Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Nyie endeleeni kuropoka tu, sahivi pi inaenda dollar tano huko.
 
Pi imenitajirisha bila kutegemea

Yani pi ni matapeli sana, pi core team wanatumia nguvu kubwa sana kutaka binance ailist na coinmarket cap aiweke juu, wakati haina circulation supply.

Pi pioneers sijui walilishwa takataka gani, mmekuwa kama wanaharakati now mnadai Free Pi kama vile imetekwa, na mtalia sana.

Mmeona mumlipe Satoshi Nakamoto wa mchongo kule X apush reli za Pi, hamtoweza nawaambieni mana hakuna asiyejua pi ni scam.
IMG_20250303_044255.jpg

IMG_20250303_044237.jpg
 
Yani pi ni matapeli sana, pi core team wanatumia nguvu kubwa sana kutaka binance ailist na coinmarket cap aiweke juu, wakati haina circulation supply.

Pi pioneers sijui walilishwa takataka gani, mmekuwa kama wanaharakati now mnadai Free Pi kama vile imetekwa, na mtalia sana.

Mmeona mumlipe Satoshi Nakamoto wa mchongo kule X apush reli za Pi, hamtoweza nawaambieni mana hakuna asiyejua pi ni scam.
View attachment 3257010

View attachment 3257012
Hahaha kana kwamba imetekwa na chama cha majambaka
 
Back
Top Bottom