Kati ya mtu aliyeuza Pi zake 200 kwa $0.6 akapata pesa ya kununua umeme nyumbani kwake na wewe mpumbavu,unayesema Pi ni utapeli nani mpumbavu?Bitcoin huwezi fananisha na scam pi, bitcoin ni Open source, Pi sio open source, huwezi jua code wameweka nn, ndiomana nawaambia, mnatumia ujinga wenu kutajirisha watu, miaka sita unafikiri wamepata faida gani.