stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Sio hasara but haina impact kwenye maisha, hio ni ela mwezi imeisha ukilinganisha na effort uliotumia tuseme 6 years ungeanzisha ata duka la nguo huenda mpaka leo ungefunga hesabu za mil 10 kila mwezi, investment sio lazima iwe ya pesa pia kama umepata mil 1 basi wao wamevuka ata mil 100 kwako, unatakiwa ujue kuna biashara ya kuuza taarifa wewe ni mlango wa mafanikio kwaoNina Pi nyingine 500 ambazo naweza kuziuza muda wowote na nina nyingine 1400 ambazo nasubiri ziwe migrated niweze kuzitumia.
Kuhusu kuwa dollar ngapi inategemea mtu info zake alikuwa anazipata wapi ila mimi nilijua ikifunguliwa haitazidi USD 3 na ikiendelea kufanya vizuri mbeleni inaweza kufikia kule ambaPo watu wali predict.
Ila mimi sioni watu wanaumiaje na wakatu ni kitu mtu una mine free. Hapakuwa na cost yoyote gharama pekee ni muda ambao ni mara moja kwa masaa 24 unabofya tu neno mine. Hata haili mb 1.
Sasa pi 300 tu nina dollar 500+ ambayo ni million na laki kadhaa nina hasara gani?