Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Mkuu labda tufungue mjadala rasmi threat za ukusanyaji taarifa ni zipi, na kwanza ni taarifa gani hatari kukusanywa?
 
Kyc sio big deal namna hiyo, kwenye hii sekta ya hela
its a big deal, coin za crypto ni anonymous, meaning identity is hidden kukusaidia kutowekewa vipingamizi mfano nkwa na 2B zangu naweza kutuma nje bila kusumbuliwa na serikali so lazima uwe hiden, PI wanataka KYC yaani wapuuzi wa mwisho kabisa 🤣 , hio ni coin ama utapeli, alafu ushawahi kuona bitcoin ina matangazo ya kungiza ela?
 
Hii labda after miaka kibao huko🤣 na kutokea btc ianze kufungua njia
sasa si ndo tunachowafundisha hawa mabumbumbu ni kama shule haijawasaidia, kila mtu moyoni anasubiria bil 1 per coin na kwa kua ana pi 500 basi awe na bil 500 za bongo, mbna walifanya kabisa mkutano wakaweka vipaumbele vyao mbele mfano kumsaidia mama samia kujenga hospital hukuwaona?
 
Kuna FTX ilikua very good company ila imefilisikaa sasa pi network ni bado iko katk ujenz watu mnaogopaa akati hata ikifelii saiv sio big deal watu weng still bado hawaja invest..
Wewe ni mjinga uko jamiiForum, twitter(x), fb, wanakusanya mavi kama sio data zako acha kujifanya mjuajii una account bank wew? Umeweka pesa bila kyc Build your Own App.. Ila serikali lazima ikusanye data kwa usalamaa mimi natambua umuhimu wa data kuzidi hata wewe
sio lazima uweke KYC ni unachagua wew mwenyewe acha kujifanya una uchungu na wana Pi network 😁😁😁
 
Mkuu unajua mimi nasema kyc sio big deal ni kwasababu wananchi tunaishi chini ya serikali mbalimbali katika nchi zetu. Katika control ya pesa hasa huko kuliko kucha usiri kwenye crypto unakua mgumu .

Hii matangazo ya kuingiza hela bado yapo hadi baada ya kuiingiza sokoni
 
Wale ni wehu kama weew tu 😁😁
 
we ni mjinga ambae yuko proud, PI ni taasisi ama coin, na kama ni taasisi basi mlishapigwa mkadanganywa ni coin, ivi wewe Mungu akupe akili gan ya ziada uishi kwa kuitumia?

benki unafungua akaunti kwenye taasisi husika ama kwenye noti unazomiliki yaani leo ili nibebe 10k natakiwa kujiandikisha 🤣 🤣 , hilo sio bichwa bali ni kapu la kubebea meno
 
Hii imenipita mkuu🤣, mimi hizi zaga za free coins sjuu airdrops last time ni 2019, sijarudia tena maana token ya kwanza tu walivoitoa nacheki wallet 0.00003 kitu kama hicho, nikaona hamna kitu hadi leo picha za kyc zipo kwenye pc🤣.

Kwamba maendeleo ya tanzania yaletwe na crypto tena za airdrop
 

Wew ni mwehu pia 😁😁
 
ndo maana tukiwaita hwa wana PI mangombe hatukosei, kyc sio big deal kama unataka kutumia EXCHANGE sio COIN, mfano naweza nkawa na trust wallet nkanunua coin zangu bila mtu kujua apo saf kabisa na ndo lengo la crypto
 
Hahaha wale ni wehu..
 
Reactions: Lax
hujawaona walivofanya uzinduzi mbna ungecheka:
View: https://www.youtube.com/watch?v=_w7OxRgWIiI&t=587s
 
Ila wew ndo fans wa memecoin kisa inaitwa trump coin 😁😁😁
ndo maana tukiwaita hwa wana PI mangombe hatukosei, kyc sio big deal kama unataka kutumia EXCHANGE sio COIN, mfano naweza nkawa na trust wallet nkanunua coin zangu bila mtu kujua apo saf kabisa na ndo lengo la crypto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…