Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

mkuu huwa wanaandika kwenye exchange wanatoa tahadhali kuwa kuna some coins zina High volatility sasa kama watu hawasomi ndio imekula kwao! Na ndio maana ya trading buy low sell high ndio maana ya Crypto investments.

Au nyinyi huwa trading mnaifanyia mawinguni?

Kwani nyinyi mnanunua coins na vidola 20$, 50$, 100$ na after some times mnategemea mpate 5000$ huwa mnaangalia nini hasa!

Jitahidi kuwa Na logic msifanye vitu kwa ushabiki na wivu.

Pi itawashangaza muda si mrefu watu sio wajinga! Take Pi kama coins zingine tu msikazanie sijui 314,159$ mnakua kama tunawaweka ni watu wenye wivu na wachawi maana uchawi sio lazima kuroga.
tukiwa wakwel hio price ndo ilifanya mkachizika, mliahidiwa ivo mkaongeza nguvu kumine yalivotokea ya kutokea ndo mnaanza kupeana moyo sasa unajua it will take time, kuna utafauti mdogo saana kati ya mwana PI na ignorant people, mnaishi kwa hisia sana kwamba maybe someday mbelen ntakua tajiri
 
Mabilionea wetu ni werevu wanaalikana kwenye fursa za ubilionea
 
View attachment 3261313
Kwamba ulimaanisha hivyo? hiyo mnayoita Scam?

market cap = (circulating supply * latest price on exchange) settled on an exchange, haina uhusiano wowote na kwamba ikipanda price itapanda, chukulia huu mfano:
1741268798625.png
 
Yes Hawa jamaa wanaumia sana aisee,imagine mtu ana Pi 1000,ziko unlocked anaziuza kwa $1.8 na alizipata Bure,si hasara hiii.
Wakati watanzania wanapiga hela kirahisi sana mtaani kwenye biashara zao,...........Pi coins ni scam,kwanza kumine hii Pi coin ni siku nzima mtu unaacha kazi zako,ni hata bora ushinde Instagram bando lako liliwe kucheki umbea kuliko kubonyeza Pi mining application,kwa dakika 1 kwa siku
Ndio mkuu nyie mnaobonyeza mine kila sku mna akili kuliko watu wote na mtakua mabilionea wala msiwe na shaka 🤣 🤣 🤣 , mnaona hawa wanauchukua mikopo kuanzisha biashara? hawa ni makuku hawana akili nyie ndo mna akili kuliko watu wote na mnatumia bando zenu vizuri, core team sku sio nyingi watawaruhusu mhamishe coin zenu ziende kwenye exchange alafu mtakua mabilionea mnatakiwa kua na subira tu
 
Mabilionea wetu ni werevu wanaalikana kwenye fursa za ubilionea
unaambiwa ukileta mtu kwenye PI unapewa PI ingine alafu wote mnakua mabilionea yaaani dunia nzima tutaalkana alafu tutakua mabilionea exchange watakua maskini 🤣
 
stakehigh Yupo sahihi kabisa,mfano mtu aliyepewa nyumba Bure akasema baada ya mwezi ataiuza milioni 100,ila akaja kuiuza milioni 50 huyu MTU ana hasara kubwa sanaaa,hajapata faida yeyote ile..........yupo sahihi Pi ni scam sababu walionazo walitegema watauza dola laki 3,ila wanaziuza Dola 1.86,......daah wamepata hasara kubwa sana na wametapeliwa.
Pi network ni scam
spleen ana akili kuliko watu wote 🤣 🤣 , yeye ndo anajua PI kuliko binance na bybit yeye anajua ana mabilioni yake pale
 
Daah,maneno meengi.

Sasa kwahiyo kama mtu ameweza kupiga mpaka milion tisa kun ubaya gani mzee??

Wabongo ujuaju mwingi sana.

Huo uscam wa pi ni upi sasa,na ndo kwaanza unaanza kupaa.

Mimi niseme tu nashukuru nimeoig gela y kutosha na pi,na bado ninazo nyingine nazihold.

