Kama tayari zishaingia kwenye pi wallet na zipo kwenye available balance ndio zinaweza kuuzika, ili kuziuza fungua okx, kama huna account inabidi ufungue,Nipe mwongozo jinsi ya kuuza
Kama ni hivyo pi ingulikua price ipo chini ya 1 USD maana leo tu kwenye okx turnover ni 300M+ usd, lakini angalia resistance yakesasa hio inahusiana vp na PI kutokua scam? volume ilikua kubwa kwa sababu watu walikuja kuziuza price ikaenda chini ama huelewi maaana ya volume
Mchakato mgumu kama kuendesha gari uingerezaKama tayari zishaingia kwenye pi wallet na zipo kwenye available balance ndio zinaweza kuuzika, ili kuziuza fungua okx, kama huna account inabidi ufungue,
Bonyeza apo deposit crypto
View attachment 3246654
Halafu search pi, utaibonyeza
Halafu copy address
View attachment 3246655
Then fungua pi wallet, bonyeza pay/request
View attachment 3246658
Bonyeza manually add address, utajaza kiasi cha pi unazotaka kuzipeleka okx, hapo kwenye address utai paste ile address uliyocopy okx, tayari zitakwenda
Kwenye wallet inasoma 0Kama tayari zishaingia kwenye pi wallet na zipo kwenye available balance ndio zinaweza kuuzika, ili kuziuza fungua okx, kama huna account inabidi ufungue,
Bonyeza apo deposit crypto
View attachment 3246654
Halafu search pi, utaibonyeza
Halafu copy address
View attachment 3246655
Then fungua pi wallet, bonyeza pay/request
View attachment 3246658
Bonyeza manually add address, utajaza kiasi cha pi unazotaka kuzipeleka okx, hapo kwenye address utai paste ile address uliyocopy okx, tayari zitakwenda
Basi huwezi kuzitoaKwenye wallet inasoma 0
Una akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.Ha ha ha ha ha .
Hamna hasara kabisa, hamna hasara hata kwa mbali. Sasa kama mtu anakesha kwenye simu kucheza games ambazo hapati chochote, mtu anakesha online kusoma umbea ambao haumsaidii chochote na mtu ambaye leo hii kile alichokifanya ambacho kwa siku hakikuchokua zaidi ya dakika moja na anapata mpunga hapo mwenye hasara ni nani boss?
Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
Hivi wewe umekomaa mishipa ya shingo imekutoka,huamini kama Pi coins inauzwa na kununuliwa😃😁😆😆😆😆😆 wewe ni mpumbavu,sio hata mjingaUmeuza wapi ? njoo hapa tuthibitishie, otherwise inafanya bluffing tu hakuna lolote.
Usiuze Pi zako! Subiri zile DApps zianze kutumika! ukiuza hizo uta regret. baadae! Just relax achana na hao wasiojua White paper inasema nini! wale jamaa sio wajinga
Don't Sell
Nifanyaje ili niweze kuzitoa?Basi huwezi kuzitoa
Mimi nipo kwenye crypto tokea 2014, na mine, hold na kuzi stake, sifanyi trading maana kuna kipindi nilijaribu nikala hasara, pi nilitegemea kutokana selling pressure irudi mpaka 0.5 halafu ikae kwa muda kidogo lakini imenishangazaKila mwenye kusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu,mtu unauza Pi kwa $1.4,unashangaa siku unakuta Pi mon $30 pale,unaanz akuwalaumu waliohold😄😆😆
Ushakamilisha kyc au bado?Nifanyaje ili niweze kuzitoa?
Sawa Mrs Mpumbavu, njoo hapa na proof kwamba umeuza Pi, acha story yani hata Pi moja mmeshindwa kuja na proof.Hivi wewe umekomaa mishipa ya shingo imekutoka,huamini kama Pi coins inauzwa na kununuliwa😃😁😆😆😆😆😆 wewe ni mpumbavu,sio hata mjinga
Gate.io,OKX Hawa wote wameilist Pi coins Toka tarehe 20 mwezi huu,mainet ilivofunguliwa tu
Bitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.Una akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.
Lakini Pi ndio imeanza na sio kama ndio imefika mwisho,..........hatuwezi kushangaa siku Bei ya Pi Moja ikifika Dola 5,10 hata 100.......imagine mtu mwenye Pi 500 atakua na Bei Gani?
2015 kipindi Bitocoin Moja inacheza chini ya $1000 hakuna aliyejua kua Kuna siku itafika $100,000
Na mtu ukimuambia anunue anasema utapeli na anakua na hoja,sababu unakuta inashuka hadi $200 from $800 ndani ya mwezi TU😄😄
ila Sasa hivi MTU mwenye Bitcoin Moja ni mtu tajiri sana Kwa hela za kitanzania
Hata hio 1.5M uliyoipata baada ya kumine free Pi, useme ununue umeme kwenye nyumba Yako,hizo luku, utatumia kipindi mtoto yupo chekechea hadi anaingia form one ,ama useme ununue bando 1.5M ,mi binafsi hilo bando langu la miaka 5,.......
.....kinachowaumiza watu wengi ni kutochimba huku wakiamini ni "scam",kua huwezi kua haujaweka pesa,upate pesa😃😄😁lakini,wanaikuta Pi imeanza na thamani
Kama ni hivyo pi ingulikua price ipo chini ya 1 USD maana leo tu kwenye okx turnover ni 300M+ usd, lakini angalia resistance yakeView attachment 3246680
🤣 🤣 🤣 hutaamini kitakachotokeaUna akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.
Lakini Pi ndio imeanza na sio kama ndio imefika mwisho,..........hatuwezi kushangaa siku Bei ya Pi Moja ikifika Dola 5,10 hata 100.......imagine mtu mwenye Pi 500 atakua na Bei Gani?
2015 kipindi Bitocoin Moja inacheza chini ya $1000 hakuna aliyejua kua Kuna siku itafika $100,000
Na mtu ukimuambia anunue anasema utapeli na anakua na hoja,sababu unakuta inashuka hadi $200 from $800 ndani ya mwezi TU😄😄
ila Sasa hivi MTU mwenye Bitcoin Moja ni mtu tajiri sana Kwa hela za kitanzania
Hata hio 1.5M uliyoipata baada ya kumine free Pi, useme ununue umeme kwenye nyumba Yako,hizo luku, utatumia kipindi mtoto yupo chekechea hadi anaingia form one ,ama useme ununue bando 1.5M ,mi binafsi hilo bando langu la miaka 5,.......
.....kinachowaumiza watu wengi ni kutochimba huku wakiamini ni "scam",kua huwezi kua haujaweka pesa,upate pesa😃😄😁lakini,wanaikuta Pi imeanza na thamani
kila mwana pi atakua bilionea tupange tu foleni, ungeangalia ile show yao pale city garden wanaambiana tuanze kuwekeza kujenga hospitali kumsaidia mama samia 🤣 🤣 🤣 : skiliza mabilioneawanangu wa Pi wanaenda kuwa mabilionea...
Yaani nije kukuproofia wewe kua nimeuza Pi?,........😆😅😅Sawa Mrs Mpumbavu, njoo hapa na proof kwamba umeuza Pi, acha story yani hata Pi moja mmeshindwa kuja na proof.