Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Kutoa pi app,nimetrade kwenye exchange.mil 9 kutoka PI app ama umenunua kutoka exchange
Sasa mkuu kumbe kitu hujui,mbona unaongea uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoa pi app,nimetrade kwenye exchange.mil 9 kutoka PI app ama umenunua kutoka exchange
Yaani ana hasara sana ni bora huo muda angetumia kucheza game la nyoka. Yaani mtu unanunua Pi ilivyokuwa $0.6 na sasa unauza kwa 1.7 dollars huo si ni upuuzi.stakehigh Pi coin ni utapeli,mfano mtu ungenunua Pi ikiwa $0.6,tunavoongea sasa hivi ana hasara ya kufa mtu na ameibiwa data zake tu.
Hata aliyenunua Bitcoin mwaka 2020 akiamini itafika $200,000 mwaka 2025,tunavoongea Sasa ana hasara ya kufa mtu sababu bei aliyoiamini haikufika
Wabongo wanashida sana 🤣🤣🤣wenyewe walivyo na akili za bata( kuharisha ovyo ovyo) wamekalia neno mabilionea mabilionea mara sijui scam mara sijui walidhani itaanza na 314k$ !
ni watu fulani hawajielewi alafu wana wivu sana ona wewe umepata 9M na zingine umehold hapo hujatoa hata mia!
Hao jamaa wamekaa kishabiki hata watoto wa kike hawapo hivyo.
mkuu naona nikuachana nao wanajifanya wajuaji wakati hawaelewi chochote. Achana nao
😂😂😂😂😂Mbona unachekacheka hovyo kama malaya aliyeona bia?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pi coin ni scam hakuna sehemu ilipokua listed,hizi bei unazoziona ni coreteam wamehonga iwe hivo
Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.Daah,maneno meengi.
Sasa kwahiyo kama mtu ameweza kupiga mpaka milion tisa kun ubaya gani mzee??
Wabongo ujuaju mwingi sana.
Huo uscam wa pi ni upi sasa,na ndo kwaanza unaanza kupaa.
Mimi niseme tu nashukuru nimeoig gela y kutosha na pi,na bado ninazo nyingine nazihold.
I have nothing to lose mzee
Nitaangali baadae wameniscam nini,tuache ujuaji kwa tusiyoyajua
asa kwa milion 9 mkuu,acha wauze hiyo nida yangu.Wameiba taarifa zako wanaziuza kwa watu huko ulaya ambao hata hawakujui na hawana time na wewe. Kama umepata 9M maana yake umeuza picha ya kitambulisho chako kwa 9 M.
Unaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!🤣 🤣 🤣 akuna mtu alieweza kuuza PI kutoka kwenye app wengi wamenunua kwenye exchange wakauza uko uko,nyie mapyonia uchwara ama mabilionea wajao bado core team hawajafurahisha tulia muone show
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo sikukuelewaYes Hawa jamaa wanaumia sana aisee,imagine mtu ana Pi 1000,ziko unlocked anaziuza kwa $1.8 na alizipata Bure,si hasara hiii.
Wakati watanzania wanapiga hela kirahisi sana mtaani kwenye biashara zao,...........Pi coins ni scam,kwanza kumine hii Pi coin ni siku nzima mtu unaacha kazi zako,ni hata bora ushinde Instagram bando lako liliwe kucheki umbea kuliko kubonyeza Pi mining application,kwa dakika 1 kwa siku
Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.S
asa kwa milion 9 mkuu,acha wauze hiyo nida yangu.
Hata wakitaka hardcopy nawatumia tu.
Kwahi kusema wote kina buinance,okx,bitget,butmart wote hao wnaiba taarifa zetu??
Basi mkuu the whole world asilimia 80 ya watu taarifa zao zimeibiwa
Mzee,mbona hata now kam unazo pi unawez kuingiza kwenye exchange vizuri tu,hebu ingia hata google basi.Ndio mkuu nyie mnaobonyeza mine kila sku mna akili kuliko watu wote na mtakua mabilionea wala msiwe na shaka 🤣 🤣 🤣 , mnaona hawa wanauchukua mikopo kuanzisha biashara? hawa ni makuku hawana akili nyie ndo mna akili kuliko watu wote na mnatumia bando zenu vizuri, core team sku sio nyingi watawaruhusu mhamishe coin zenu ziende kwenye exchange alafu mtakua mabilionea mnatakiwa kua na subira tu
unaona kama sna akili eeeh? hakuna aneweza kuzimahisha kwenda kule, if you want to do that watakupunguzia idadi na bado huo mwamala utafail usione kama hatujui kinachoendeleaUnaona jinsi ulivo hujui kitu! Nimekwambia wamezitoa Pi zao kwenye wallet ya Pi na kuzipeleka au deposit kwenye exhange wanazopenda na kuziuza!
Kumbe tunaweza kuwa tunabishana na mtu mwenye IQ ndogo!
🤣🤣🤣🤣Mkuu ukipata sehemu nyingine wenye wanataka taatifa zangu wanipe hela nishtue hata kama ni elfu 50. Wakinipa laki nauza hadi za familia.
braza fanya ivo utajionea si unaona kama sna akiliMzee,mbona hata now kam unazo pi unawez kuingiza kwenye exchange vizuri tu,hebu ingia hata google basi.
Mbona simple sana,okx unadeposit vizuri na unafanya p2p mpunga unapokea bank au kwa simu.
Unajidharirisha hapa mzee,watu tunaongea vitu tunafanya daily.
kwan trust wallet hairuhusu kua na akaunti nyingi?🤣🤣🤣🤣
My point hapo ni moja,
Unadhani wngekuwa hawachukui hizo id,wlmtu mmoja angeluwa na account ngapi??
Mimi tu mmoja,nilikuw na accunt tatu za pi,KYC inafanywa hadi na tigo,voda tuseme nao wanaiba taarifa zetu
Ndio,umeshindwa wapi,mkuu??Mkuu umeweza kuuza coinu zako?
ina value ya mabilionea tajiriKwani Pi coin Ina value yeyote ile,sokoni?
🤣 🤣 🤣 hizo coin haziuziki muwe mnaelewaNdio,umeshindwa wapi,mkuu??
Pi zako ziko migrated?
Daah aisee,so unafananiaha trust wallet na pi???like serious...basi mkuukwan trust wallet hairuhusu kua na akaunti nyingi?
tupe hio block chain transactionKutoa pi app,nimetrade kwenye exchange.
Sasa mkuu kumbe kitu hujui,mbona unaongea uongo?