Mi mjanja sana aisee siwezi kua mpumbavu,Pi coins ni scam.we jamaa umefunga kwel mwezi huu
Sababu lazima ufanye KYC kwenye application yao,wakati watu wanahold Bitcoins exchanges kama Binance hata hawafanyi KYC
mtu aliyenunua Pi coins 5000 Bitget ikiwa $0.8 hadi Sasa ana hasara kubwa sana na ameshatapeliwa data zake za Pi application KYC zimetumika na pi core team kuwatajirisha.
Pi coins,ni scam sababu haipo kama Bitcoin