Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Nina Pi nyingine 500 ambazo naweza kuziuza muda wowote na nina nyingine 1400 ambazo nasubiri ziwe migrated niweze kuzitumia.

Kuhusu kuwa dollar ngapi inategemea mtu info zake alikuwa anazipata wapi ila mimi nilijua ikifunguliwa haitazidi USD 3 na ikiendelea kufanya vizuri mbeleni inaweza kufikia kule ambaPo watu wali predict.

Ila mimi sioni watu wanaumiaje na wakatu ni kitu mtu una mine free. Hapakuwa na cost yoyote gharama pekee ni muda ambao ni mara moja kwa masaa 24 unabofya tu neno mine. Hata haili mb 1.
Sasa pi 300 tu nina dollar 500+ ambayo ni million na laki kadhaa nina hasara gani?
Sio hasara but haina impact kwenye maisha, hio ni ela mwezi imeisha ukilinganisha na effort uliotumia tuseme 6 years ungeanzisha ata duka la nguo huenda mpaka leo ungefunga hesabu za mil 10 kila mwezi, investment sio lazima iwe ya pesa pia kama umepata mil 1 basi wao wamevuka ata mil 100 kwako, unatakiwa ujue kuna biashara ya kuuza taarifa wewe ni mlango wa mafanikio kwao
 
huyu bwege mjuaji kuliko Wataalamu wa blockchain alisema pi haitafika hta $1 Sasa amejionea mwenyewe pi imemjibu
We unaelewa thamani ya pi ni 0, au hiyo price tag inakuchanganya?
Kama unaamini sio scam uza hata pi 2 uje hapa na uthibitisho kwamba umeuza, unaongea usichokielewa, na mtalia sana.
 
Nina Pi nyingine 500 ambazo naweza kuziuza muda wowote na nina nyingine 1400 ambazo nasubiri ziwe migrated niweze kuzitumia.

Kuhusu kuwa dollar ngapi inategemea mtu info zake alikuwa anazipata wapi ila mimi nilijua ikifunguliwa haitazidi USD 3 na ikiendelea kufanya vizuri mbeleni inaweza kufikia kule ambaPo watu wali predict.

Ila mimi sioni watu wanaumiaje na wakatu ni kitu mtu una mine free. Hapakuwa na cost yoyote gharama pekee ni muda ambao ni mara moja kwa masaa 24 unabofya tu neno mine. Hata haili mb 1.
Sasa pi 300 tu nina dollar 500+ ambayo ni million na laki kadhaa nina hasara gani?
Naomba nitumie laki tu kwenye hio million moja na point zake. Hio haina hasara haimalizi hata mb 3 kwenye mpesa app.
 
Nina Pi nyingine 500 ambazo naweza kuziuza muda wowote na nina nyingine 1400 ambazo nasubiri ziwe migrated niweze kuzitumia.

Kuhusu kuwa dollar ngapi inategemea mtu info zake alikuwa anazipata wapi ila mimi nilijua ikifunguliwa haitazidi USD 3 na ikiendelea kufanya vizuri mbeleni inaweza kufikia kule ambaPo watu wali predict.

Ila mimi sioni watu wanaumiaje na wakatu ni kitu mtu una mine free. Hapakuwa na cost yoyote gharama pekee ni muda ambao ni mara moja kwa masaa 24 unabofya tu neno mine. Hata haili mb 1.
Sasa pi 300 tu nina dollar 500+ ambayo ni million na laki kadhaa nina hasara gani?
Huwezi mine pi, labda huelewi maana ya mining, mnachokifanya ni entertainment mining, ingekuwa pi unamine basi wangeishaitoa app kwenye playstore,
Pi ni clicking token inayowaibia data na kuwapotezea muda.
Screenshot_20250223-101954.jpg
 
Sio hasara but haina impact kwenye maisha, hio ni ela mwezi imeisha ukilinganisha na effort uliotumia tuseme 6 years ungeanzisha ata duka la nguo huenda mpaka leo ungefunga hesabu za mil 10 kila mwezi, investment sio lazima iwe ya pesa pia kama umepata mil 1 basi wao wamevuka ata mil 100 kwako, unatakiwa ujue kuna biashara ya kuuza taarifa wewe ni mlango wa mafanikio kwao
Ha ha ha ha ha .
Hamna hasara kabisa, hamna hasara hata kwa mbali. Sasa kama mtu anakesha kwenye simu kucheza games ambazo hapati chochote, mtu anakesha online kusoma umbea ambao haumsaidii chochote na mtu ambaye leo hii kile alichokifanya ambacho kwa siku hakikuchokua zaidi ya dakika moja na anapata mpunga hapo mwenye hasara ni nani boss?

Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
 
Kuna wengi walikuwa na matarajio itakuwa na 60+ kwa pi nadhani itakuwa limewa let down.
Ikiwa listed binance huenda inaweza kupanda hadi $10
You are a good dreamer! Never invest in any venture that you’re not conversant with! Ndio maana mnapoteza hela mnasema mmetapeliwa kumbe ujinga wenu wenyewe.
 
Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
Unaelewa maana ya market cap na circulation supply kwenye crypto ?

Price ya pi ni 0 kwasabu Haina circulation supply Wala market cap. Hiyo mnayoiona ni tagged price coin husika Haina value kabisa. Acha kupoteza muda.
 
