Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Hii uliyoiweka hapa ni memecoin ipo kwenye BSC
Screenshot_20250225_181511_com.UCMobile.intl_edit_1146698310246894.jpg


Fungua wallet yoyote andika pi kwenye search bar zitakuja nyingi tu kama hapa chini
Screenshot_20250225_182115_com.binance.dev_edit_1146920375370818.jpg


Hii ndio pi yenyewe coin market cap
Screenshot_20250225_181702_com.UCMobile.intl_edit_1146734162748451.jpg
 
Nikitupia Pi 500*2.1$ *2600

Pi Is Money Ngoja tuwe wavumilivu mpaka zile DApps ziwe released na ikawe listed na Binance..
Halafu mtu aseme ni scam kweli?

Na mwezi ujao panaweza kuwa na next migration.
 
Halafu mtu aseme ni scam kweli?

Na mwezi ujao panaweza kuwa na next migration.
watu hawajielewi hii ni mapinduzi kwenye Cryptos! watu wataona maajabu..yaani watu wafanye hackathon, gcv movements uite sijui wanachukua data.Ndo binadamu lakini hatuwezi fanana
 
watu hawajielewi hii ni mapinduzi kwenye Cryptos! watu wataona maajabu..yaani watu wafanye hackathon, gcv movements uite sijui wanachukua data.Ndo binadamu lakini hatuwezi fanana
Data zenyewe zitawasaidia nini😂😂😂.
Price si imefika dollar tatu. Tuliouza na dola moja na point roho zinatuuma😂
IMG_4411.png
 
Ukiwa na akili timamu lazima ujiulize haya maswali
1)Toka lini crypto coin inahitaji KYC, yaani leo hii nkitaka kumiliki BTC nifanye KYC?
2) Lenogo la crypto ni kua hidden ila PI wanataka nijaze taarifa zangu
3) Kuhusu tukio lililotokea china watu kutekwa Kukiwa kunahisishwa PI , ukiwa na akili timamu lazima ujiondoe,
4) Ushawahi kuona matangazo kwenye btc? ama ushawahi kuona btc anakwambia sajili mtu kwa code yako upate btc za nyongeza
5) Uafrika nao ni tatizo, mtu yuko radhi auliwe ila apate pesa duu 🤣 🤣 🤣
Huna akili wewe unajifnya mjuaji sana kabla ya hyo bitcoin kuwepo uliwahi waza kutakuwepo bitcoin km hukuwahi waza bx tuliza mkundu wako Teknolojia inakuwa kila siku kenge wewe
 

Hatuwezi kuelewana kwa sababu umeweka tamaa mbele. unachokiona na unachotaka kikskia ni pesa ofwhich skulaumu ukiangalia huu mradi watu wengi walioushikilia wana motives zilizojificha chini yake, Nikolas anaaminisha watu PI ni kitu exceptional 🤣 🤣 🤣 ndo maaana ata mlivoambiwa GCV amna aliejihangaisha kutumia akili kwa sababu tamaa zenu zpo mbele, ni eperienced traders tu walijitokeza na kusema huu mradi ni scam na hakuna namna coin inaweza kua na supply ya 100B ikauzwa $314k ila nyie tamaa mliona kama watu wana wivu na nyie, tarehe 20 mlijionea wenyewe

2) Hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuuza taarifa zake mtandaoni kwa kuahidiwa ela, kwa sisi tuliokua online for the longest tunaelewa, mpaka leo tunasumbuana na google kuhusu kukusanya taarifa zetu na hua wanapigwa fine kubwa, ila kwa nyie mliokua na tamaa hamuwezi kuelewa ni juzi tu apa china watu walitekwa na kuuliwa uchunguzi kuja kubaini utekaji unahusiana na PI ila wewe unaeona tamaa zaidi ya uhalisia amna namna utaweza kushaurika, Issue ya GCV nadhan mshaona uhalisia sasa bado kuhusu issue ya taarifa
FB_IMG_1740635988904.jpg

Endelea kuweka 50$, 20$, 5$ ku hold ukitegemea siku utapiga 10k$
 
Hatimaye ipo kwa hewa sasa, full kuchekelea. Mimi nilisema hata kama ni uongo acha ni mine tu kikubwa silipii. Leo nawacheka 😁😁😁
Nothing is free in this world. There is always a price to pay covertly or overtly.
Mfano misaada kupitia USAID sasa Trump na Elon Musk wana wasanua what was going on behind the curtain.
 
