Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

we jamaa umefunga kwel mwezi huu
Mi mjanja sana aisee siwezi kua mpumbavu,Pi coins ni scam.
Sababu lazima ufanye KYC kwenye application yao,wakati watu wanahold Bitcoins exchanges kama Binance hata hawafanyi KYC
mtu aliyenunua Pi coins 5000 Bitget ikiwa $0.8 hadi Sasa ana hasara kubwa sana na ameshatapeliwa data zake za Pi application KYC zimetumika na pi core team kuwatajirisha.
Pi coins,ni scam sababu haipo kama Bitcoin
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
Ni sahihi Pi coins ni scam,imagine mtu amenunua Pi 7000,kwa $0.6,daah ana hasara kubwa mno akiuza kwa bei hii chini,hapo Pi core team ndio wamefaidika kwa kuchukua data zake
Hata hio nafasi ya 11,Pi network wamehonga wawe hapo,hata wewe unaweza honga coin yako iwe na thamani kuliko Solana
Pi coins ni scam,waelevu tumeshasema hivo
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
Pi billions zipo bwerere a watu watakua mabilionea hahaah hahaaa hahaaa
 
Kuna watu wanapenda kutapeliwa sana
Watu wanapenda kutapeliwa wenyewe imagine mtu anaenda OKX,bitget,Pionex,etc ananunua Pi 5000 zikiwa $0.6 anaziuza ndani ya wiki tu kwa $1.8,yaani hapa anatapeliwa kabisa na hasara anaipata kwa kujitakia
Daaah watu wajinga sana
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 2
Pi billions zipo bwerere a watu watakua mabilionea hahaah hahaaa hahaaa
Hawawezi kua mabilionea Pi coins market cap yake inazidiwa hata na mtaji wa Mo dewji cheki hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 2
🤣 🤣 🤣 afrika tutachelewa sana, una uhakika PI ni bure? hujatoa taarifa zako kwa PI?
Tushawazoea ninyi, kujifanya Wajuaji hata Kwa maamuzi ya wengine... Zipo taarifa nyingi tu za Watu zinauzwa nje hata ya pi network...!!!

Fata mambo Yako Chief.
 
Hawawezi kua mabilionea Pi coins market cap yake inazidiwa hata na mtaji wa Mo dewji cheki hapa
50cent alisema " mnakata viuno kwenye fake coins , wakati real niggers Wana https://jamii.app/JFUserGuide money from real investments walizoumia kitambo kuzifanya zisimame
 
Jack Ma alipata kusema wakati anaanzisha Alibaba alikua anajua matapeli hawatosogea , alikuja kustuka matapeli ni wengi kuliko watu halisi pamoja na kuweka payment terms Jack anasema watu bado hutapeliwa kama kawaida , jack Ma anasema hadi Leo bado anajifunza juu ya digital platforms na e- commerce
 
50cent alisema " mnakata viuno kwenye fake coins , wakati real niggers Wana JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala money from real investments walizoumia kitambo kuzifanya zisimame
Coins hazina thamani yeyote.
50 cents yupo sahihi,mfano hapo ukiangalia hio Bitcoin thamani yake,unaweza zimiliki hata 200,ni utapeli mtupu.

Hata Pi ni scam maana imeanzia chini sana,tofauti na Bitcoin ambayo ina miaka 14 na ilianzia juu sana,so Pi coin ni scamming
 

Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 2
Jack Ma yupo sahihi,maana utajiri wake ni mkubwa kuliko marketcap ya Bitcoin iliyojaa utapeli mtupu
 
Tushawazoea ninyi, kujifanya Wajuaji hata Kwa maamuzi ya wengine... Zipo taarifa nyingi tu za Watu zinauzwa nje hata ya pi network...!!!

Fata mambo Yako Chief.
bilionea wa kuclick button mambo vp? unaonaje biashara leo ushalipa wafanya kazi salary?
 
Tushawazoea ninyi, kujifanya Wajuaji hata Kwa maamuzi ya wengine... Zipo taarifa nyingi tu za Watu zinauzwa nje hata ya pi network...!!!

Fata mambo Yako Chief.
nna mengi kuhusu pi coin nkimwaga apa kila kitu utakata tamaa however, 🤣 🤣 🤣 🤣
 

Attachments

  • 1741190022818.png
    877.7 KB · Views: 2
Tushawazoea ninyi, kujifanya Wajuaji hata Kwa maamuzi ya wengine... Zipo taarifa nyingi tu za Watu zinauzwa nje hata ya pi network...!!!

Fata mambo Yako Chief.


mabilionea wavivu mbna mmenuna sana
 
Hii ni mind control game kama LBL tu aliyeandaa hii software kapiga pesa kupitia platforms yake kuuza matangazo kwa kuaminisha wajinga eti easy tu una mine software ili kesho uwe tajiri
 
Ku Buy/Sell BTC kwenye exchange inahitaji uwe na KYC
KYC ni kwa ajili ya exchange sio bitcoin, ni kama vile unafanya KYC benki but hakuna namna kumiliki tsh unahitaji KYC, yaaani mtazunguka kote but this project is a pure scam, tamaa ya pesa za bure who knows what comes next?
 
Ku Buy/Sell BTC kwenye exchange inahitaji uwe na KYC
and whats worse ukialika mtu unapewa PI 🤣 🤣 🤣 apo apo mnataka kua mabilionea, sasa Core team na sisi nan wakwel? mliambiwa dola laki 3 tukawaambia haiwezekan mkatuona hatuna akili sasa nan mkwel mpaka sasa
 
Boss upo sawa kweli?
Bitcoin haina Kyc? Aiseee????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…