard the Messenger of Allah say,

‘Learn the Quran from (any of these) four individuals: Abdullah ibn Mas`ud, Salim the freed slave of Abu Hudhayfah, Ubbay ibn ka’b, and mu’adh ibn jabal.

Mwisho wa kunukuu.

Unajua kama Zayd bin Thabit alikuwa amehifadhi yote ? Na yeye alikuwa amekufa ?
Sasa hao uliowataja, walikuwa wana kumbukumbu ya vifungu vichache na sio Quran nzima

Kama walikuwa wamehifadhi Quran kichwani kwanini iliwahitaji kwenda sehemu tofauti tofauti kutafuta masalia ya verses mpaka kwenye mbavu za wanyama waliokuwa wamechorwa maandishi hayo?

Huyo Zayd bin Thabit ndio alikuwa editor au secretary wa muhammad na ndio mtu wa kwanza kutafutwa na Abu Bakr baada ya kuhofia Quran kuweza kutoweka

Kama alikuwa Zayd bin thabit alikuwa amehifadhi Quran yote kwanini walitafutwa na wengine waje wasaidiane?

Na hao waliotafutwa kwanini hawakutoa hizo aya kichwani na badala yake wakaingia mitaani kuangalia kwenye nguo, mapanga, ubavuni kwa wanyama na kwenye magone ya miti?
 
Kijana inakuwaje unauliza maswali ambayo nimeshajibu ? Qur'aan ilikuwa imehifadhiwa katika vifua vya watu na imeandikwa sehemu mbali mbali, kilichofanywa na maswahaba ni kuikusanya na kuiweka katika mfumo wa kitabu kimoja ili iwe marejeo kwa wengine.

Unauliza maswali ya kitoto sasa, sababu ilikuwa ni watu kufa na ilikuwa haijawekwa sehemu moja kama kitabu.

Yaani Qur'aan ilikusanywa haikuandikwa upya kwa maana kitu kipya bali ilikusanywa na kunakaliwa na kuwekwa katika kitabu kimoja.
Mtu anayejua chorus ya wimbo wa "Dax my last words" hawezi kuhesabiwa kama ni mtu ambaye anaujua wimbo mzima

Hao unaowaita maswahaba walikuwa wameshika some verses ambazo hazikuwatosha kuweza kutoa kitabu kimoja kilicho kamilika

Nimekuuliza swali hapo

Kulikuwa na haja gani ya wao kuhangaika kutafutiza maneno sehemu tofauti tofauti ilihali wao walikuwa wamei master Quran yote kifuani?
 
Hata hiyo sayansi bado haina majibu
Sayansi haina majibu sio kwenye ishu ya Mungu tu

Haina majibu kuhusu unicorn, thor, spiderman, tea pot inayo orbit kwenye jua nk.
 
Kwanini umuulize wakati kanuni imejitosheleza?

Kwanini hoja ambayo ilitumika kuelezea Mungu uliikubali bila kuuliza wakati ilitumia the same principle?
Hiyi kanuni imewekwa na nani ? Naona uniwekea maneno mdomoni.

Hoja iliyotumika ilitumiwa na nani ? Wewe ulitusemea uongo kwa mambo ambayo sisi hatuhoji kama uliandika mtiririko wajo wenye kufata misingi ya logic. Mimi nikachukua fursa ya kukusahihisha sasa unaposema inabidi ukiri wewe ulikuwa unaandika uzushi kwetu sisi na si jukumu langu hilo.
 
Kwa hiyo kina Abu bakr walikuwa wana compile Quran gani tena wakati tayari ilikuwepo?
Soma vizuri lako ulilo niuliza. Kuna kukamilika na kuna kukusanywa hivi ni vitu viwili tofauti, nimejibu swali lako ka kukamilika.

