stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Goodluck!Yes umilionea nimeuchoka natafuta ubilionea... Huoni hapo nimetupa milioni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goodluck!Yes umilionea nimeuchoka natafuta ubilionea... Huoni hapo nimetupa milioni?
Ha ha, Opinions are like arseholes, everyone has one.
Do you have Facebook, instagram and X on your phone?
I have very few cares to give mkuu. I don’t care what they do with my data. What are they going to do with my info anyway? Nobody cares about me.
Wameambiwa mambo mazuri yanafuata watulie wadownload dolari vibunda tu
Asante bro, sijapoteza nimewekeza, na uwekezaji unamatokeo awili hasi ama chanya. So kama kanuni hiyo unauelewa wala haikupi shida kufanya maamuzi. Crypto ni betting hapo unaweza Kuta mpaka 2030 Ngoma ikasoma $1000 per pi ama ikashuka thamani ikapotea kabisa sokoni mradi ukafa watu tukala hasaraGoodluck!
🤣 🤣 🤣 hype inakusumbua, umenunua coin kisa inaongelewa sana badala ya kufanya reserch kwanzaAsante bro, sijapoteza nimewekeza, na uwekezaji unamatokeo awili hasi ama chanya. So kama kanuni hiyo unauelewa wala haikupi shida kufanya maamuzi. Crypto ni betting hapo unaweza Kuta mpaka 2030 Ngoma ikasoma $1000 per pi ama ikashuka thamani ikapotea kabisa sokoni mradi ukafa watu tukala hasara
saaahv wanaambiana ile ilikua open network kuna ingine inakuja inaitwa Main net ndo inakuja na ela zao 🤣Wameambiwa mambo mazuri yanafuata watulie wadownload dolari vibunda tu
Mchuzi wa mbwa unanywewa bado wa moto, ukipoa hunywi! Usibeze juhudi za watu boss wng na ww fanya kwa namna Yako unaona inakufaa. Unatamani kupata ila unaogopa kupoteza inashangaza sana🤣 🤣 🤣 hype inakusumbua, umenunua coin kisa inaongelewa sana badala ya kufanya reserch kwanza
Hiyo ya usd 300k per pi hiyo hata Mimi niliikataa japo inaweza kufika huko ila tu mradi ukienda vzuri lkn si Leo wala kesho Ukisoma malengo ya pi thamani inaweza fika huko kama sio scam lakini,saaahv wanaambiana ile ilikua open network kuna ingine inakuja inaitwa Main net ndo inakuja na ela zao 🤣
Aibu yako mjuaji usiyejua chochote. Pi inasoma $2.8 huko na inazidi kupaa kawa kasi. Kwa mwendo huu tutarajia kuikuta $5 mpaka 10 mwezi march.Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.
McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black software, Kwa wale msiofahamu kuhusu black software, black software ni zile software unazopewa task utengeneze lakini haziko public available, na Wala hauwezi kuwa na ruhusa ya kusema in public ulitengeneza software Gani, mana ukianza tu kuzigusia hata Kwa uchache ktk public unakuwa ni national threat, mwisho wa siku inabidi wakuue.
McAfee alipiga pesa nyingi kwenye crypto sio kwasabu ya kutrade bali kumention coin ambazo watu wanunue na kuuza kwenye Twitter Kwa sasa X, alikuwa anapewa commission yake lakini wamiliki wa coin walipiga pesa ndefu kutoka Kwa raia au followers wa McAfee, mana walikuwa wanacheza na Liquidity.
Kwa wale ambao tunafuatilia Habari ndiomana tunaona black project ambazo wamezifanya USA kwenye Area 51, Kuna wanajeshi zimewasababishia kansa lakini wanachohitaji ni matibabu tu sio fidia, na hata uwaulize walikuwa wanafanya nini Area 51 hawawezi sema kwasabu ni classified project, na hata taarifa za kuthibitisha kwamba walishiriki haziwezi patikana kwasabu ni National interest,
Leo nataka niwaambie wale wote wanaomiliki Pi, kuwa Pi ni scam project haitompa mtu umilionea zaidi ya wamiliki kwasabu wamepiga pesa nyingi kwenye Ads na data mining, wamekusanya KYC na kuuza Kwa makampuni yanayohusika, hususani MeTa na Google.
Pi yaweza kuwa ni black project ya kukusanya taarifa zenu na kuweka malware kwenye simu zenu.
Crypto unahitaji elimu na sio ukurupukaji, ndiomana ma CEO wa Pi ni social engineers sio crypto enthusiast, kaangalie hata chuo alichosoma CEO wa Pi wame mremove kwenye bio ili wajiepushe na scam ambayo kesho mtaishuhudia.
Kama unaelewa crypto mining huwezi sema unamine Pi, ndiomana apps zote za mining play store walishagazitoa.
