Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Bitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.
Kati ya mtu aliyeuza Pi zake 200 kwa $0.6 akapata pesa ya kununua umeme nyumbani kwake na wewe mpumbavu,unayesema Pi ni utapeli nani mpumbavu?
 
🤣 🤣 🤣 hutaamini kitakachotokea
Nini kitakachotokea,kama haukijui,wewe ni mpumbavu,.......kama unakijua kiweke hapa Kila mtu akione,ama sema tukitafute sehemu,
Mfano ukitaka kujua bei ya Pi ,ingia coinmarket.com,ukitaka kuuza ama kununua Pi ingia OKX.
Je wewe sio mpumbavu?
 
Bitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.
Wewe ni mpumbavu sawa na mtu aliyesema Bitcoin haiwezi kufika $10000,mwaka 2014,inawezekana alikia sahihi
Pi ulikua unamine Bure TU,hutoi hata shillingi imeanza inauzwa,.,...........hakuna anayejua Pi itakia na thamani ipi 2028,................hata ikiwa $0,$30,70 ama $100,hakuna miner atakayepoteza kitu😃😁😆
 
Nini kitakachotokea,kama haukijui,wewe ni mpumbavu,.......kama unakijua kiweke hapa Kila mtu akione,ama sema tukitafute sehemu,
Mfano ukitaka kujua bei ya Pi ,ingia coinmarket.com,ukitaka kuuza ama kununua Pi ingia OKX.
Je wewe sio mpumbavu?
nyie mmegoma kutumia akili ata tukiwaelewesha hamna sku mtatumia ubongo, mlielewesshwa toka hajaingia jamani price ya laki 3 haiwezekan mkaona watu wana wivu, hio ya laki 3 ni moja tu, PI ni wauzaji wa taarifa za watu kwa mfano
Kuna sakaa linaenda china baada ya watu kadhaa kutekwa na uchunguzi kujua PI network ndo aliouza izo taarifa, ila kwa kua kichwa chenu ni kapu la meno hamtakaa mjishuhulishe: taarifa hii apa: Pi Coin News: A Look at Alleged Past Scams As China Issues Warning After 65% Crash
 
Wewe ni mpumbavu sawa na mtu aliyesema Bitcoin haiwezi kufika $10000,mwaka 2014,inawezekana alikia sahihi
Pi ulikua unamine Bure TU,hutoi hata shillingi imeanza inauzwa,.,...........hakuna anayejua Pi itakia na thamani ipi 2028,................hata ikiwa $0,$30,70 ama $100,hakuna miner atakayepoteza kitu😃😁😆
Endelea kumine braza amna anaekukatza, we uza taarifa zako maaana tamaa umeweka mbele
 
hua nlikua nahisi mwamposa anatumia uchawi kuvuta watu lakini toka nmeanza kukutana na watu wa PI i can confirm hakuna uchawi wowote mwamposa anatumia ila ngombe ni wengi nchini., ivi wewe BTC ndo ya kwanza na ndo master plan wa crypto kwa ujumla, supply yake ni 21M coins na zmepotea nyingi balaa price ni $94k, PI ina coins 100B unataka price ya laki tatu dola, ivi unataka fadhila gan nyingine kutoka kwa Mungu katika kichwa chako?

Leo hii Mungu afanyaje ili akili yako ione kabisa kichwa chako ni kapu la kuwekea meno
Muda utaongea soon Relax
 
Mm ni mwana Pi pia, lkn KYC yangu still ipo PENDING, nilienda ktk meeting flani ktk Hotel nikakutana na ma validator, wakanambia nisiwe na wasisi siwezi pote Pi zangu, sasa hii trh 20 imesha kua Lunched... Kwamm nita tatuaje hili tatizo? Na nilisha watumia email kule ktk support portal na nika tuma tatizo langu lkn kimya sijapta majibu ya utatuzi
 
Wewe ni mpumbavu sawa na mtu aliyesema Bitcoin haiwezi kufika $10000,mwaka 2014,inawezekana alikia sahihi
Pi ulikua unamine Bure TU,hutoi hata shillingi imeanza inauzwa,.,...........hakuna anayejua Pi itakia na thamani ipi 2028,................hata ikiwa $0,$30,70 ama $100,hakuna miner atakayepoteza kitu😃😁😆
😁😁 Bitcoin usifananishe na vitu vya kijinga.
 