Kingine, usije kusahau kujibu maswali yote niliyo kuuliza tangu hapo mwanzo, maana naona umenogewa tu kuuliza maswali na mimi nakujibu maswali yako, nakukumbusha tu maswali yangu yote niliyo kuuliza usisahau kuyajibu.
 
Kwasababu hakipo

Ngoja hapa chini nimekuwekea mfano ambao nimeu bold kwa maandishi ya rangi nyekundu ili uone vizuri
Hiyo process ya kufikia conclusion kuwa hakipo ni ipi? na ni personal au universal?
Au nikiamua tu naweza kusema hakipo.
 
Tushayaongea haya, inashangaza siku iz kila siku mijadala yaimani haikomi humu JF,na huu ndio wakat sahihi wa watu kuujua ukwel, apart from dini.

Huyo Mungu wa dini ambaye analazimisha umjuw kupitia mafunzo ya dini&kusoma vitabu huyo sio Mungu bali stori tu.

Kuna maswal mpka leo hakuna yeyote awezaye kuyajibu kama akili yake imebase kwenye hayo mastory yasiyo na uthibitisho.

Jiulize huyo Mungu wenu wa uongo wa ukristo na uislamu, bila mkoloni kuja mungemjua huyo Allah sjui jesus/Elohim? Mungemjua kwel?

Ni muda mrefu dunia imepitia tangu ule wakat mnaouita uumbaji, zaid ya maelfu ya miaka imepita, lkn chaajabu uyo Mungu wenu wa dini kaja kujifunua Afrika na kwa nchi za mtu mweusi miaka ya karbuni tu hiv kama 400 iliyopita mbali na maelfu ya miaka [emoji23][emoji23] jibu swal huyo pimbi wenu alikuwa wap muda woote uo kuja Afrika kujitambulisha ili tumjue? Je wale wazee waliokufa before hiz imani hazijaja waliabudu nni?

Shahidi hivyo vitabu vyenu mnavyoita vitakatifu, ilihali vimejawa uongo na stor za kujipinga.

Vitisho na uongo ndvyo vimejawa ktk hivyo vitabu, ambapo wengi wanaosoma hayo mastori hulazimika kuamini kwa lazima bila kuhoji kwakuhofia hukumu ya moto, huu ni Upumbavu kbsa.

Huwez kumthibitisha Muumba wa kwel kupitia maandiko maana dunian kila taifa na jamii zina imani zao ambazo zinaamin ktk Uungu mpka wanaoamini ngombe&sanamu ni miungu, je maneno yao tunaweza proof kuwa sahihi sabbu yamekutaka uamin?

Yapo mengi ya kuprove uwepo wa Muumba wa kwel, na haya ukiyatumia kupima Uungu wa hao wasadikika wa Quran & Bible utagunduakuwa hiyo miungu haipo, bali ni stori za wahuni wa kizungu&arabu walioamua kutumia nguvu za ushirikina &mashetan kwa kuyageuza Miungu tokea ktk tamaduni zao na kuforce jamii zingine ziamn kilazima.

Fuatilia kipindi cha uenezi wa hizo injili na dini, mamilion walkufa sabbu ya dini, je ukowapi Upendo wa uyo Mungu wenu wa mchongo??

Jesus, Allah,jehiva, elishadai, elohimu hawa wote ni mashetan ktk uhusika tofaut na majina tofauti ambpo hutumia majina tofaut lkn mhusika ni mmoja.

[emoji117]Note: mungu wa dini zote ni mmoja& hayupo maana hana sifa za uumbaji.

Ukwel mchungu
View attachment 2139235
 
Hiyi kanuni imewekwa na nani ? Naona uniwekea maneno mdomoni.

