BrainOs
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 292
Hongera1632
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera1632
Ku mine ni Bure, kufungua app ni Bure..!Wakuu nimeinstall app ya pi na nimeanza kumine today sielewi kama kweli nitapata au maana mimi kwenye crypto ni mgeni mnanisaidiaje wakuu
Done. Vipi hakuna coin nyingine tnayoweza kumine pia i have unlimited internetKu mine ni Bure, kufungua app ni Bure..!
Ule muda unaotumia kupita jf, fb ama insta, na zile mbs unazotumia huko, unaweza kutumia mbs hizo hizo kubonyeza kitufe tu kwenye app ya pi then ukaendelea na mambo mengine...!
Usisikilize wajuaji wa jf ujuaji ukizidi unakua ni Ushamba..!
Wewe Fanya hivyo endelea na mishe zako...! Kuna siku pi itakuja kukushangaza.
Zipo nyingi, ila pi ndo coin yenye Lengo tofauti kuliko coins zote....!Done. Vipi hakuna coin nyingine tnayoweza kumine pia i have unlimited internet
unayo app nyingine unayoitumia kumine? maana nasearch sipati majibu ya kuelewekaZipo nyingi, ila pi ndo coin yenye Lengo tofauti kuliko coins zote....!
Ila kama unataka tu u mine coin kwenye hatua za awali then uje uuze zikiwa Launch ama zikipanda bei, zipo nyingi tu na ni Bure...!
Bees coin, Kuna Meme na nyingine.
ok safi! zinatoka ukiwithdraw p2p?1632
Hapana Mimi na mine Pi coins tu, Kwa sababu ya malengo ya founders, niliyayaelewa nikaona ni support...!unayo app nyingine unayoitumia kumine? maana nasearch sipati majibu ya kueleweka
Price ya pi Iko manipulated kama unaelewa Volatility ya crypto assets utanielewa, pi ina Volatility kubwa sana na hivyo kuwa na risk kubwa, japokuwa bado ni IOU.Hi, snipa , stakehigh !! I haven’t heard from you for a while.
Pi has reached the 11th position in global cryptocurrency, according to CoinMarketCap. Hahahahaaaaa, those who called Pi a scam will soon hide 😂😂. A moment of silence for the haters 🙏😂.
So, Does it still have a zero market cap?
View attachment 3258623
Pole mkuu usipoteze Tena muda, mana hata pi core team hawawezi kukusaidia, wengi wanalamika wizi na manipulation ambazo baadhi pi nao wanahusika.Wakuu nimechange password nikilogin tena nakuta coin zote hazipo imeanza upya (leo ndio nimeanza kumine) how?
it doesnt verify kwamba ni legalHi, snipa , stakehigh !! I haven’t heard from you for a while.
Pi has reached the 11th position in global cryptocurrency, according to CoinMarketCap. Hahahahaaaaa, those who called Pi a scam will soon hide 😂😂. A moment of silence for the haters 🙏😂.
So, Does it still have a zero market cap?
View attachment 3258623
Done. Vipi hakuna coin nyingine tnayoweza kumine pia i have unlimited internet
Upo sahihi wanaomiliki Pi coins hawana akili Timamu na Pi haina thamani yeyote ile,huwezi hata kuwithdrawal,mfano hapo inaonekana PiCoin ipo position 11,wamehonga TU hao iwe position hio,hata wewe unaweza kuhonga coin yako iwe na thamani ya market cap kuliko Etherium.Ukiwa na akili timamu lazima ujiulize haya maswali
1)Toka lini crypto coin inahitaji KYC, yaani leo hii nkitaka kumiliki BTC nifanye KYC?
2) Lenogo la crypto ni kua hidden ila PI wanataka nijaze taarifa zangu
3) Kuhusu tukio lililotokea china watu kutekwa Kukiwa kunahisishwa PI , ukiwa na akili timamu lazima ujiondoe,
4) Ushawahi kuona matangazo kwenye btc? ama ushawahi kuona btc anakwambia sajili mtu kwa code yako upate btc za nyongeza
5) Uafrika nao ni tatizo, mtu yuko radhi auliwe ila apate pesa duu 🤣 🤣 🤣
Done. Vipi hakuna coin nyingine tnayoweza kumine pia i have unlimited internet
We jamaa una akili nyingi sana ,ni kweli bei ya Pi Binance na Kila kitu ni zero,sababu Binance ndio reference ya cryptos zote dunaini na coinamarketcap.com pale ni kwa matapeli tu,mtu yeyote anaweza kuhonga coin yake iwe na thamani hata zaidi ya XRP na EtheriumPrice ya pi Iko manipulated kama unaelewa Volatility ya crypto assets utanielewa, pi ina Volatility kubwa sana na hivyo kuwa na risk kubwa, japokuwa bado ni IOU.
Kama Pi anaweza manipulate price yake atashindwa vipi manipulate mpka hao coinmarketcap, kwasabu Market cap ya pi na supply kwenye circulation bado ni zero kaangalie kwenye Binance utaona.
Na hao hao Coinmarketcap wamewahi shusha market cap ya pi mpaka zero.
Pi bado ni IOU ambayo itakuja kupotea, hata ionekane number one kwenye list ya market cap bado haiuziki kwasabu sio coin halisi ni IOU.
Bro you are living in the past. Pi imesha launch its coin on the open mainnet, sio IOU tena na sasa ni tradable cryptocurrency.Price ya pi Iko manipulated kama unaelewa Volatility ya crypto assets utanielewa, pi ina Volatility kubwa sana na hivyo kuwa na risk kubwa, japokuwa bado ni IOU.
Kama Pi anaweza manipulate price yake atashindwa vipi manipulate mpka hao coinmarketcap, kwasabu Market cap ya pi na supply kwenye circulation bado ni zero kaangalie kwenye Binance utaona.
Na hao hao Coinmarketcap wamewahi shusha market cap ya pi mpaka zero.
Pi bado ni IOU ambayo itakuja kupotea, hata ionekane number one kwenye list ya market cap bado haiuziki kwasabu sio coin halisi ni IOU.
You can’t prove it’s a scam either.it doesnt verify kwamba ni legal
Sure. Bro is a genius.Upo sahihi wanaomiliki Pi coins hawana akili Timamu na Pi haina thamani yeyote ile,huwezi hata kuwithdrawal,mfano hapo inaonekana PiCoin ipo position 11,wamehonga TU hao iwe position hio,hata wewe unaweza kuhonga coin yako iwe na thamani ya market cap kuliko Etherium.
Upo sahihi aisee,we jama una akili nyingi sana