Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Mimi nimeona hakuna...
Always niko rational na objective siko biased kama unavyodhani.
Kwa hoyo wewe ukiona hakuna inakuwa kweli hakuna?

Una namna nyingine yeyote ya kunithibitishia kua haiyo maneno hayapo?
 
Unajitoa ufahamu wakati mimi ndio niliyeandika

Umesema "nimeona hakuna"

kwa hiyo wewe ukiona hakuna, inakuwa kweli hakuna?
Stop wasting time mkuu..
Jibu lako liko vague halieleweki..
Nimekuuliza unafikiaje hitimisho kuwa kitu flani hakipo?
Naona unarukaruka kama maharage kwenye chungu.
Else huna jibu kalale.
 
Hili hakuna msomi wa dini anae pinga, swali la uongo ni hayo madai yako unayoyaleta kwamba sehemu kubwa haikupatikana, naomba ututhibitishie hili sababu kila kitu kimehifadhiwa. Yaani unavyo andika unaonekana huijui Historia ya ukisanywaji wa Qur'aan. Hapa itabidi ujibu maswali nayo kuuliza.
 
Stop wasting time mkuu..
Jibu lako liko vague halieleweki..
Nimekuuliza unafikiaje hitimisho kuwa kitu flani hakipo?
Naona unarukaruka kama maharage kwenye chungu.
Else huna jibu kalale.
Usinambie sina jibu kwa matatizo yako binafsi ya macho

Nimekuwekea jibu umesema huoni, sasa usini accuse kwa vitu ambavyo tayari nimekujibu na unalazimisha ionekane hujajibiwa
 
Post za nyuma nimeambatanisha vitabu kama uthibitisho go read ndio uje u argue
 
Cha lugha asili ndiyo bora zaidi.
Hovyo_mkiishiwa hoja ndio kicha ka chenu

Lugha mbovu kama hiyo watu wakiongea kama yanaongea makunguru nani ajifunze.!

Mdau kakupa mpaka translation ya kitabu kwa faida ya wote bado unakataa

Unafanya vituko mpaka tunadhani dini na vitabu vyenu kama fani ya uchawi mpaka unywe damu na kula nyama ndio ufundishwe..kwamba hakuna mbadala.!
 
hivi wakuu Kisai Scars mna muda wa kutosha sana wakubishana haya mambo wakuu mpo vizuri.

Mimi nachoelewa ukikua kwa jamii inayoamini kitu flani utakuwa ivyo ivyo ukiona icho kitu umekiacha na kufuta kingine ujue ukulelewa vizuri navyoelewa
ukitoka kwenye familia ya waislam asilimia 90 utakuwa muislam ukizaliwa kwenye familia ya wakristo asilimia 90 wewe utakuwa mkristo tu.

Kwaiyo wengi tu kwenye hizi imani na dini kufatana na ulipo zaliwa na kukulia.
 
Kuzaliwa na kukuta tamaduni inayofanya jambo fulani sio kigezo cha kuzuia kupata maarifa mbadala wa nini jamii zingine zinasema kuhusu tamauni yako


Zipo habari kuwa huko juu kwenye elimu ya mapadre huwa wanafundishwa hadi Quran na hoja za upande wa critics, unaweza kujiuliza elimu hizo zina maslahi gani kwa fani yake ya upadre

Nilichokuwa najaribu kumuambia huyo mdau ni kuwa zipo habari lundo za kihistoria zinazoonesha dosari ya Quran

Na critics wa kwanza wa Quran hawakua wakristo au atheists, walikuwa ni waislamu wenyewe na wengine walikuwa ni watu wenye tittle kubwa kwenye dini
 
Kutokuwa na imani inapogeuka kuwa ndio hali ya msimamo wako wa moja kwa moja hiyo tuiitaje? yani mtu anafahamika kabisa kwamba yeye msimamo wake ni kupinga kuhusu kitu fulani kabla hata hujamueleza chochote ila yeye keshaweka msimamo kabisa kuwa hakubaligi hicho kitu.
 
Tangu lini kisichopo kikathibitishwa hakipo?
Kuna tofauti ya kisichopo na kinachodaiwa tu kuwa hakipo, leo hii karibu wote tunajua kuwa Magufuri hayupo ameshafariki lakini wakati wa uhai wake ameshawahi kuzushiwa kufa kwa maana watu walidai kafa(kisichokuwepo) ila baada ya muda alionekana.
 
Kuamini sio tatizo mkuu hata kwenye sayansi tunaamini nadharia mbalimbali, ingekuwa vizuri ukathibitisha kuwa hicho wanachoamini ni batili kama kuthibitisha kuwa huko angani hakuna huyo wanaeamini kuwa yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…