Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Kwa sasa exchange ninayoitumia ni moja tuu nayo ni Remitano jamaa hawana janjajanja kabisa na kitambo tuu walishaachana na kulist coin mpya kabisa manake wanajua %kubwa ni scam tuu
 
Hatuwezi kuelewana kwa sababu umeweka tamaa mbele. unachokiona na unachotaka kikskia ni pesa ofwhich skulaumu ukiangalia huu mradi watu wengi walioushikilia wana motives zilizojificha chini yake, Nikolas anaaminisha watu PI ni kitu exceptional 🤣 🤣 🤣 ndo maaana ata mlivoambiwa GCV amna aliejihangaisha kutumia akili kwa sababu tamaa zenu zpo mbele, ni eperienced traders tu walijitokeza na kusema huu mradi ni scam na hakuna namna coin inaweza kua na supply ya 100B ikauzwa $314k ila nyie tamaa mliona kama watu wana wivu na nyie, tarehe 20 mlijionea wenyewe

2) Hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuuza taarifa zake mtandaoni kwa kuahidiwa ela, kwa sisi tuliokua online for the longest tunaelewa, mpaka leo tunasumbuana na google kuhusu kukusanya taarifa zetu na hua wanapigwa fine kubwa, ila kwa nyie mliokua na tamaa hamuwezi kuelewa ni juzi tu apa china watu walitekwa na kuuliwa uchunguzi kuja kubaini utekaji unahusiana na PI ila wewe unaeona tamaa zaidi ya uhalisia amna namna utaweza kushaurika, Issue ya GCV nadhan mshaona uhalisia sasa bado kuhusu issue ya taarifa
 
I don’t think so refer to the investiment and people who has engaged to the Pi is high profile the thing is real
Unajua kuhusu ile kesi ya china mauaji yaliofanyika baada ya taarifa za wana pi kuuzwa? umesoma kwanza hii nakala
 
 
Acha watu wafanye wanachoona na sahihi kwao bana. Kama wakifa au kutapeliwa wewe utapungukiwa nini. Maana suala la kufa ni guaranteed kila mtu atakufa ila kwa namna gani mtu atakufa ndo haijulikani. Yaweza kuwa wengine watakufa kupitia Pi. Usijitie umuhimu kwenye maisha ya watu, fanya yako.
 
Kua mwafrika nalo tatizo, wewe unapewa side effects unasema niache kutoa info? yaani uliwekewa kichwa ili utunze meno ama
 
Kua mwafrika nalo tatizo, wewe unapewa side effects unasema niache kutoa info? yaani uliwekewa kichwa ili utunze meno ama
We unapata hasara gani hizo unazosema side effects zikiwapata?
Umeshawambia ndio, kama hawataki kukuamini si uachane nao.
Labda useme wewe unaathirika vipi kutokana na maamuzi yao.
Wewe ndo kichwa unatunzia meno maana umekaza fuvu kutaka watu waamini kile unachowaambia.
Watu wengi wametapeliwa hapa Tanzania kwa namna mbalimbali, na kuna watu kama wewe walionya mapema kabisa, ila watu hawakusikia, hata hivyo wameendelea kutapekiwa kila mara kwa style tofauti tofauti.
Hivyo punguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu. Umeshatoa onyo na kama ni kweli wataona matokeo yake na wewe hutopungukiwa na chochote zaidi ya kusema niliwaambia.
 
kisukari kipo juu sana.
 
Kuna sehem una tatizo so bure, sio kila alieingia kwenye PI ameingia kwa kupewa taarifa sahihi na ndo tunapoingia kutoa ushauri, kwa mfano kuna mtu aliingia kwenye PI hakuambiwa data znauzwa kupitia sehem kama izi anapata uelewa anfanya maamuzi sahihi sio kila alieingia PI ana kichwa panzi
Kuna watu wanapenda data zao ziwe private pia kuna watu wanatamani kufanya crypto ila hawana taarifa sahihi, ila kwakua kuna vijana uchwara kama nyie mnataka kuwatumia link mpate PI as reward sisi tunanyoosha maelezo, wewe ambae huelewi chochote kinachoendelea na huna concern yoyote kuhusu legitimacy ya PI endelea hujanyimwa
 
Hujasema wewe binafsi unapata hasara gani hayo yote yakiwatokea?
 
Una akili sana ww dada
 
Usalama wa Taifa wasizuie fedha zetu za crypto tunazipata kwa tabu sana
 
Ni wivu tu unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…