Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Wanawake viumbe wa ajabu sana nina week tuka niachane na aliyekuwa mzazi mwenzangu,ningekuwa na hasira za karibu mngesikia nipo segerea.nashukuru Mungu nilivuka kipimo cha ustahimilivu wangu.
Mbona kama uzi huu! Nini kilitokea mkuu..
 
Unajua mkuu wanawake huwa anakubadilisha kuua kwa majibu yake huenda jamaa alimkamata na sms za kuchepuka ila majibu yake ndo jamaa akapandisha moli
kama ulikuwepo mzee ,ilishanitokea nikaamua kutemana na yule mwanamke
 
So sad imeniuma sana hii taarifa, umekufa mapema Marehemu at least ungewakuza watoto wako Kwanza daaah inauuma..

Starehe kwa Amani Marehemu
Pole sana Marehemu
Neenda, mbele yako nyuma yetu
Tutaonana tena Mbinguni kwa Baba
Alerujha tutaona
😩😭
 
Hao wa kuwamwagia maneno wako wapi siku hizi?wamejaa machungu na hasira,plus huu ugumu wa Maisha keshalipa ma ada ya watoto,site fundi kazingua kazini nako sijui Kuna Nini ukiingia kichwakichwa utakula za uso
 
Niko mid 30,sijawahi kula kitasa hata kimoja!ninaogopa ngumi ya mwanaume balaa so tukiwa live siwezi kuchongoa mdomo Tena nasimama mbalii....Ila ukiona nimetoka kwenye uso wako meseji utazopata utajuta
Uko kama mm mzee wa magazeti yani ntaandika msg hata kama kosa ni langu utajkuta ww ndo unajifeel guilty
 
Hao wa kuwamwagia maneno wako wapi siku hizi?wamejaa machungu na hasira,plus huu ugumu wa Maisha keshalipa ma ada ya watoto,site fundi kazingua kazini nako sijui Kuna Nini ukiingia kichwakichwa utakula za uso
Aiseee..bora wewe unayafahamu tunayopitia wanaume,omba sana uendelee kuyakumbuka mpaka utakapokuwa na mwenza wako.
 
Haya yatakuwa magonjwa ya akili, Mtu kama Mandela alikaa pembeni na ni mtu maarufu, Sasa hizi kuua nyingi kwa kisingizio cha usaliti ni ugonjwa wa akili tu.
 
Sio wanarogwa na watu wasiowatakia ndoa yao mema bali hao hao wake zetu ndio wanatutengeneza kiasi kwamba hata akikosea unashindwa kuhimili wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…