Hoja iliyotumika ilitumiwa na nani ? Wewe ulitusemea uongo kwa mambo ambayo sisi hatuhoji kama uliandika mtiririko wajo wenye kufata misingi ya logic. Mimi nikachukua fursa ya kukusahihisha sasa unaposema inabidi ukiri wewe ulikuwa unaandika uzushi kwetu sisi na si jukumu langu hilo.
Kanuni nimeiweka mimi kuonesha namna gani haifai kwasababu ina circukar reasoning

Ila wewe ukanipinga kwa kusema iko vizuri na imeekezea kwa usahihi

Sasa nashangaa saizi baada ya mimi kuitumia kwenye jambo ambalo linapingana na imani yako umeanza kuiwekea vikwazo na kuonesha haifai

Wala usinipe lawama wakati hapa tu unaonesha kuipinga kanuni hiyo

Hapa una option mbili

1. Ukubali kua msingi wa kanuni hiyo ina logical contradiction na haifai, ili ujiweke kwenye nafasi ya kutomkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako

2. Na kwasababu utakuwa umechagua option namba 1 basi automatical utakuwa umepinga hoja ya uwepo wa Mungu uliyoonesha kuikubali mwanzo ilivyotungwa kupitia kanuni hii
 
Tushayaongea haya, inashangaza siku iz kila siku mijadala yaimani haikomi humu JF,na huu ndio wakat sahihi wa watu kuujua ukwel, apart from dini.

Huyo Mungu wa dini ambaye analazimisha umjuw kupitia mafunzo ya dini&kusoma vitabu huyo sio Mungu bali stori tu.

Kuna maswal mpka leo hakuna yeyote awezaye kuyajibu kama akili yake imebase kwenye hayo mastory yasiyo na uthibitisho.

Jiulize huyo Mungu wenu wa uongo wa ukristo na uislamu, bila mkoloni kuja mungemjua huyo Allah sjui jesus/Elohim? Mungemjua kwel?

Ni muda mrefu dunia imepitia tangu ule wakat mnaouita uumbaji, zaid ya maelfu ya miaka imepita, lkn chaajabu uyo Mungu wenu wa dini kaja kujifunua Afrika na kwa nchi za mtu mweusi miaka ya karbuni tu hiv kama 400 iliyopita mbali na maelfu ya miaka [emoji23][emoji23] jibu swal huyo pimbi wenu alikuwa wap muda woote uo kuja Afrika kujitambulisha ili tumjue? Je wale wazee waliokufa before hiz imani hazijaja waliabudu nni?

Shahidi hivyo vitabu vyenu mnavyoita vitakatifu, ilihali vimejawa uongo na stor za kujipinga.

Vitisho na uongo ndvyo vimejawa ktk hivyo vitabu, ambapo wengi wanaosoma hayo mastori hulazimika kuamini kwa lazima bila kuhoji kwakuhofia hukumu ya moto, huu ni Upumbavu kbsa.

Huwez kumthibitisha Muumba wa kwel kupitia maandiko maana dunian kila taifa na jamii zina imani zao ambazo zinaamin ktk Uungu mpka wanaoamini ngombe&sanamu ni miungu, je maneno yao tunaweza proof kuwa sahihi sabbu yamekutaka uamin?

Yapo mengi ya kuprove uwepo wa Muumba wa kwel, na haya ukiyatumia kupima Uungu wa hao wasadikika wa Quran & Bible utagunduakuwa hiyo miungu haipo, bali ni stori za wahuni wa kizungu&arabu walioamua kutumia nguvu za ushirikina &mashetan kwa kuyageuza Miungu tokea ktk tamaduni zao na kuforce jamii zingine ziamn kilazima.

Fuatilia kipindi cha uenezi wa hizo injili na dini, mamilion walkufa sabbu ya dini, je ukowapi Upendo wa uyo Mungu wenu wa mchongo??

Jesus, Allah,jehiva, elishadai, elohimu hawa wote ni mashetan ktk uhusika tofaut na majina tofauti ambpo hutumia majina tofaut lkn mhusika ni mmoja.

[emoji117]Note: mungu wa dini zote ni mmoja& hayupo maana hana sifa za uumbaji.

