stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
tukiwa wakwel hio price ndo ilifanya mkachizika, mliahidiwa ivo mkaongeza nguvu kumine yalivotokea ya kutokea ndo mnaanza kupeana moyo sasa unajua it will take time, kuna utafauti mdogo saana kati ya mwana PI na ignorant people, mnaishi kwa hisia sana kwamba maybe someday mbelen ntakua tajirimkuu huwa wanaandika kwenye exchange wanatoa tahadhali kuwa kuna some coins zina High volatility sasa kama watu hawasomi ndio imekula kwao! Na ndio maana ya trading buy low sell high ndio maana ya Crypto investments.
Au nyinyi huwa trading mnaifanyia mawinguni?
Kwani nyinyi mnanunua coins na vidola 20$, 50$, 100$ na after some times mnategemea mpate 5000$ huwa mnaangalia nini hasa!
Jitahidi kuwa Na logic msifanye vitu kwa ushabiki na wivu.
Pi itawashangaza muda si mrefu watu sio wajinga! Take Pi kama coins zingine tu msikazanie sijui 314,159$ mnakua kama tunawaweka ni watu wenye wivu na wachawi maana uchawi sio lazima kuroga.