Huna akili wewe unajifnya mjuaji sana kabla ya hyo bitcoin kuwepo uliwahi waza kutakuwepo bitcoin km hukuwahi waza bx tuliza mkundu wako Teknolojia inakuwa kila siku kenge wewe
watu wa PI bana akili zenu wote sawa, kwamba unataka kufananisha bitcoin ilivoanza na PI 🤣 🤣 , wakati bitcoin inaanza ndo ilianza mfumo mzima wa block chain the whole tech is new amna ambae alishawahi kuona kitu kama icho before na ata waliokua nazo hawakununua kwa sababu walitaka zije kuongezeka, walinunua kwa sababu walikua wanataka kufanya bishara za siri sasa wewe jikute kama una akili kuliko wote

Yawezekana pia mlikosea kuzaliwa na ubongo maybe, tabia ya kupenda vitu vya bure imekua tatizo sana afrika at a cost of personal data
 
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.

McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black software, Kwa wale msiofahamu kuhusu black software, black software ni zile software unazopewa task utengeneze lakini haziko public available, na Wala hauwezi kuwa na ruhusa ya kusema in public ulitengeneza software Gani, mana ukianza tu kuzigusia hata Kwa uchache ktk public unakuwa ni national threat, mwisho wa siku inabidi wakuue.

McAfee alipiga pesa nyingi kwenye crypto sio kwasabu ya kutrade bali kumention coin ambazo watu wanunue na kuuza kwenye Twitter Kwa sasa X, alikuwa anapewa commission yake lakini wamiliki wa coin walipiga pesa ndefu kutoka Kwa raia au followers wa McAfee, mana walikuwa wanacheza na Liquidity.

Kwa wale ambao tunafuatilia Habari ndiomana tunaona black project ambazo wamezifanya USA kwenye Area 51, Kuna wanajeshi zimewasababishia kansa lakini wanachohitaji ni matibabu tu sio fidia, na hata uwaulize walikuwa wanafanya nini Area 51 hawawezi sema kwasabu ni classified project, na hata taarifa za kuthibitisha kwamba walishiriki haziwezi patikana kwasabu ni National interest,

Leo nataka niwaambie wale wote wanaomiliki Pi, kuwa Pi ni scam project haitompa mtu umilionea zaidi ya wamiliki kwasabu wamepiga pesa nyingi kwenye Ads na data mining, wamekusanya KYC na kuuza Kwa makampuni yanayohusika, hususani MeTa na Google.
Pi yaweza kuwa ni black project ya kukusanya taarifa zenu na kuweka malware kwenye simu zenu.

Crypto unahitaji elimu na sio ukurupukaji, ndiomana ma CEO wa Pi ni social engineers sio crypto enthusiast, kaangalie hata chuo alichosoma CEO wa Pi wame mremove kwenye bio ili wajiepushe na scam ambayo kesho mtaishuhudia.

Kama unaelewa crypto mining huwezi sema unamine Pi, ndiomana apps zote za mining play store walishagazitoa.

Watu wanafikiri pi itampiku BTC lakini haiwezi japokuwa BTC Kuna siku itakuwa na anguko kubwa pale watu watakapojifunza maana halisi ya privacy, kwasabu huwezi amini katika privacy na unatumia CeX (centralized exchanges) kama Binance, Coinbase n.k kwasabu ni trackable.

Bitcoin sio anonymous bado ni trackable kwahiyo naamini kizazi kijacho hakitoitumia Bitcoin kwasabu ni zero privacy.

Sasa vipi kuhusu Pi ambayo ni KYC based, haziko open source tujue wanafanya nini Wala Chochote, lakini wajinga wanaikumbatia na hususani wazee wa affiliate,
Niwaambie tu Pi haitofika hata 1$ ila itavanish

Sasa kesho tusubiri kuona crypto millionaire wa Pi Network waje hapa mana ni siku ya Mainnet.
Wewe itakua unamilikiii meme coins ambazo hazina economy value lakin unaipondaa pi network pia 😁😁 pi iko 2.. pi ni real project hii ni marathon ila kuweza kuipiku btc ni ngumu hata ukiangaliaa tokenomics za pi na btc ni tofauti baadh ya Pi fans wana mawenge ya kutaka kufanikiwa chap ila ni project halisi hata kama wamekusanya data Sheria za US, Europe lazima KYC kwa usalamaa ila onchain Pi network inapiga kazi freshii una store pi zako na kutuma baadhi ya exchange acha kukurupukaa itakua pia una uelewaa mdogo kuhusu finTech 😁😁
 
Hamna analojua huyo mwache aendelee kubet , ushawahi kuona mcheza kamari ana akili
sawa nyie ndo mna akili kuliko wote ndo maaana pi imeingia na price ya laki tatu kwa sababu mna akili kuliko kila mtu
 
Back
Top Bottom