Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Nipe mwongozo jinsi ya kuuza
Kama tayari zishaingia kwenye pi wallet na zipo kwenye available balance ndio zinaweza kuuzika, ili kuziuza fungua okx, kama huna account inabidi ufungue,
Bonyeza apo deposit crypto
Screenshot_20250223_164558_com.okinc.okex.gp_edit_1010010231025043.jpg

Halafu search pi, utaibonyeza

Halafu copy address
Screenshot_20250223_164701_com.okinc.okex.gp_edit_1010046077119829.jpg

Then fungua pi wallet, bonyeza pay/request
Screenshot_20250223_165043_pi.browser_edit_1010129209279712.jpg

Bonyeza manually add address, utajaza kiasi cha pi unazotaka kuzipeleka okx, hapo kwenye address utai paste ile address uliyocopy okx, tayari zitakwenda
 
sasa hio inahusiana vp na PI kutokua scam? volume ilikua kubwa kwa sababu watu walikuja kuziuza price ikaenda chini ama huelewi maaana ya volume
Kama ni hivyo pi ingulikua price ipo chini ya 1 USD maana leo tu kwenye okx turnover ni 300M+ usd, lakini angalia resistance yake
Screenshot_20250223_171246_com.okinc.okex.gp_edit_1011323703702967.jpg
 
Kama tayari zishaingia kwenye pi wallet na zipo kwenye available balance ndio zinaweza kuuzika, ili kuziuza fungua okx, kama huna account inabidi ufungue,
Bonyeza apo deposit crypto
View attachment 3246654

Halafu search pi, utaibonyeza

Halafu copy address
View attachment 3246655

Then fungua pi wallet, bonyeza pay/request
View attachment 3246658

Bonyeza manually add address, utajaza kiasi cha pi unazotaka kuzipeleka okx, hapo kwenye address utai paste ile address uliyocopy okx, tayari zitakwenda
Mchakato mgumu kama kuendesha gari uingereza
 
Kwenye wallet inasoma 0
 
Ha ha ha ha ha .
Hamna hasara kabisa, hamna hasara hata kwa mbali. Sasa kama mtu anakesha kwenye simu kucheza games ambazo hapati chochote, mtu anakesha online kusoma umbea ambao haumsaidii chochote na mtu ambaye leo hii kile alichokifanya ambacho kwa siku hakikuchokua zaidi ya dakika moja na anapata mpunga hapo mwenye hasara ni nani boss?

Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
Una akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.
Lakini Pi ndio imeanza na sio kama ndio imefika mwisho,..........hatuwezi kushangaa siku Bei ya Pi Moja ikifika Dola 5,10 hata 100.......imagine mtu mwenye Pi 500 atakua na Bei Gani?
2015 kipindi Bitocoin Moja inacheza chini ya $1000 hakuna aliyejua kua Kuna siku itafika $100,000
Na mtu ukimuambia anunue anasema utapeli na anakua na hoja,sababu unakuta inashuka hadi $200 from $800 ndani ya mwezi TU😄😄
ila Sasa hivi MTU mwenye Bitcoin Moja ni mtu tajiri sana Kwa hela za kitanzania

Hata hio 1.5M uliyoipata baada ya kumine free Pi, useme ununue umeme kwenye nyumba Yako,hizo luku, utatumia kipindi mtoto yupo chekechea hadi anaingia form one ,ama useme ununue bando 1.5M ,mi binafsi hilo bando langu la miaka 5,.......
.....kinachowaumiza watu wengi ni kutochimba huku wakiamini ni "scam",kua huwezi kua haujaweka pesa,upate pesa😃😄😁lakini,wanaikuta Pi imeanza na thamani
 
Umeuza wapi ? njoo hapa tuthibitishie, otherwise inafanya bluffing tu hakuna lolote.
Hivi wewe umekomaa mishipa ya shingo imekutoka,huamini kama Pi coins inauzwa na kununuliwa😃😁😆😆😆😆😆 wewe ni mpumbavu,sio hata mjinga
Gate.io,OKX Hawa wote wameilist Pi coins Toka tarehe 20 mwezi huu,mainet ilivofunguliwa tu
 
Kila mwenye kusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu,mtu unauza Pi kwa $1.4,unashangaa siku unakuta Pi moja $30 pale,unaanza kuwalaumu waliohold😄😆😆
Usiuze Pi zako! Subiri zile DApps zianze kutumika! ukiuza hizo uta regret. baadae! Just relax achana na hao wasiojua White paper inasema nini! wale jamaa sio wajinga