Sijawahi kupoteza ela katika uwekezaji... Sijawahi hata mara moja.
 
Ha ha ha ha ha .
Hamna hasara kabisa, hamna hasara hata kwa mbali. Sasa kama mtu anakesha kwenye simu kucheza games ambazo hapati chochote, mtu anakesha online kusoma umbea ambao haumsaidii chochote na mtu ambaye leo hii kile alichokifanya ambacho kwa siku hakikuchokua zaidi ya dakika moja na anapata mpunga hapo mwenye hasara ni nani boss?

Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
Ulijiunga lini mkuu? Umeweza kuuza au? Mimi niliambiwa siku nyingi lakini siku download app kwa sababu kulikuwa na taarifa kuwa wanatumia watu kujipatia fedha za matangazo. Kuna ndugu yangu aliniomba ushauri nikamwambia as long as hatakiwi kulipa chochote basi anaweza kufanya tu kwani haiathiri pato lake. Kwanza simu yake iko online muda wote. Pili asiweke tegemeo la kuvuna utajiri awe kama anajifurahisha tu.
 
Hahahaaa hiyo mbona imeshaisha😂😂nimelipa ada.
Mkuu umeuza bitget au okx? Bybit juzi hackers wamepita na eth zenye thamani ya dola bilioni 1.4 kwa speed ya 6G. Jana kila mtu akataka kutoa coin zake kiasi kwamba wakazidiwa maana request za kutoa zimeongezeka zaidi ya mara mia.
 
Unaelewa maana ya market cap na circulation supply kwenye crypto ?

Price ya pi ni 0 kwasabu Haina circulation supply Wala market cap. Hiyo mnayoiona ni tagged price coin husika Haina value kabisa. Acha kupoteza muda.
😂😂😂😂boss pi nimezipata bure lakini naziuza napata hela.
Hapo hamna muda uliopotezwa.
 
Mkuu umeuza bitget au okx? Bitget juzi hackers wamepita na eth zenye thamani ya dola bilioni 1.4 kwa speed ya 6G. Jana kila mtu akataka kutoa coin zake kiasi kwamba wakazidiwa maana request za kutoa zimeongezeka zaidi ya mara mia.
Sio bitget,
Bybit ndio wameibiwa $1.5B hackers walimanipulate UI Kwa signers, wakati wanahamisha kutoka cold wallet kwenda kwenye warm wallet.

Na Bybit ni exchange kubwa ambayo ilishatangaza kuwa hawawezi kulist pi coin kwasabu ni scam.

Screenshot_20250223-105243.jpg
 
Sio bitget,
Bybit ndio wameibiwa $1.5B hackers walimanipulate UI Kwa signers, wakati wanahamisha kutoka cold wallet kwenda kwenye warm wallet.

Na Bybit ni exchange kubwa ambayo ilishatangaza kuwa hawawezi kulist pi coin kwasabu ni scam.

View attachment 3246156
Yes nilikosea kweli ni bybit. Asante kwa kuweka rekodi sawa
 
😂😂😂😂boss pi nimezipata bure lakini naziuza napata hela.
Hapo hamna muda uliopotezwa.
Umeuza wapi ? njoo hapa tuthibitishie, otherwise inafanya bluffing tu hakuna lolote.
 
Yes nilikosea kweli ni bybit. Asante kwa kuweka rekodi sawa
Na yaweza kuwa Pi wamehusika, japo Kuna taarifa ni Lazarus, mana ni siku Moja tu baada ya CEO wa bybit kusema Pi ni scam, na siku Moja baada ya Pi kulaunch Mainnet.
Kuna post ilikuwa Binance wameifuta.

Screenshot_20250223-105745.jpg
 
Ha ha ha ha ha .
Hamna hasara kabisa, hamna hasara hata kwa mbali. Sasa kama mtu anakesha kwenye simu kucheza games ambazo hapati chochote, mtu anakesha online kusoma umbea ambao haumsaidii chochote na mtu ambaye leo hii kile alichokifanya ambacho kwa siku hakikuchokua zaidi ya dakika moja na anapata mpunga hapo mwenye hasara ni nani boss?

Najua wengi mlitegemea ni scam na watu hawatapata chochote ila kilichotokea kimekuwa pia tofauti na mategemeo yenu ndio maana mmebaki kusema ina price ndogo. Price ndogo kwa mtaji wa shingapi tuliowekeza? Ningefungua duka la nguo ningehitaji mtaji right?
Ungefungua duka ata na mtaji wa mil 1 miaka 6 ni mingi sana mtaji ungekua ushakua na ungekua mbali vibaya mno, PI mbna kila mtu anajua ni scam haina coin mpaka leo wamengangania KYB wakati amna coin yoyote duniani inafanya huo upuuzi kila coin inataman kuingia kwenye exchange

2) Unapokua na kitu kama PI inakutengenezea mazingira ya uvivu ama expectations za uongo, kuna watu walifanya mpaka uzinduzi pale city garden hii inaashiria tuna watu ambao ni wavivu wa kufanya kazi na kufikiria kwa kuweka mategemo ya utajiri

chukulia huu mfano mategemeo yote na jitihada zote za PI coin ulizokua umeweka, hii nguvu ungeweka katika kufanya kazi leo ungeshangilia mil 1? 6 years expectation ~ 1M?
 
Back
Top Bottom