Kati ya mtu aliyeuza Pi zake 200 kwa $0.6 akapata pesa ya kununua umeme nyumbani kwake na wewe mpumbavu,unayesema Pi ni utapeli nani mpumbavu?Bitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.
Nini kitakachotokea,kama haukijui,wewe ni mpumbavu,.......kama unakijua kiweke hapa Kila mtu akione,ama sema tukitafute sehemu,🤣 🤣 🤣 hutaamini kitakachotokea
Je pi sio utapeli?😆😃😆volume sio kigezo cha price, MARKET PRICE ni bei ya mwisho iliotumika kufanya mwamala,
View attachment 3246790
Wewe ni mpumbavu sawa na mtu aliyesema Bitcoin haiwezi kufika $10000,mwaka 2014,inawezekana alikia sahihiBitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.
nyie mmegoma kutumia akili ata tukiwaelewesha hamna sku mtatumia ubongo, mlielewesshwa toka hajaingia jamani price ya laki 3 haiwezekan mkaona watu wana wivu, hio ya laki 3 ni moja tu, PI ni wauzaji wa taarifa za watu kwa mfanoNini kitakachotokea,kama haukijui,wewe ni mpumbavu,.......kama unakijua kiweke hapa Kila mtu akione,ama sema tukitafute sehemu,
Mfano ukitaka kujua bei ya Pi ,ingia coinmarket.com,ukitaka kuuza ama kununua Pi ingia OKX.
Je wewe sio mpumbavu?
a nice scam, time will decideJe pi sio utapeli?😆😃😆
Endelea kumine braza amna anaekukatza, we uza taarifa zako maaana tamaa umeweka mbeleWewe ni mpumbavu sawa na mtu aliyesema Bitcoin haiwezi kufika $10000,mwaka 2014,inawezekana alikia sahihi
Pi ulikua unamine Bure TU,hutoi hata shillingi imeanza inauzwa,.,...........hakuna anayejua Pi itakia na thamani ipi 2028,................hata ikiwa $0,$30,70 ama $100,hakuna miner atakayepoteza kitu😃😁😆
Muda utaongea soon Relaxhua nlikua nahisi mwamposa anatumia uchawi kuvuta watu lakini toka nmeanza kukutana na watu wa PI i can confirm hakuna uchawi wowote mwamposa anatumia ila ngombe ni wengi nchini., ivi wewe BTC ndo ya kwanza na ndo master plan wa crypto kwa ujumla, supply yake ni 21M coins na zmepotea nyingi balaa price ni $94k, PI ina coins 100B unataka price ya laki tatu dola, ivi unataka fadhila gan nyingine kutoka kwa Mungu katika kichwa chako?
Leo hii Mungu afanyaje ili akili yako ione kabisa kichwa chako ni kapu la kuwekea meno
😁😁 Bitcoin usifananishe na vitu vya kijinga.Wewe ni mpumbavu sawa na mtu aliyesema Bitcoin haiwezi kufika $10000,mwaka 2014,inawezekana alikia sahihi
Pi ulikua unamine Bure TU,hutoi hata shillingi imeanza inauzwa,.,...........hakuna anayejua Pi itakia na thamani ipi 2028,................hata ikiwa $0,$30,70 ama $100,hakuna miner atakayepoteza kitu😃😁😆
Ni wengi wanaolalamikia KYC na support ni zero, cha kufa ya unistall na fute kabisa, usiendelee kufaidisha watuMm ni mwana Pi pia, lkn KYC yangu still ipo PENDING, nilienda ktk meeting flani ktk Hotel nikakutana na ma validator, wakanambia nisiwe na wasisi siwezi pote Pi zangu, sasa hii trh 20 imesha kua Lunched... Kwamm nita tatuaje hili tatizo? Na nilisha watumia email kule ktk support portal na nika tuma tatizo langu lkn kimya sijapta majibu ya utatuzi
Ungefungua duka ata na mtaji wa mil 1 miaka 6 ni mingi sana mtaji ungekua ushakua na ungekua mbali vibaya mno, PI mbna kila mtu anajua ni scam haina coin mpaka leo wamengangania KYB wakati amna coin yoyote duniani inafanya huo upuuzi kila coin inataman kuingia kwenye exchange
2) Unapokua na kitu kama PI inakutengenezea mazingira ya uvivu ama expectations za uongo, kuna watu walifanya mpaka uzinduzi pale city garden hii inaashiria tuna watu ambao ni wavivu wa kufanya kazi na kufikiria kwa kuweka mategemo ya utajiri
chukulia huu mfano mategemeo yote na jitihada zote za PI coin ulizokua umeweka, hii nguvu ungeweka katika kufanya kazi leo ungeshangilia mil 1? 6 years expectation ~ 1M?
