Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto



kama ivi bilionea
 
Goodluck!
Asante bro, sijapoteza nimewekeza, na uwekezaji unamatokeo awili hasi ama chanya. So kama kanuni hiyo unauelewa wala haikupi shida kufanya maamuzi. Crypto ni betting hapo unaweza Kuta mpaka 2030 Ngoma ikasoma $1000 per pi ama ikashuka thamani ikapotea kabisa sokoni mradi ukafa watu tukala hasara
 
🀣 🀣 🀣 hype inakusumbua, umenunua coin kisa inaongelewa sana badala ya kufanya reserch kwanza
 
Wameambiwa mambo mazuri yanafuata watulie wadownload dolari vibunda tu
saaahv wanaambiana ile ilikua open network kuna ingine inakuja inaitwa Main net ndo inakuja na ela zao 🀣
 
🀣 🀣 🀣 hype inakusumbua, umenunua coin kisa inaongelewa sana badala ya kufanya reserch kwanza
Mchuzi wa mbwa unanywewa bado wa moto, ukipoa hunywi! Usibeze juhudi za watu boss wng na ww fanya kwa namna Yako unaona inakufaa. Unatamani kupata ila unaogopa kupoteza inashangaza sana
 
saaahv wanaambiana ile ilikua open network kuna ingine inakuja inaitwa Main net ndo inakuja na ela zao 🀣
Hiyo ya usd 300k per pi hiyo hata Mimi niliikataa japo inaweza kufika huko ila tu mradi ukienda vzuri lkn si Leo wala kesho Ukisoma malengo ya pi thamani inaweza fika huko kama sio scam lakini,
 
Pi kama pi na mabilionea wapya duniani , mnajichotea mipesa Tu kama vile mnatembea
 
Aibu yako mjuaji usiyejua chochote. Pi inasoma $2.8 huko na inazidi kupaa kawa kasi. Kwa mwendo huu tutarajia kuikuta $5 mpaka 10 mwezi march.
 

Punguza mihemko hakuna mtu anaetaka kujua hizo habari umezijuaje au unazijuaje maana ata wewe pia unajua vizuri hakuna kitu unachokijua.. imagine taarifa zako zinavyokaa.....,. "Mwaka 2021 Dr. Nikolas brah brah brah mambo sio mambo......... Nikolas anawatafuta okx brah brah brah okx wanagoma........... Boom utashangaa hizi taarifa nazitoa wapi......" Tuambia ukiachana na hizo brah brah zako na ngonjera kuna taarifa gani ulizotoa hapo zaidi ya kuleta taharuki watu waiogope pi
 
This is very weak, hizi information ni rahisi kuzipata mkuu hata kwa wasajili laini.
 
Aibu yako mjuaji usiyejua chochote. Pi inasoma $2.8 huko na inazidi kupaa kawa kasi. Kwa mwendo huu tutarajia kuikuta $5 mpaka 10 mwezi march.
uza pi moja afu njoo na proof, Acha kuongea vitu havipo.
 
crypto sio betting, ondoa hiyo mindset kichwani mwako, kama unaamini hivyo achana nayo kabisa, crypto isn't for everyone. DYOR
 
walienda mpaka chanel ten kutpeli watu, 😁😁
hawa kenge ndio wanakuja huku na ID nyingine kuitetea pi ili waliowadnganya na semina za uongo, wasishtuke wamama kwa wababa wakashona na nguo zenye rangi ya dhambarau kama pi, hii nchi ngumu sana hii, media nazo zinawapa airtime matapeli bila kudive deep kuhusu wanachozungumzia, ilimradi tu airtime imelipiwa.
pioneer wa pi hawana tofauti na waganga.
 
Mwanzo nilidhani ni watu wa ACT wazalendo kumbe ni mabilionea na wawekezaji nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…