Don't Sell
 
Kila mwenye kusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu,mtu unauza Pi kwa $1.4,unashangaa siku unakuta Pi mon $30 pale,unaanz akuwalaumu waliohold😄😆😆
Mimi nipo kwenye crypto tokea 2014, na mine, hold na kuzi stake, sifanyi trading maana kuna kipindi nilijaribu nikala hasara, pi nilitegemea kutokana selling pressure irudi mpaka 0.5 halafu ikae kwa muda kidogo lakini imenishangaza
 
Hivi wewe umekomaa mishipa ya shingo imekutoka,huamini kama Pi coins inauzwa na kununuliwa😃😁😆😆😆😆😆 wewe ni mpumbavu,sio hata mjinga
Gate.io,OKX Hawa wote wameilist Pi coins Toka tarehe 20 mwezi huu,mainet ilivofunguliwa tu
Sawa Mrs Mpumbavu, njoo hapa na proof kwamba umeuza Pi, acha story yani hata Pi moja mmeshindwa kuja na proof.
 
Una akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.
Lakini Pi ndio imeanza na sio kama ndio imefika mwisho,..........hatuwezi kushangaa siku Bei ya Pi Moja ikifika Dola 5,10 hata 100.......imagine mtu mwenye Pi 500 atakua na Bei Gani?
2015 kipindi Bitocoin Moja inacheza chini ya $1000 hakuna aliyejua kua Kuna siku itafika $100,000
Na mtu ukimuambia anunue anasema utapeli na anakua na hoja,sababu unakuta inashuka hadi $200 from $800 ndani ya mwezi TU😄😄
ila Sasa hivi MTU mwenye Bitcoin Moja ni mtu tajiri sana Kwa hela za kitanzania

Hata hio 1.5M uliyoipata baada ya kumine free Pi, useme ununue umeme kwenye nyumba Yako,hizo luku, utatumia kipindi mtoto yupo chekechea hadi anaingia form one ,ama useme ununue bando 1.5M ,mi binafsi hilo bando langu la miaka 5,.......
.....kinachowaumiza watu wengi ni kutochimba huku wakiamini ni "scam",kua huwezi kua haujaweka pesa,upate pesa😃😄😁lakini,wanaikuta Pi imeanza na thamani
Bitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.
 
Una akili sana,yaani kubonyeza TU button ya mine kwa siku upoteze muda,na Kuna watu wanakesha wakiangalia mipira,ambayo hawapati faida yeyote ile.
Lakini Pi ndio imeanza na sio kama ndio imefika mwisho,..........hatuwezi kushangaa siku Bei ya Pi Moja ikifika Dola 5,10 hata 100.......imagine mtu mwenye Pi 500 atakua na Bei Gani?
2015 kipindi Bitocoin Moja inacheza chini ya $1000 hakuna aliyejua kua Kuna siku itafika $100,000
Na mtu ukimuambia anunue anasema utapeli na anakua na hoja,sababu unakuta inashuka hadi $200 from $800 ndani ya mwezi TU😄😄
ila Sasa hivi MTU mwenye Bitcoin Moja ni mtu tajiri sana Kwa hela za kitanzania

Hata hio 1.5M uliyoipata baada ya kumine free Pi, useme ununue umeme kwenye nyumba Yako,hizo luku, utatumia kipindi mtoto yupo chekechea hadi anaingia form one ,ama useme ununue bando 1.5M ,mi binafsi hilo bando langu la miaka 5,.......
.....kinachowaumiza watu wengi ni kutochimba huku wakiamini ni "scam",kua huwezi kua haujaweka pesa,upate pesa😃😄😁lakini,wanaikuta Pi imeanza na thamani
🤣 🤣 🤣 hutaamini kitakachotokea
 
Sawa Mrs Mpumbavu, njoo hapa na proof kwamba umeuza Pi, acha story yani hata Pi moja mmeshindwa kuja na proof.
Yaani nije kukuproofia wewe kua nimeuza Pi?,........😆😅😅
Yaani Hadi sasa haujui kua Gate.io,OKX etc Pi inauzwa na kununuliwa?
Yaani haumini kua Pi wamerelease mainnet Yao?,tarehe 20/02/2025?
Je wewe sio mpumbavu?
 
Back
Top Bottom