Una akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.
Lakini Pi ndio imeanza na sio kama ndio imefika mwisho,..........hatuwezi kushangaa siku Bei ya Pi Moja ikifika Dola 5,10 hata 100.......imagine mtu mwenye Pi 500 atakua na Bei Gani?
2015 kipindi Bitocoin Moja inacheza chini ya $1000 hakuna aliyejua kua Kuna siku itafika $100,000
Na mtu ukimuambia anunue anasema utapeli na anakua na hoja,sababu unakuta inashuka hadi $200 from $800 ndani ya mwezi TU😄😄
ila Sasa hivi MTU mwenye Bitcoin Moja ni mtu tajiri sana Kwa hela za kitanzania
Hata hio 1.5M uliyoipata baada ya kumine free Pi, useme ununue umeme kwenye nyumba Yako,hizo luku, utatumia kipindi mtoto yupo chekechea hadi anaingia form one ,ama useme ununue bando 1.5M ,mi binafsi hilo bando langu la miaka 5,.......
.....kinachowaumiza watu wengi ni kutochimba huku wakiamini ni "scam",kua huwezi kua haujaweka pesa,upate pesa😃😄😁lakini,wanaikuta Pi imeanza na thamani