Mm ni mwana Pi pia, lkn KYC yangu still ipo PENDING, nilienda ktk meeting flani ktk Hotel nikakutana na ma validator, wakanambia nisiwe na wasisi siwezi pote Pi zangu, sasa hii trh 20 imesha kua Lunched... Kwamm nita tatuaje hili tatizo? Na nilisha watumia email kule ktk support portal na nika tuma tatizo langu lkn kimya sijapta majibu ya utatuzi
Ni wengi wanaolalamikia KYC na support ni zero, cha kufa ya unistall na fute kabisa, usiendelee kufaidisha watu
 
Ungefungua duka ata na mtaji wa mil 1 miaka 6 ni mingi sana mtaji ungekua ushakua na ungekua mbali vibaya mno, PI mbna kila mtu anajua ni scam haina coin mpaka leo wamengangania KYB wakati amna coin yoyote duniani inafanya huo upuuzi kila coin inataman kuingia kwenye exchange

2) Unapokua na kitu kama PI inakutengenezea mazingira ya uvivu ama expectations za uongo, kuna watu walifanya mpaka uzinduzi pale city garden hii inaashiria tuna watu ambao ni wavivu wa kufanya kazi na kufikiria kwa kuweka mategemo ya utajiri

chukulia huu mfano mategemeo yote na jitihada zote za PI coin ulizokua umeweka, hii nguvu ungeweka katika kufanya kazi leo ungeshangilia mil 1? 6 years expectation ~ 1M?

Bro, mbona unakua na wivu wa kichawi?

mtu alikua anatumia 1 minute- kila siku ku click button ya 'mine' bure kabisa.

Then after 6 years amepata $500+.

sasa masuala ya kufungua duka yanakujaje hapo?

kwahiyo wewe unafikiri hakua na shughuli nyingine miaka yote hiyo?

Mimi ni mwaka wa tatu huu nimekua namine Renec coin kila Jmosi.

Je unafikiri miaka yote hii mitatu sina shughuli nyingine nategemea Renec tu?

una wivu wa kisenge kweli...
 
Kauli zangu sio sheria ukiona hazina mantiki achana nazo
 
Kati ya mtu aliyeuza Pi zake 200 kwa $0.6 akapata pesa ya kununua umeme nyumbani kwake na wewe mpumbavu,unayesema Pi ni utapeli nani mpumbavu?
tena huyo mtu ali mine for free bila kuwekeza hata mia!
 
Bro, mbona unakua na wivu wa kichawi?

mtu alikua anatumia 1 minute- kila siku ku click button ya 'mine' bure kabisa.

Then after 6 years amepata $500+.

sasa masuala ya kufungua duka yanakujaje hapo?

kwahiyo wewe unafikiri hakua na shughuli nyingine miaka yote hiyo?

Mimi ni mwaka wa tatu huu nimekua namine Renec coin kila Jmosi.

Je unafikiri miaka yote hii mitatu sina shughuli nyingine nategemea Renec tu?

una wivu wa kisenge kweli...
100% jamaa mpuuzi sana yule! hatumii akili!
 
ila we jamaa bhana umekazana Pi, Pi utafikiri ndio inaendesha maisha ya watu au ni kitu cha ajabu sana!
Ukiwa na akili timamu lazima ujiulize haya maswali
1)Toka lini crypto coin inahitaji KYC, yaani leo hii nkitaka kumiliki BTC nifanye KYC?
2) Lenogo la crypto ni kua hidden ila PI wanataka nijaze taarifa zangu
3) Kuhusu tukio lililotokea china watu kutekwa Kukiwa kunahisishwa PI , ukiwa na akili timamu lazima ujiondoe,
4) Ushawahi kuona matangazo kwenye btc? ama ushawahi kuona btc anakwambia sajili mtu kwa code yako upate btc za nyongeza
5) Uafrika nao ni tatizo, mtu yuko radhi auliwe ila apate pesa duu 🤣 🤣 🤣
 
Hivi uli mine Pi? Sion sababu ya wewe kuendelea ku attack Pi?

Hivyo vyote ulivoongelea vinaangukia kwenye kitu kinaitwa Teknolojia! Ndio maana umeona makampuni mengine ya simu yana phase out katika ulimwengu wa kibiashara sababu watu wanakuja na ubunifu na teknolojia mpya kila siku.

Naona Ideas zako zote hapo ni za mwaka 1947! Prove me wrong! Basi watu wanaopata pesa kupitia Google adds kwenye blogs zao wamepitwa na wakati sio?

Anzisha Mining app yako uanze kula pesa kama ni rahisi
 
Back
Top Bottom