Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Bahati nzuri sikuishia hapo, nilenda mbali zaidi kwa kukuwekea mifano ili niwe specific zaidi nika bold kisha nikaya highligt maneno kwa rangi nyekundu

Sasa tatizo liko kwako
Kwenye uwanja wa kujenga hoja ni sifuri..
Umesema huwezi kusema kuprove kitu kama hakipo kwa sababu hakipo..
Mi nimekuuliza unajuaje hakipo process unayofuata mpaka kusema hakipo ni nini?
Kama kunasehemu umejibu hilo naomba ucopy unionyeshe.
 
Kijana inaonekana nanachokiandika hukisomi na ile makala yako mengi haija andikwa na muandishi wa makala hiyo ndiyo maana hajaandika jina lake.

Qur'aan imeshuka katika lahaja saba na ina namna kumi ya usomaji. Japokuwa yeye alikuwa amehifadhi lakini alipaswa kuikusanya kutokana na lahaja zote zilizo tumika ndiyo maana huko baadae swahaba Hudhaifa alitoa wazo hilo la lahaja zote za Qur'aan ziwe katika nakala moja sababu Qur'aan ilishuka katika ndimi hizo saba za Waarabu, ili sisi tutakao kuja tusibabaike na wao kuihifadhi.

Sasa nashangaa kuona unarudia rudia jambo ambalo nimeshakujibu.

Kwa faida zaidi soma hiki kitabu cha Imamu Suyuti :
Sasa mbona una haribu mjadala kwa kunipa kitabu chenye version ya kiarabu?

Ushawahi sikia nasoma kiarabu?

Mimi nina translation version ya huyo huyo suyuti nakupeleka page kuanzia namba 60 hapo uatajionea zile Quote ambazo nilikupa mwanzo zenye madai yanayoonesha sehemu kubwa ya Quran haikupatikana
 
Attachments

Kuna hoja ya kuthibitisha uwepo wa Mungu, hoja ambayo imeegemea zaidi katika kutumia vitabu vya dini kama uthibitisho

Ni hoja ambayo ime base kwenye imani ya kusema Mungu amejidhihirisha uwepo wake kwa binadamu kupitia uumbaji au maandiko matakatifu.

Watu wamekua waki experience hayo maandishi kua yametoka moja kwa moja kwa mungu na kupitia experience hiyo wengi wanaamini kuwa wanawasiliana na Mungu directly.

Hiyo ni hoja ya kutoka kwenye ufunuo (argument from revelation) ambayo huusisha maandiko matakatifu (sacred text)

Kwamba
  • Imekuwa inspired na Mungu
  • Imeamuriwa na Mungu
  • Imeandikwa na kuongozwa na Mungu

Msingi wa hoja hii

  1. . Maandiko yanasema Mungu yupo (Quran)
  2. . Maandiko ni ya kweli kwasababu yameandikwa na Mungu au watu walio ongozwa
  3. . Nani aliwaongoza hao watu? (Mungu ndio alifanya hiyo kazi)
  4. . Mungu ndio chanzo na dhamana ya ukweli

HITIMISHO: Mungu yupo

**************
Hoja au uthibitisho wa namna hiyo haukubaliki na rational thinkers kwasababu una makando kando mengi (flaws) kuna matobo kibao kwenye hii raft ambayo umeitumia kujenga hoja yako

Tatizo la kwanza la hoja hii ni

LOGICAL PROBLEM OF FALLACY CIRCULAR ARGUMENT
Hii ni hoja ambayo inatumia assumption kwa kile inachotaka kuthibitisha na hii huchukuliwa kama moja ya hoja za kijinga na zenye udhaifu sana miongoni mwa hoja zinazojaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu

Ukiangalia hiyo misingi ya hoja hizi niliyoiweka hapo juu, namba 2 na namba 3 utaona zime contain hitimisho ndani yake

Hoja ilipaswa ikuongoze mpaka ikufikishe kwenye hitimisho na sio ku assume hitimisho ndani ya msingi wa hoja hiyo hiyo.