Ukwel mchungu
View attachment 2139235
Naona umetaja ukweli lakini huo ukweli siuoni sehemu yeyote kwenye andiko lako..
Unasema hizo wanazoamini ni story sawa, hii ya kwako pia kwanini sio stori?
Kusema kuwa stori ndio haiwi stori? unatofauti gani na vitabu vya dini wanavyosema ni vitabu vya Mungu
kwa sababu vimeandikwa ni vitabu vya Mungu?
 
Sasa hao uliowataja, walikuwa wana kumbukumbu ya vifungu vichache na sio Quran nzima

Kama walikuwa wamehifadhi Quran kichwani kwanini iliwahitaji kwenda sehemu tofauti tofauti kutafuta masalia ya verses mpaka kwenye mbavu za wanyama waliokuwa wamechorwa maandishi hayo?
Hao walihifadhi Qur'aan yote kwa mujibu wa lahaja fulani, ndiyo maana hapo baadae akaja swahaba mwingine kutoa ushauri wa kuzikusanya lahaja zote saba ziwepo katika nakala moja.

Kwahiyo iliwawajibika wakusanye kwa wengine na kujua aya hii ipo katika sura gani na ile ipo wapi na hii ilishuka wakati gani na ile ilishuka wakati kwahiyi si jambo la mtu mmoja pweke.
Huyo Zayd bin Thabit ndio alikuwa editor au secretary wa muhammad na ndio mtu wa kwanza kutafutwa na Abu Bakr baada ya kuhofia Quran kuweza kutoweka
Ametafutwa yeye kwanza sababu mtume alimtumia katika uandishi wake, na huu ulikuwa mwenendo wa maswahaba kuyafanya kama yale aliyo yafanya mtu wasiyakiuke, mfano mzuri kama vile Mtume alivyo mteua kijana mdogo kuongoza jeshi aitwae Usana bin Zayd baada ya Mtume kufa likapita shauri wamtoe katika bafasi ile lakini swahaba Abubakr alikataa shauri hilo, akasema "Siwezi kumtoa mtu katika nafasi hiyo ambaye aliwekwa na mtume". Kwahiyo walifata yale aliyo yafanya mtume.
Kama alikuwa Zayd bin thabit alikuwa amehifadhi Quran yote kwanini walitafutwa na wengine waje wasaidiane?
Kijana elewe Qur'aan iliteremka katika lahaja saba ni ngumu mtu mmoja kuhifadhi lahaja zote hasa kwa wakati ule ambao haikuwa katika nakala moja. Jaribu kusoma uelewe kuna maswali unauliza marahisi sana kiasi ambacho laiti kana ungetuliza akili yako usingeuliza.
Na hao waliotafutwa kwanini hawakutoa hizo aya kichwani na badala yake wakaingia mitaani kuangalia kwenye nguo, mapanga, ubavuni kwa wanyama na kwenye magone ya miti?
Wapo walio kuwa wamehifadhi aya baadhi, na hawajui inakaa katika sura gani na wapo ambao walijua aya fulani mtume aliwaambia ikakae katika sura fulani, ndiyo maana ukisoma katika Qur'aan utakuta katika sura moja kuna aya fulani iliteremka mtume akiwa madina na nyingine akiwa Makka lakini zote zipo katika sura moja.

Kwahiyo unakuta fulani ameihifadhi aya ila hakuhifadhi inakaa wapi, kwahiyo wapi ambao waliziandika na kuziweka katika sura fukani kwa maelekezo ya Mtume. Kijana hii mada nilikwambia usome kwanza ndiyo uanzishe ona unauliza maswali ambayo yanaonyesha wazi umekurupuka katika hii mada.

Naomba nikuulize swali rahisi maana naona kama unanichosha sasa hivi habari za kuhusu Qur'aan umezisoma katika kitabu gani ? Nataka tuokoe muda.
 
Back
Top Bottom