Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Wanawake viumbe wa ajabu sana nina week tuka niachane na aliyekuwa mzazi mwenzangu,ningekuwa na hasira za karibu mngesikia nipo segerea.nashukuru Mungu nilivuka kipimo cha ustahimilivu wangu.
Mbona kama uzi huu! Nini kilitokea mkuu..
 
Unajua mkuu wanawake huwa anakubadilisha kuua kwa majibu yake huenda jamaa alimkamata na sms za kuchepuka ila majibu yake ndo jamaa akapandisha moli
kama ulikuwepo mzee ,ilishanitokea nikaamua kutemana na yule mwanamke
 
So sad imeniuma sana hii taarifa, umekufa mapema Marehemu at least ungewakuza watoto wako Kwanza daaah inauuma..

Starehe kwa Amani Marehemu
Pole sana Marehemu
Neenda, mbele yako nyuma yetu
Tutaonana tena Mbinguni kwa Baba
Alerujha tutaona
😩😭
 
angalia usije ukaishia kujiua siku moja.....sometimes kutapika meneno live kunafaa maana unaondoa sumu.... but you have to have a good man wakati unamwaga maneno yeye anacheka, unapata hasira unamwaga sumu yote, ukichoka unaenda kuoga yeye anakuja anakula mzigo kwa raha zake...maisha yanasonga.
Hao wa kuwamwagia maneno wako wapi siku hizi?wamejaa machungu na hasira,plus huu ugumu wa Maisha keshalipa ma ada ya watoto,site fundi kazingua kazini nako sijui Kuna Nini ukiingia kichwakichwa utakula za uso
 
Niko mid 30,sijawahi kula kitasa hata kimoja!ninaogopa ngumi ya mwanaume balaa so tukiwa live siwezi kuchongoa mdomo Tena nasimama mbalii....Ila ukiona nimetoka kwenye uso wako meseji utazopata utajuta
Uko kama mm mzee wa magazeti yani ntaandika msg hata kama kosa ni langu utajkuta ww ndo unajifeel guilty
 
Hao wa kuwamwagia maneno wako wapi siku hizi?wamejaa machungu na hasira,plus huu ugumu wa Maisha keshalipa ma ada ya watoto,site fundi kazingua kazini nako sijui Kuna Nini ukiingia kichwakichwa utakula za uso
Aiseee..bora wewe unayafahamu tunayopitia wanaume,omba sana uendelee kuyakumbuka mpaka utakapokuwa na mwenza wako.
 
Kwani umefungwa kamba, ukiona mtu ni msaliti chapa lapa ukaanze upya kuliko kujitia laana ya kuua. Pia hao watoto watanyanyasika maana bafo wadogo

Wanaume sijui mnakwama wapi mnashindwa kufanya maamuzi magumu. Mtu akikusaliti wewe achana nae kaendelee na mambo mengine
Haya yatakuwa magonjwa ya akili, Mtu kama Mandela alikaa pembeni na ni mtu maarufu, Sasa hizi kuua nyingi kwa kisingizio cha usaliti ni ugonjwa wa akili tu.
 
Mwanamke achepuke ndio nimuue si namwacha aende kwao hawa watu wanaoua wanawekewa dawa nini mbona haingii akilini kabisa kuua kwa sababu ya pwechele...au wanakua wamerogwa na watu wasiowatakia ndoa njema kwa akili ya kawaida hawa wadogo hawawezi kuwa na maamuzi mazito hivyo huku wakiwa na watoto..
Sio wanarogwa na watu wasiowatakia ndoa yao mema bali hao hao wake zetu ndio wanatutengeneza kiasi kwamba hata akikosea unashindwa kuhimili wivu
 
Back
Top Bottom