Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kinachoendana na swali enewei tutuiite siku.Haina chochote kwa maana ipi?
Mimi nimeona hakuna...Sio kweli kama hakuna, ila hujataka kuukubali ukweli ambao nimeuweka kwasababu uta refute hoja zako
Kaisome hiyo post ya 73Kwa hoyo wewe ukiona hakuna inakuwa kweli hakuna?
Una namna nyingine yeyote ya kunithibitishia kua haiyo maneno hayapo?
Stop wasting time mkuu..Unajitoa ufahamu wakati mimi ndio niliyeandika
Umesema "nimeona hakuna"
kwa hiyo wewe ukiona hakuna, inakuwa kweli hakuna?
Usinambie sina jibu kwa matatizo yako binafsi ya machoStop wasting time mkuu..
Jibu lako liko vague halieleweki..
Nimekuuliza unafikiaje hitimisho kuwa kitu flani hakipo?
Naona unarukaruka kama maharage kwenye chungu.
Else huna jibu kalale.
Post za nyuma nimeambatanisha vitabu kama uthibitisho go read ndio uje u argueHili hakuna msomi wa dini anae pinga, swali la uongo ni hayo madai yako unayoyaleta kwamba sehemu kubwa haikupatikana, naomba ututhibitishie hili sababu kila kitu kimehifadhiwa. Yaani unavyo andika unaonekana huijui Historia ya ukisanywaji wa Qur'aan. Hapa itabidi ujibu maswali nayo kuuliza.
Hahaha!!!!! sawaUsinambie sina jibu kwa matatizo yako binafsi ya macho
Nimekuwekea jibu umesema huoni, sasa usini accuse kwa vitu ambavyo tayari nimekujibu na unalazimisha ionekane hujajibiwa
Hovyo_mkiishiwa hoja ndio kicha ka chenuCha lugha asili ndiyo bora zaidi.
Kuzaliwa na kukuta tamaduni inayofanya jambo fulani sio kigezo cha kuzuia kupata maarifa mbadala wa nini jamii zingine zinasema kuhusu tamauni yakohivi wakuu Kisai Scars mna muda wa kutosha sana wakubishana haya mambo wakuu mpo vizuri.
Mimi nachoelewa ukikua kwa jamii inayoamini kitu flani utakuwa ivyo ivyo ukiona icho kitu umekiacha na kufuta kingine ujue ukulelewa vizuri navyoelewa
ukitoka kwenye familia ya waislam asilimia 90 utakuwa muislam ukizaliwa kwenye familia ya wakristo asilimia 90 wewe utakuwa mkristo tu.
Kwaiyo wengi tu kwenye hizi imani na dini kufatana na ulipo zaliwa na kukulia.
Kutokuwa na imani inapogeuka kuwa ndio hali ya msimamo wako wa moja kwa moja hiyo tuiitaje? yani mtu anafahamika kabisa kwamba yeye msimamo wake ni kupinga kuhusu kitu fulani kabla hata hujamueleza chochote ila yeye keshaweka msimamo kabisa kuwa hakubaligi hicho kitu.Nani anasema anaamini Mungu hayupo?
Atheism ni lack of beliefs, ukosefu wa kitu sio umiliki wa kitu
Kutokuwa na imani, sio kuwa na imani
Kutokuwa na hobby ya michezo sio aina flani inayokutambulisha kama ni mwana sport
TV Kuzima haihesabiki kitendo hicho kama ni channel ya TV
Atheism is not a belief system just like
Unemployed is not a some sort of Job
Naked is not clothing style
Kuna tofauti ya kisichopo na kinachodaiwa tu kuwa hakipo, leo hii karibu wote tunajua kuwa Magufuri hayupo ameshafariki lakini wakati wa uhai wake ameshawahi kuzushiwa kufa kwa maana watu walidai kafa(kisichokuwepo) ila baada ya muda alionekana.Tangu lini kisichopo kikathibitishwa hakipo?
Kuamini sio tatizo mkuu hata kwenye sayansi tunaamini nadharia mbalimbali, ingekuwa vizuri ukathibitisha kuwa hicho wanachoamini ni batili kama kuthibitisha kuwa huko angani hakuna huyo wanaeamini kuwa yupo.Watu wametafuta namna ya kujipa comfort
Wametengeneza uzembe tegemezi kwa kuendekeza mawazo waliyo jitengenezea kichwani wakiamini huko angani kuna jamaa mwenye midevu na nguo nyeupe
Jamaa ambaye muda wote hana kazi ya kufanya zaidi ya kuangalia nani kafanya dhambi nani hajafanya dhambi
Watu wamejikuta wakiwa watumwa kwa mawazo yao na kudhani jamaa huyo ili kumridhisha inabidi ukae na njaa (wanaita mfungo) utoe pesa (wanaita sadaka)
Halafu ikitokea kitu unacho wish hakijaenda ulivyotaka, hapo itahesabika kama jamaa anajibu maombi kwa wakati wake kwa hiyo uwe mpole
Ikitokea umefanya juhudi zako jambo likafanikiwa basi hapo itahesabika jamaa kajibu maombi yako
Ukiumwa, ni mpinzani wa huyo jamaa ambaye ana sifa ya mapembe na kila kitu kibaya kuwa anakujaribu
Unatakiwa umuombe jamaa mwenye uchebe aliyevalua nguo nyeupe ili akuepushe na mchizi mwenye pembe
Ikitokea umeomba na ukafa, basi huku tutasema jamaa mwenye uchebe na mavazi meupe alikupenda zaidi japokuwa mwanzo tulikuwa tunsmpa lawama mpinzani wake