Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Yaani ana hasara sana ni bora huo muda angetumia kucheza game la nyoka. Yaani mtu unanunua Pi ilivyokuwa $0.6 na sasa unauza kwa 1.7 dollars huo si ni upuuzi.

Naunga mkono hoja, hawa jamaa wana akili sana.
 
Wabongo wanashida sana 🤣🤣🤣
Wanasema ni scam,sasa sijui nani amekuwa scamed na pi,wenzao wote waliokuwa wanasema ni scam wanatamani wangekuwa wanamine.

Hawa jamaa nikuwaacha wakomae na LBL tu wapigwe.
 
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
 
S
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
asa kwa milion 9 mkuu,acha wauze hiyo nida yangu.

Hata wakitaka hardcopy nawatumia tu.

Kwahi kusema wote kina buinance,okx,bitget,butmart wote hao wnaiba taarifa zetu??

Basi mkuu the whole world asilimia 80 ya watu taarifa zao zimeibiwa
 
🤣 🤣 🤣 akuna mtu alieweza kuuza PI kutoka kwenye app wengi wamenunua kwenye exchange wakauza uko uko,nyie mapyonia uchwara ama mabilionea wajao bado core team hawajafurahisha tulia muone show
Unaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo sikukuelewa
 
S

asa kwa milion 9 mkuu,acha wauze hiyo nida yangu.

Hata wakitaka hardcopy nawatumia tu.

Kwahi kusema wote kina buinance,okx,bitget,butmart wote hao wnaiba taarifa zetu??

Basi mkuu the whole world asilimia 80 ya watu taarifa zao zimeibiwa
Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.
 
Mzee,mbona hata now kam unazo pi unawez kuingiza kwenye exchange vizuri tu,hebu ingia hata google basi.

Mbona simple sana,okx unadeposit vizuri na unafanya p2p mpunga unapokea bank au kwa simu.

Unajidharirisha hapa mzee,watu tunaongea vitu tunafanya daily.
 
Unaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
unaona kama sna akili eeeh? hakuna aneweza kuzimahisha kwenda kule, if you want to do that watakupunguzia idadi na bado huo mwamala utafail usione kama hatujui kinachoendelea
 
Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.
🤣🤣🤣🤣
My point hapo ni moja,
Unadhani wngekuwa hawachukui hizo id,wlmtu mmoja angeluwa na account ngapi??

Mimi tu mmoja,nilikuw na accunt tatu za pi,KYC inafanywa hadi na tigo,voda tuseme nao wanaiba taarifa zetu
 
braza fanya ivo utajionea si unaona kama sna akili
 
🤣🤣🤣🤣
My point hapo ni moja,
Unadhani wngekuwa hawachukui hizo id,wlmtu mmoja angeluwa na account ngapi??

Mimi tu mmoja,nilikuw na accunt tatu za pi,KYC inafanywa hadi na tigo,voda tuseme nao wanaiba taarifa zetu
kwan trust wallet hairuhusu kua na akaunti nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…