hio video ungeiskiliza mpaka mwisho ni comedy walikua wanapanga kujenga hospitali kila wilaya 🤣 🤣 🤣 🤣Wawekezaji wetu hawa waache wafurahie uwekezaji wao
Wana mawazo mazuri watafika mbalihio video ungeiskiliza mpaka mwisho ni comedy walikua wanapanga kujenga hospitali kila wilaya 🤣 🤣 🤣 🤣
😀Nilifikiria ACT wazalendo
mabilionea hao😀Nilifikiria ACT wazalendo
tutegemee ujenzi mkubwa ivi karibuniWana mawazo mazuri watafika mbali
😆😆wekeza ulicho tayari kupoteza😅
usije lia
una nini wewe?
Niko sawa mbonauna nini wewe?
kipi kikuchekeshacho?Niko sawa mbona
Akukipi kikuchekeshacho?
Umelamba usdt ngapi?Pi imenitajirisha bila kutegemea
Ipo 1.77 dolllar tano haijafikaNyie endeleeni kuropoka tu, sahivi pi inaenda dollar tano huko.
Pi imenitajirisha bila kutegemea
Umepata usdt ngapi chief?Pi imenitajirisha bila kutegemea
Hahaha kana kwamba imetekwa na chama cha majambakaYani pi ni matapeli sana, pi core team wanatumia nguvu kubwa sana kutaka binance ailist na coinmarket cap aiweke juu, wakati haina circulation supply.
Pi pioneers sijui walilishwa takataka gani, mmekuwa kama wanaharakati now mnadai Free Pi kama vile imetekwa, na mtalia sana.
Mmeona mumlipe Satoshi Nakamoto wa mchongo kule X apush reli za Pi, hamtoweza nawaambieni mana hakuna asiyejua pi ni scam.
View attachment 3257010
View attachment 3257012
Nimemuuliza tangu jana hataki kusema huwenda kapata usdt 350Umepata usdt ngapi chief?
1632Umelamba usdt ngapi?