Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Utakua umekosea kukimbia wanao, chukua watoto wako lea yeye mwambie aende akuache upambanie maisha ya watoto wako.Yakinishinda nawaachia nyumba naenda zangu mbali huko huku nikiendelea kuitunza familia
Ukifanya ulivyosema atawajaza chuki watoto watakuchukia siku zote za maisha yao bila kujua na mama atanufaika na matunda ya hao watoto peke yake hapo baadae huku wewe ukiugulia maumivu mara mbili.