Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
mzee hata ukisalitiwa hauna sababu ya kuua mtu wala kupiga.Lazima kuna chanzo cha kugombana hapo na huenda ikawa ni moja wao kumsaliti mwenzake
Relationship si ownership wanaume wengi tunafeli hapa