Watu wanafikiri pi itampiku BTC lakini haiwezi japokuwa BTC Kuna siku itakuwa na anguko kubwa pale watu watakapojifunza maana halisi ya privacy, kwasabu huwezi amini katika privacy na unatumia CeX (centralized exchanges) kama Binance, Coinbase n.k kwasabu ni trackable.
Bitcoin sio anonymous bado ni trackable kwahiyo naamini kizazi kijacho hakitoitumia Bitcoin kwasabu ni zero privacy.
Sasa vipi kuhusu Pi ambayo ni KYC based, haziko open source tujue wanafanya nini Wala Chochote, lakini wajinga wanaikumbatia na hususani wazee wa affiliate,
Niwaambie tu Pi haitofika hata 1$ ila itavanish
Sasa kesho tusubiri kuona crypto millionaire wa Pi Network waje hapa mana ni siku ya Mainnet.
View attachment 3252570
March 2021, Dr.Nikolas anatangaza main net itakua June 2022 but nyuma ya pazia mmbo sio mambo, bitget haikuepo mda huo, dKt Nikolas anawatafuta okx baada ya watu kusubiria open net mda mrefu, okx wanagoma baada ya kujua mchongo mzima wa PI, unaweza kujiuliza hizi taarifa naziitoa wap utaelewa tu mda sio mrefu:
mwaka 2021 kila mtu anataka kuanzisha biitcoin yake, as always investors wanatoa ela kwa yoyote atakaeweza kuja na bitcoin mpya, Dr Nikolas bila kuchelewa nae anaingia mzigon ila yeye mpango wake sio kuanzisha coin bali platform endelevu ya kula ela kwa ads, so atafanyaje ili watu waendelee kufungua app kila sku? FAKE COINS ndo jibu sasa badala ya wazo lake la awali kutengeneza coin halisi ya kuja kua bitcoin anachukua njia tafaut kulazimisha watu wafungue app kila sku ela iingie, mpango ukachorwa na watu wakajaa watu wakawa wanajiuliza kwann mainet inapigwa kalenda kila siku mpango ndo huo.. mm baada ya kupata mchongo mzima namtafuta kijana wangu ambae ndo kiongozi wa GCV tanzania saaahv mzenji uyo dogo, nampa mchongo mzima namwambia kabisa anaekuja kuset price ni okx, tukawekeana dau mil 8, japo anakuja kuruka baadae nmemwachia tu dogo! miaka imeenda kwel pap tarehe 20 hii apa okx huyu apa anajua mchongo mzima chini yake, baadhi ya exchanges kubwa duniani znaikataa wana pi wakidhan ni exchanges ndo zna shida na PI kumbe wanajua mchongo mzima
Fast forward mwaka jana watu 16 wanauliwa china, ripoti ya polisi china inaelekeza tukio hilo na PI network, unaweza kujiuliza hizi taarifa natoa wap, znatoka DEEP WEB, kuielewa zaidi ingia google jifunze zaidi kuhusu Deep web ni likitu likubwa kuelezea ila as a pioneer you should be ashamed ila sasa ndo ivo watu mpaka shetani aseme mwenyewe PI ni scam ndo wataelewa, wanamwona jamaa wa Bybit kama kachanganyikiwa ila mchongo mzima toka 2021 unajulikana na sjui mwisho wake utakuaje ila PI sio sehem ya kusogelea, watu watalia sana japo wanajua kabisa akuna cha bure duniani
View attachment 3252585
huyu ndo kiongozi wa gcv mwaka 2023 namwonya kuhusu PI wala hakuskia, ata leo 2025 its the same kwahio ata tuwaonye vp hamtataka kuelewa kwahio let the game go on
Punguza mihemko hakuna mtu anaetaka kujua hizo habari umezijuaje au unazijuaje maana ata wewe pia unajua vizuri hakuna kitu unachokijua.. imagine taarifa zako zinavyokaa.....,. "Mwaka 2021 Dr. Nikolas brah brah brah mambo sio mambo......... Nikolas anawatafuta okx brah brah brah okx wanagoma........... Boom utashangaa hizi taarifa nazitoa wapi......" Tuambia ukiachana na hizo brah brah zako na ngonjera kuna taarifa gani ulizotoa hapo zaidi ya kuleta taharuki watu waiogope piView attachment 3252570
March 2021, Dr.Nikolas anatangaza main net itakua June 2022 but nyuma ya pazia mmbo sio mambo, bitget haikuepo mda huo, dKt Nikolas anawatafuta okx baada ya watu kusubiria open net mda mrefu, okx wanagoma baada ya kujua mchongo mzima wa PI, unaweza kujiuliza hizi taarifa naziitoa wap utaelewa tu mda sio mrefu:
