amna sehem nmesema ivo hayo ni yako, ila i know much about crypto kwa undan wake as advanced as i can recall and all i see ni kikundi cha imani ambacho hakimake sense, wewe tafauti yako na wanaojaza kwa mwamposa ni ndogo sana na huenda shule haijakusaidia lolote, Yaani dunia inapambana na uchukuaji wa taarifa binafsi nyie ndo wala amna hahbari, kule marekani tiktok mpaka imefugiwa kisa kuchukua taarifa nyie uuku walaaa, juzi ripoti imetoka watu wameuliwa wa PI nyie uku walaaa, yaani kuna mda pia uafrika una shida sana na huenda kuna kalaana flan kanatemebea bila kujua