Upo sahihi
nmeshawaeleza mda sana umuhimu wa izo info hawaelewi, wanadhan personal data zko tafauti akienda benki anatumia jina tafauti 🤣 🤣 🤣
Upo sahihi watu wanaomiliki Pi coins hawana akili,.............mfano hapo kwenye hio picha mtu aliyenunua Pi 1000 zikiwa $0.6,hapo amepata hasara ikiwa $1.9 ya kufa mtu,aiseee Pi ni utapeli jamani,.........we jamaa una akili nyingi sanawatu wa PI bana akili zenu wote sawa, kwamba unataka kufananisha bitcoin ilivoanza na PI 🤣 🤣 , wakati bitcoin inaanza ndo ilianza mfumo mzima wa block chain the whole tech is new amna ambae alishawahi kuona kitu kama icho before na ata waliokua nazo hawakununua kwa sababu walitaka zije kuongezeka, walinunua kwa sababu walikua wanataka kufanya bishara za siri sasa wewe jikute kama una akili kuliko wote
Yawezekana pia mlikosea kuzaliwa na ubongo maybe, tabia ya kupenda vitu vya bure imekua tatizo sana afrika at a cost of personal data