mwaka 2021 kila mtu anataka kuanzisha biitcoin yake, as always investors wanatoa ela kwa yoyote atakaeweza kuja na bitcoin mpya, Dr Nikolas bila kuchelewa nae anaingia mzigon ila yeye mpango wake sio kuanzisha coin bali platform endelevu ya kula ela kwa ads, so atafanyaje ili watu waendelee kufungua app kila sku? FAKE COINS ndo jibu sasa badala ya wazo lake la awali kutengeneza coin halisi ya kuja kua bitcoin anachukua njia tafaut kulazimisha watu wafungue app kila sku ela iingie, mpango ukachorwa na watu wakajaa watu wakawa wanajiuliza kwann mainet inapigwa kalenda kila siku mpango ndo huo.. mm baada ya kupata mchongo mzima namtafuta kijana wangu ambae ndo kiongozi wa GCV tanzania saaahv mzenji uyo dogo, nampa mchongo mzima namwambia kabisa anaekuja kuset price ni okx, tukawekeana dau mil 8, japo anakuja kuruka baadae nmemwachia tu dogo! miaka imeenda kwel pap tarehe 20 hii apa okx huyu apa anajua mchongo mzima chini yake, baadhi ya exchanges kubwa duniani znaikataa wana pi wakidhan ni exchanges ndo zna shida na PI kumbe wanajua mchongo mzima
Fast forward mwaka jana watu 16 wanauliwa china, ripoti ya polisi china inaelekeza tukio hilo na PI network, unaweza kujiuliza hizi taarifa natoa wap, znatoka DEEP WEB, kuielewa zaidi ingia google jifunze zaidi kuhusu Deep web ni likitu likubwa kuelezea ila as a pioneer you should be ashamed ila sasa ndo ivo watu mpaka shetani aseme mwenyewe PI ni scam ndo wataelewa, wanamwona jamaa wa Bybit kama kachanganyikiwa ila mchongo mzima toka 2021 unajulikana na sjui mwisho wake utakuaje ila PI sio sehem ya kusogelea, watu watalia sana japo wanajua kabisa akuna cha bure duniani
View attachment 3252585
huyu ndo kiongozi wa gcv mwaka 2023 namwonya kuhusu PI wala hakuskia, ata leo 2025 its the same kwahio ata tuwaonye vp hamtataka kuelewa kwahio let the game go on
This is very weak, hizi information ni rahisi kuzipata mkuu hata kwa wasajili laini.taarifa zako binafsi znatumika kufanya cyber crime, chukulia huu mfano:
labda nataka kufanya uhalifu sehem kama DSE(Dar es salaam stock exchange) pale wanachohitaji ni jina lako, namba ya simu na NAMBA YA NIDA, sasa basi kwa kua ulijaza NIDA YAKO pale PI ushaharibu kila kitu, ili kuhakikisha akaunti ni yako pale DSE ukishaweka namba ya nida utaletewa yale maswali random ya kujaza mfano jina la baba yako ni nani ama unapokaa. kwakua ushazigawa basi umeisha, ngoja nkuonyeshe kwa uhalisia
View attachment 3252589
izi ni personal info zako but ndo znatumika kukufunga kwenye kesi yoyote: kma ushawahi tumia huduma kama AJira poral ama tamisemi ndo mfmo unaotumika na mabenki pia ndo wanatumia:
Kwenye matukio ya online hakunaga kuita mashahidi ni moja kwa moja ndan kwa sababu hakunaga shahidi ila as long taarifa zako ndo zmetumika kufanya uhalfu basi huna namna ingine: makampuni kama google yanatozwa faini kila mwaka kwa kuiba taarifa za watu, ni uku bongo tu hawajui umuhimu wa data haswa wana PI
crypto sio betting, ondoa hiyo mindset kichwani mwako, kama unaamini hivyo achana nayo kabisa, crypto isn't for everyone. DYORAsante bro, sijapoteza nimewekeza, na uwekezaji unamatokeo awili hasi ama chanya. So kama kanuni hiyo unauelewa wala haikupi shida kufanya maamuzi. Crypto ni betting hapo unaweza Kuta mpaka 2030 Ngoma ikasoma $1000 per pi ama ikashuka thamani ikapotea kabisa sokoni mradi ukafa watu tukala hasara
walienda mpaka chanel ten kutpeli watu, 😁😁
Mwanzo nilidhani ni watu wa ACT wazalendo kumbe ni mabilionea na wawekezaji nchiniwalienda mpaka chanel ten kutpeli watu, 😁😁
hawa kenge ndio wanakuja huku na ID nyingine kuitetea pi ili waliowadnganya na semina za uongo, wasishtuke wamama kwa wababa wakashona na nguo zenye rangi ya dhambarau kama pi, hii nchi ngumu sana hii, media nazo zinawapa airtime matapeli bila kudive deep kuhusu wanachozungumzia, ilimradi tu airtime imelipiwa.
pioneer wa pi hawana tofauti na waganga.