Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Dawa yenu ipo inachemka na mtakunywa ukiwa yà moto 100'C maana waliooa wanasema mna midomo.

Ndoa ilinishinda miaka kenda nyuma...hakika yule Dada alikua na mdomo, katika ile ndoa " Vita niliipigana, imani nikailinda ila mwendo sikuumaliza"
Neno zito hili[emoji23]
 
Chanzo cha yote ayo ni kukosa kuwa na hofu ya M/Mungu tu wazaz wamesahau elimu ya kiroho wanakimbilia elimu dunia matokeo yake tunakua na kizaz ambacho hakina hofu ya M/Mungu na wala hawatambui uwepo wake ni kama hawa wengine umu wanakuja kuanzisha thread za kupinga uwepo wa M/Mungu sas mtu kama uyo anashindwaje kuuwa ikiwa uwepo wa M/Mungu tu haamini je ataamini kuwepo kwa adhabu za M/Mungu kweli?
 
Hivi lakn dna test zina uhakika kiasi gani
Maana unaweza kweli hujafanana na mtt lakn akawa ni wako
Hatua za dna test sizijui ila je zina uhakika %100 isije kuwa nazo zinagombanisha watu tu
 
Pole sana mkuu
 

Ni kweli kutokuwa na hofu ya Mungu lakini tuwapeleke wapi watoto maana kanisani au madrasa mapadri na maustazi wanapita nao!!
 
Khaaaaà ndio maana wanaume mnakufa haraka! Pole mkuu
 
Pole sana mkuu..I feel your pains,baadhi ya wanawake ni pasua kichwa.
Inafikia hatua unajiuliza hivi anatumia akili zake kufanya haya au karogwa!
 
Ulioa bomu , pole sana.
 
Una tabia za mwanamke wangu[emoji28][emoji28]nilikuwa sielewi kwanini anafanya hivyo kumbe kukwepa kichapo[emoji23][emoji23]

Sema kupiga mwanamke sio mchongo, ni uonezi wa hali ya juu.
Ha haaa ndi hivyo huyo Ni muoga,na hutokaa umpige🤣!maana huyo atakutibua ukiwa mbali Hadi uje muonane hasira zimeisha
 
[emoji38] kwahiyo weupe sio wa kawaida...mbona mi nazikubali zaidi pisi nyeusi ila ndio sina bahati nazo...napataga weupe
 
du!!! why? kama haumuamini mwenzako si uachane nae tu!!!,,,kwa nini umuue?,haya sasa unamuua na wewe unaishia sege dansi!!'si bora huyo aliyekufa kapumzika.....kama ndoa ina changamoto ni kuachana tu!!
 
Ni kweli kutokuwa na hofu ya Mungu lakini tuwapeleke wapi watoto maana kanisani au madrasa mapadri na maustazi wanapita nao!!
Hilo sasa ni jukumu lako kama mzazi kumtafutia mwanao ni wapi sehemu sahihi ya kwenda kuchukua Dini yake. Na kumsimamia na kumfuatilia. Watu tunazembea tu katika Dini na kuichukulia poa. Nitatoa mfano kwa Dini yangu ya Uislam, huku wapo wazazi hawajali mtoto anasoma Dini sehemu gani, usahihi wa elimu anayosoma na hali ya wafundishaji. Hii ni kwa sababu hawajajua umuhimu wa Elimu ya Dini, wanazembea, wameghafilika au wanapuuza tu.

Mbona hayo mambo machafu yamejaa mashuleni, lakini wazazi hawaogopi kuwapeleka watoto Shule?? Tena wanawapeleka wabaki huko huko (Mabwenini). Wanachofanya utakuta mzazi anakuwa makini juu ya mtoto, atatafuta shule bora kabisa yenye mazingira mazuri, atakuwa tayari kumpeleka shule ya mbali kwa sababu ya ubora wa elimu na mazingira na usalama. Na ataendelea kufuatilia.

Ila kwenye dini anachukulia poa.
 
Ha haaa ndi hivyo huyo Ni muoga,na hutokaa umpige[emoji1787]!maana huyo atakutibua ukiwa mbali Hadi uje muonane hasira zimeisha
Yah na hizo hasira mpaka urudi na mpigane basi una pepo na ulidhamiria jambo ambalo ni baya, huwezi kudhamiria kupiga mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…