Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
Yaani ana hasara sana ni bora huo muda angetumia kucheza game la nyoka. Yaani mtu unanunua Pi ilivyokuwa $0.6 na sasa unauza kwa 1.7 dollars huo si ni upuuzi.

Naunga mkono hoja, hawa jamaa wana akili sana.
 
wenyewe walivyo na akili za bata( kuharisha ovyo ovyo) wamekalia neno mabilionea mabilionea mara sijui scam mara sijui walidhani itaanza na 314k$ !

ni watu fulani hawajielewi alafu wana wivu sana ona wewe umepata 9M na zingine umehold hapo hujatoa hata mia!
Hao jamaa wamekaa kishabiki hata watoto wa kike hawapo hivyo.

mkuu naona nikuachana nao wanajifanya wajuaji wakati hawaelewi chochote. Achana nao
Wabongo wanashida sana 🤣🤣🤣
Wanasema ni scam,sasa sijui nani amekuwa scamed na pi,wenzao wote waliokuwa wanasema ni scam wanatamani wangekuwa wanamine.

Hawa jamaa nikuwaacha wakomae na LBL tu wapigwe.
 
Daah,maneno meengi.

Sasa kwahiyo kama mtu ameweza kupiga mpaka milion tisa kun ubaya gani mzee??

Wabongo ujuaju mwingi sana.

Huo uscam wa pi ni upi sasa,na ndo kwaanza unaanza kupaa.

Mimi niseme tu nashukuru nimeoig gela y kutosha na pi,na bado ninazo nyingine nazihold.

I have nothing to lose mzee

Nitaangali baadae wameniscam nini,tuache ujuaji kwa tusiyoyajua
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
 
S
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
asa kwa milion 9 mkuu,acha wauze hiyo nida yangu.

Hata wakitaka hardcopy nawatumia tu.

Kwahi kusema wote kina buinance,okx,bitget,butmart wote hao wnaiba taarifa zetu??

Basi mkuu the whole world asilimia 80 ya watu taarifa zao zimeibiwa
 
🤣 🤣 🤣 akuna mtu alieweza kuuza PI kutoka kwenye app wengi wamenunua kwenye exchange wakauza uko uko,nyie mapyonia uchwara ama mabilionea wajao bado core team hawajafurahisha tulia muone show
Unaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
 
Yes Hawa jamaa wanaumia sana aisee,imagine mtu ana Pi 1000,ziko unlocked anaziuza kwa $1.8 na alizipata Bure,si hasara hiii.
Wakati watanzania wanapiga hela kirahisi sana mtaani kwenye biashara zao,...........Pi coins ni scam,kwanza kumine hii Pi coin ni siku nzima mtu unaacha kazi zako,ni hata bora ushinde Instagram bando lako liliwe kucheki umbea kuliko kubonyeza Pi mining application,kwa dakika 1 kwa siku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo sikukuelewa
 
S

asa kwa milion 9 mkuu,acha wauze hiyo nida yangu.

Hata wakitaka hardcopy nawatumia tu.

Kwahi kusema wote kina buinance,okx,bitget,butmart wote hao wnaiba taarifa zetu??

Basi mkuu the whole world asilimia 80 ya watu taarifa zao zimeibiwa
Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.
 
Ndio mkuu nyie mnaobonyeza mine kila sku mna akili kuliko watu wote na mtakua mabilionea wala msiwe na shaka 🤣 🤣 🤣 , mnaona hawa wanauchukua mikopo kuanzisha biashara? hawa ni makuku hawana akili nyie ndo mna akili kuliko watu wote na mnatumia bando zenu vizuri, core team sku sio nyingi watawaruhusu mhamishe coin zenu ziende kwenye exchange alafu mtakua mabilionea mnatakiwa kua na subira tu
Mzee,mbona hata now kam unazo pi unawez kuingiza kwenye exchange vizuri tu,hebu ingia hata google basi.

Mbona simple sana,okx unadeposit vizuri na unafanya p2p mpunga unapokea bank au kwa simu.

Unajidharirisha hapa mzee,watu tunaongea vitu tunafanya daily.
 
Unaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
unaona kama sna akili eeeh? hakuna aneweza kuzimahisha kwenda kule, if you want to do that watakupunguzia idadi na bado huo mwamala utafail usione kama hatujui kinachoendelea
 
Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.
🤣🤣🤣🤣
My point hapo ni moja,
Unadhani wngekuwa hawachukui hizo id,wlmtu mmoja angeluwa na account ngapi??

Mimi tu mmoja,nilikuw na accunt tatu za pi,KYC inafanywa hadi na tigo,voda tuseme nao wanaiba taarifa zetu
 
Mzee,mbona hata now kam unazo pi unawez kuingiza kwenye exchange vizuri tu,hebu ingia hata google basi.

Mbona simple sana,okx unadeposit vizuri na unafanya p2p mpunga unapokea bank au kwa simu.

Unajidharirisha hapa mzee,watu tunaongea vitu tunafanya daily.
braza fanya ivo utajionea si unaona kama sna akili
 
🤣🤣🤣🤣
My point hapo ni moja,
Unadhani wngekuwa hawachukui hizo id,wlmtu mmoja angeluwa na account ngapi??

Mimi tu mmoja,nilikuw na accunt tatu za pi,KYC inafanywa hadi na tigo,voda tuseme nao wanaiba taarifa zetu
kwan trust wallet hairuhusu kua na akaunti nyingi?
 
Back
Top Bottom