Kwasababu lazima ukubali kuwa kitabu hicho kimetoka kwa Mungu ili ukikubali kuwa ni cha kweli na sahihi kisha ukisha kikubali kuwa ni cha kweli na sahihi ukasoma ndani yake kuwa kuna Mungu na hivyo kuhitimisha kuwa kuna Mungu na huyo ndiye. Hicho ndicho ulichohitaji kufikiria ili kukubali kitabu hicho kuwa cha kweli na sahihi hapo awali.

Hii Circular Reasoning ya namna hii haiwezi kumshawishi rational ambaye yeye sio muumini wa Miungu/Mungu

ambulika kua ni maandiko ya kweli zaidi?
Mkuu, ni lazima kwanza uelewe maana ya neno imani, kisha ndipo uweze kutambua kwa undani kuhusu Mungu na maandiko yenye hadhi ya kuweza kutambulika na kuaminika kuwa yanatoka kwake.

Ni lazima kutambua ukweli ya kwamba, hasara kubwa ambayo binadamu anaweza kuipata na kuijutia kwa kusaga meni, ni jina lake kutokuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana Kondoo.

WAEBRANIA 11

1 Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona. 2 Maana ni kwa imani wazee wa kale walipata kibali cha Mungu.

3 Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vinavyoonekana vilitengenezwa kutokana na vitu visiv yoonekana.
 
Mkuu kwa mujibu wa wikipedia Imani ni kukubali jambo bila uthibitisho

Ukishapata ufahamu wa neno imani utagundua sio kitu rahisi kuweza kumjua Mungu kwa njia hiyo kwasababu haina uhakika ni ubahatishaji tu

Lakini pia imani ingekuwa ni njia ya sahihi inayoonesha ukweli wa jambo basi leo hii tungekuwa na dini moja yenye imani moja na Mungu mmoja

Kuwepo kwa imani nyingi zenye kuhitilafiana zenyewe kwa zenyewe ni ushahidi kwamba imani sio kipimo cha kujua ukweli wa mambo katika usahihi wake

Habari za WAEBRANIA 11 sio uthibitisho hayo ni madai ambayo yanatakiwa kuthibitishwa

Kutumia verse kutoka kwenye biblia kama njia ya kuni shawishi kwenye hoja zako itakuwa ngumu kama Muislamu anayejaribu kukuaminisha mtume muhammad ndiye nabii wa kweli kutumia verse za Quran
 
Kwenye uwanja wa kujenga hoja ni sifuri..
Umesema huwezi kusema kuprove kitu kama hakipo kwa sababu hakipo..
Mi nimekuuliza unajuaje hakipo process unayofuata mpaka kusema hakipo ni nini?
Kama kunasehemu umejibu hilo naomba ucopy unionyeshe.
Mbona unarudia nilichokueleza kua nimekijibu?

Kasome tena post namba 73 sehemu ambayo nime highlight maandishi kwa rangi nyeundu
 
Sasa mbona una haribu mjadala kwa kunipa kitabu chenye version ya kiarabu?

Ushawahi sikia nasoma kiarabu?

Mimi nina translation version ya huyo huyo suyuti nakupeleka page kuanzia namba 60 hapo uatajionea zile Quote ambazo nilikupa mwanzo zenye madai yanayoonesha sehemu kubwa ya Quran haikupatikana
Kutokujua Kiarabu siyo jambo langu mimi nimekipeleka kwenye kitabu cha asili, ili ujisomee.
 
Safi kabisa ile Quote naipata ukurasa wangapi kwenye tarjama ?
 
Kutokujua Kiarabu siyo jambo langu mimi nimekipeleka kwenye kitabu cha asili, ili ujisomee.
Kwani hakina translation version ya kingereza?
 
Cha lugha asili ndiyo bora zaidi.
kwa wanao ijua lugha, ila sio kwa wengine na ndio maana ziliwekwa translation kwa ajili ya kundi hili
 
kwa wanao ijua lugha, ila sio kwa wengine na ndio maana ziliwekwa translation kwa ajili ya kundi hili
Ukiwa na Translationa hakikisha una kitabu cha asili pia.