I have nothing to lose mzee

Nitaangali baadae wameniscam nini,tuache ujuaji kwa tusiyoyajua
 
mil 9 kutoka PI app ama umenunua kutoka exchange
 
wenyewe walivyo na akili za bata( kuharisha ovyo ovyo) wamekalia neno mabilionea mabilionea mara sijui scam mara sijui walidhani itaanza na 314k$ !

ni watu fulani hawajielewi alafu wana wivu sana ona wewe umepata 9M na zingine umehold hapo hujatoa hata mia!
Hao jamaa wamekaa kishabiki hata watoto wa kike hawapo hivyo.

mkuu naona nikuachana nao wanajifanya wajuaji wakati hawaelewi chochote. Achana nao
 
kuna msemo unasema kua chizi sio lazima uokote makopo, zamani walikuja wakatoa vioo wakachukua dhahabu, it makes sense why that trade happend because of people like you!
Kweli wanaomiliki Pi coins ni machizi aiseee,huu mradi hauna thamani yeyote ile
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250305-124233.png
    Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 1
sawa bilionea, utaprint sana izo stats kwa mda mrefu kidogo, but till the worse happens no one knows what will happen to the data they collected
Pi coins ni scam haina thamani yeyote ile,na haiwezi kukua,coins zenye thamani kama Bitcoin ndani ya mwezi tu zilivoanza ilikua na thamani ya zaidi ya $10
pi coins ni scam
 
Attachments

  • Screenshot_20250306-181226.png
    Screenshot_20250306-181226.png
    169.4 KB · Views: 1
Ndio mkuu nyie mnaobonyeza mine kila sku mna akili kuliko watu wote na mtakua mabilionea wala msiwe na shaka 🤣 🤣 🤣 , mnaona hawa wanauchukua mikopo kuanzisha biashara? hawa ni makuku hawana akili nyie ndo mna akili kuliko watu wote na mnatumia bando zenu vizuri, core team sku sio nyingi watawaruhusu mhamishe coin zenu ziende kwenye exchange alafu mtakua mabilionea mnatakiwa kua na subira tu
Kila siku walikua wanabonyeza kitufe,mradi umeanza hauna thamani yeyote ile,Pi coins ni scam hii ni uhakika 100%
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250305-124233.png
    Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 1
spleen ana akili kuliko watu wote 🤣 🤣 , yeye ndo anajua PI kuliko binance na bybit yeye anajua ana mabilioni yake pale
Pi coin ni scam hakuna sehemu ilipokua listed,hizi bei unazoziona ni coreteam wamehonga iwe hivo
 
Attachments

  • Screenshot_20250305-170505.png
    Screenshot_20250305-170505.png
    155.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250305-124233.png
    Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 2
mil 9 kutoka PI app ama umenunua kutoka exchange
Kwani kuna exchange yeyote imeilist Pi coins?...........hata kwenye application huwezi pata Pi coins kule wanauza data zako tu,Ukifanya KYC
Pi coins ni scamm
 
Attachments

  • Screenshot_20250306-174416.png
    Screenshot_20250306-174416.png
    77.3 KB · Views: 2
wenyewe walivyo na akili za bata( kuharisha ovyo ovyo) wamekalia neno mabilionea mabilionea mara sijui scam mara sijui walidhani itaanza na 314k$ !

ni watu fulani hawajielewi alafu wana wivu sana ona wewe umepata 9M na zingine umehold hapo hujatoa hata mia!
Hao jamaa wamekaa kishabiki hata watoto wa kike hawapo hivyo.

mkuu naona nikuachana nao wanajifanya wajuaji wakati hawaelewi chochote. Achana nao
🤣 🤣 🤣 akuna mtu alieweza kuuza PI kutoka kwenye app wengi wamenunua kwenye exchange wakauza uko uko,nyie mapyonia uchwara ama mabilionea wajao bado core team hawajafurahisha tulia muone show
 
Kwani kuna exchange yeyote imeilist Pi coins?...........hata kwenye application huwezi pata Pi coins kule wanauza data zako tu,Ukifanya KYC
Pi coins ni scamm
mzee umeshikiia hio screenshot 🤣🤣, bilionea ajaye mvivu hujawahi ona coin ina market cap ndogo na inauzwa bei ndefu nn
 
Pi coin ni scam hakuna sehemu ilipokua listed,hizi bei unazoziona ni coreteam wamehonga iwe hivo
eeeh bilionea core team wanawajali sana watawapa PI za bure muwe mabilionea sawa eeh?
 
Kila siku walikua wanabonyeza kitufe,mradi umeanza hauna thamani yeyote ile,Pi coins ni scam hii ni uhakika 100%
yaaani huo mradi mpaka gcv value ifike bitcoin yenyewe itasubiri, hakuna kama Pi
 
Back
Top Bottom