Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Upo sahihi
nmeshawaeleza mda sana umuhimu wa izo info hawaelewi, wanadhan personal data zko tafauti akienda benki anatumia jina tafauti 🤣 🤣 🤣

Upo sahihi watu wanaomiliki Pi coins hawana akili,.............mfano hapo kwenye hio picha mtu aliyenunua Pi 1000 zikiwa $0.6,hapo amepata hasara ikiwa $1.9 ya kufa mtu,aiseee Pi ni utapeli jamani,.........we jamaa una akili nyingi sana
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
Ni sahihi hata mtu aliyenunua Pi coins 5000,ikiwa $0.6 na akiiuza Kwa hela ya sasa ya Pi coins $1.9,hiyo hela atayopata hata wiki haifiki itakua imeisha,.............Pi coins ni utapeli bora kulima TU,
We jamaa ni genius aisee una akili nyingi sana
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
Kwani Pi ina Price yeyote?,Pi coins si tuikubaliana ni utapeli?,kazi Yao ni kuiba tu data za watumiaji?
 

Waache waseme ni scam, mimi nazidi kuzichota
 
🤣 🤣 🤣 afrika tutachelewa sana, una uhakika PI ni bure? hujatoa taarifa zako kwa PI?
 
Kuna kampuni ya Aim global mpaka leo nikiisikia naskia kichefuchefu
 
Bro you are living in the past. Pi imesha launch its coin on the open mainnet, sio IOU tena na sasa ni tradable cryptocurrency.

You're almost as smart as you look ujue😂.
Pi hawana coin everything about PI is self reported, kinachokuzuzua wewe ni kwamba unaona coins ni bure bila kuangalia uhalisia wa mambo, usidhan wewe una akili sana kuliko izo top exchange walioikataa PI, wao wana uwezo wa kupiga hela nyingi sana kuipitia trading ila mpaka wamesema hawaitaki iit should raise you some concerns

pamoja na kwamba unataka kutoka kimaisha na PI ila kua mwangalifu na unchokitoa online, hakuna coin yoyote duniani inataka uwe na KYC na hakuna coin yoyote huezi kuitunza trust wallet exeception ni PI peke yake, unaishi kwa matumaini badala ya uhalisia na huna mtu wa kukupa ushauri wa kitaalamu ndo maaana unafanya maamuzi yasio ya kielimu, PI ni scam project toka wale watu wa PI waliouliwa china kila mtu alishaachana nayo except nyie mnaoishi kwa matumaini kwamba maybe someday itakuja kuwapa utajiri, PI team wanafurahi kua na akili kama zenu na ni lengo lao kuendelea kuwaedesha hovyo, ndo maaana kila mnachotajiwa mnakubali tu,tuliwaambia price ya laki tatu haiwezekan mkabisha nani kaja kua kweli? tukawaambia hii project ni scam japo hamtaki kua waskivu ila acha kiwalambe, ia jua kwamba coin unazomine kwenye hio app haziwezi kuuzika apo unacheza mchezo wa kuiba mafuta kwenye boda boda
 
You can’t prove it’s a scam either.
its very easy to prove its a scam, with the simpliest checks
1) Does bitcoin need KYC?
2) Does bitcoin give you extra bitcoin when you share your code with someone else
3) does bitcoin show ads
4) PI team decide which PI are verified and not verified, mfano ukishindwa kumaliza KYC PI zako znachukuliwa
5) Does ETH ask you to upload your personal info
6) Can you send PI to trust wallet or meta mask

if all these dont add up then you should be worried with what your dealing with, you will simply ignore this because unaishi kwa matumaini na sio uhalisia, ata nani aje aseme ni scam hutaelewa ndo maaana mnaitwa PI community, wale wachina ni watu kama wewe walikua na vichwa vigumu mpaka pale vifo vilipowakuta
You can’t prove it’s a scam either.
 
Pi coin,ni scam mfano hapo kwenye coinmarket cap inaonesha market cap ni $11B ,hapo wamehonga hadi imekua position namba 11,katika coins zaidi ya Elfi 20,zilizopo hapo........hata wewe unaweza wahonga hao jamaa coin yako iwe na thamani kuliko ETHERIUM,........Pi coin,wenye akili wote wanajua ni scam
Hata ukinunua Pi coin kwenye OKX,Bitget,Pionex,etc.....Pi core team wanachukua KYC zako ulizojaza.
Bitcoin sio scam sababu ukinunua kwenye Binance hauhitaji kujaza KYC kwenye Binance kumiliki coins zako
Una akili sana wewe jamaa Pi coin ni scam
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
Tumia monero, Bitcoin watakupata, watusubiri mpaka unapokuja kuexchange into cash/FIAT.
Na usitumie Centralized exchanges kama Binance, Coinbase n.k, Wala trust wallet mana ni Binance nayo.
Finance, coinbase, sujui fiat, n.k .... mwisho wa siku akili kumkichwa ndugu Watanzania,, hayo maneno yasiwababaishe,,, hebu niishie hapo kwa leo
 
Upo sahihi Pi ni scam,una akili sana we jamaa.
------Ni kweli ,ukimiliki Bitcoin ama coin yeyote haufanyi KYC kwenye exchanges.
--------Ni kweli Bitcoin ndio references ya coins zote duniani,ndio maana maximum supply ya coins zote na mining mechanism ya coins zote ni sawa na Bitcoin
-----------Aiseee ni kweli kabisa kama coin ina mechanism tofauti na Bitcoin hio ni scam
------Hadi sasa Pi coin haina thamani yeyote mfano mtu aliyenunua Pi coins 5000 kwenye exchange ikiwa $0.8 hadi sasa ana bonge la hasara na ameibiwa adata zake tu,kwa hii Price ya $1.9
--------we jamaa ni genius aisee,wanaowekeza kwenye Pi ni wapumbavu
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 2
🤣 🤣 🤣 afrika tutachelewa sana, una uhakika PI ni bure? hujatoa taarifa zako kwa PI?
Pi SI Bure kule unauza taarifa,ambazo hautoi taarifa ni benki,Mitandao ya simu,Mastercard etc.........Pi coin unatoa taarifa,mfano kwenye exchange kama Binance,Coinbase kule ni Bure tu maana hautoi taarifa na haufanyi KYC,pi coin ni scam sababu unafanya KYC
We jamaa ni genius,una akili sana aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 2
we jamaa umefunga kwel mwezi huu
 
Najua unafanya sarcasm ila ukwel ni kwamba wote waliowekeza PI ni mangombe, ndo maana mpaka leo bado wanalilia price ya laki 3 🤣 🤣 , kwa lugha nyepesi you got fooled, na pia nmetumia BTC kama mfano kwa sababu ndo alieanzisha crypto, btc ndo founder wa crypto coins wengine wote wamekuja baada yake, pia muundo wa crypto upo common na unatakiwa uwe transparent, mfano hakuna central authority inaweza kufunga coins zako kwa sababu flan, mfano PI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…