Almuhimu tujadili kilichomo kwenye hiyo Translation.
 
Nipe nukuu ya paragraph ya mwisho ya hiyo page
Unajua kwanini nilitaka uweke jina la kitabu ? Hii page ambayo ni ya 13 yaani ya 60 kwa simu, inaonyesha kipengele kiitwacho "Nasikh wa al Mansukh" yaani "Aya zilizofutwa na zilizofuta" hili zoezi alilifanya mtume mwenyewe ndiyo maana katika hii page haionyeshi ishara yoyote kama jambo hili lilitokea kipindi cha ukusanywaji wa Qur'aan.

Katika Qur'aan zipo aya zilizo futwa kwa amri ya Allah na zilizofuta kadhalika, haya yalifanyika mtume akiwa hai. Ukisoma fani za Qur'aan vipo vitabu maalumu kabisa vinaongelea jambo hilo.

Screenshot_20220305_214928.jpg

Tafuta kitabu hiki ili ujue ni aya gani zilifutwa na aya zipi hazipo kwenye Qur'aan ila hukumu yake ipo na inafanyiwa kazi mfano ni hiyo ya kuongelea adhabu ya mzinifu aliye kwenye ndoa.

at-tibiyan-fi-bayan-an-nasikh-wal-mansukh-min-al-quran-ibn-khayyat.jpg

Humo utakutana au utafahamu mambo haya :

  1. The definition of Naskh
  2. Evidence of the existence of abrogated verses, and rebuttal to those who deny this
  3. The different kinds of repeal in the Qur'an
  4. The census of all the repealed and abrogating verses, according to the order of the suras
Kingine najua hicho kitabu kwa lugha ya Kiingereza hujakisoma, ndiyo unajenga hoja kwa vitu usivyo vijua, nakushauri kisome katika lugha hiyo hiyo ya Kiingereza kisha kielewe.
 
Unajua kwanini nilitaka uweke jina la kitabu ? Hii page ambayo ni ya 13 yaani ya 60 kwa simu, inaonyesha kipengele kiitwacho "Nasikh wa al Mansukh" yaani "Aya zilizofutwa na zilizofuta" hili zoezi alilifanya mtume mwenyewe ndiyo maana katika hii page haionyeshi ishara yoyote kama jambo hili lilitokea kipindi cha ukusanywaji wa Qur'aan.

Katika Qur'aan zipo aya zilizo futwa kwa amri ya Allah na zilizofuta kadhalika, haya yalifanyika mtume akiwa hai. Ukisoma fani za Qur'aan vipo vitabu maalumu kabisa vinaongelea jambo hilo.

View attachment 2140335

Tafuta kitabu hiki ili ujue ni aya gani zilifutwa na aya zipi hazipo kwenye Qur'aan ila hukumu yake ipo na inafanyiwa kazi mfano ni hiyo ya kuongelea adhabu ya mzinifu aliye kwenye ndoa.

View attachment 2140338

Humo utakutana au utafahamu mambo haya :

  1. The definition of Naskh
  2. Evidence of the existence of abrogated verses, and rebuttal to those who deny this
  3. The different kinds of repeal in the Qur'an
  4. The census of all the repealed and abrogating verses, according to the order of the suras
Kingine najua hicho kitabu kwa lugha ya Kiingereza hujakisoma, ndiyo unajenga hoja kwa vitu usivyo vijua, nakushauri kisome katika lugha hiyo hiyo ya Kiingereza kisha kielewe.
Sijajua kwenye simu hali ikoje ila kwa PC hiyo ni page ya 61 na point yangu haikuwa hapo janpo napo hapo kuna mengi ya kuyaongelea

Sasa hii hapa page ndio ilikuwa lengo langu
1646507764045.png

Nakurudisha kwenye paragraph ya mwisho hapo ndio kwenye hoja yangu ilipo
 
Back
Top Bottom