Kauli zangu sio sheria ukiona hazina mantiki achana nazoBro, mbona unakua na wivu wa kichawi?
mtu alikua anatumia 1 minute- kila siku ku click button ya 'mine' bure kabisa.
Then after 6 years amepata $500+.
sasa masuala ya kufungua duka yanakujaje hapo?
kwahiyo wewe unafikiri hakua na shughuli nyingine miaka yote hiyo?
Mimi ni mwaka wa tatu huu nimekua namine Renec coin kila Jmosi.
Je unafikiri miaka yote hii mitatu sina shughuli nyingine nategemea Renec tu?
una wivu wa kisenge kweli...
kabisa mkuuKila mwenye kusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu,mtu unauza Pi kwa $1.4,unashangaa siku unakuta Pi moja $30 pale,unaanza kuwalaumu waliohold😄😆😆
tena huyo mtu ali mine for free bila kuwekeza hata mia!Kati ya mtu aliyeuza Pi zake 200 kwa $0.6 akapata pesa ya kununua umeme nyumbani kwake na wewe mpumbavu,unayesema Pi ni utapeli nani mpumbavu?
100% jamaa mpuuzi sana yule! hatumii akili!Bro, mbona unakua na wivu wa kichawi?
mtu alikua anatumia 1 minute- kila siku ku click button ya 'mine' bure kabisa.
Then after 6 years amepata $500+.
sasa masuala ya kufungua duka yanakujaje hapo?
kwahiyo wewe unafikiri hakua na shughuli nyingine miaka yote hiyo?
Mimi ni mwaka wa tatu huu nimekua namine Renec coin kila Jmosi.
Je unafikiri miaka yote hii mitatu sina shughuli nyingine nategemea Renec tu?
una wivu wa kisenge kweli...
ila we jamaa bhana umekazana Pi, Pi utafikiri ndio inaendesha maisha ya watu au ni kitu cha ajabu sana!Kauli zangu sio sheria ukiona hazina mantiki achana nazo
Ukiwa na akili timamu lazima ujiulize haya maswaliila we jamaa bhana umekazana Pi, Pi utafikiri ndio inaendesha maisha ya watu au ni kitu cha ajabu sana!
Hivi uli mine Pi? Sion sababu ya wewe kuendelea ku attack Pi?Ukiwa na akili timamu lazima ujiulize haya maswali
1)Toka lini crypto coin inahitaji KYC, yaani leo hii nkitaka kumiliki BTC nifanye KYC?
2) Lenogo la crypto ni kua hidden ila PI wanataka nijaze taarifa zangu
3) Kuhusu tukio lililotokea china watu kutekwa Kukiwa kunahisishwa PI , ukiwa na akili timamu lazima ujiondoe,
4) Ushawahi kuona matangazo kwenye btc? ama ushawahi kuona btc anakwambia sajili mtu kwa code yako upate btc za nyongeza
5) Uafrika nao ni tatizo, mtu yuko radhi auliwe ila apate pesa duu 🤣 🤣 🤣