Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam.
Anasimulia Ndugu wa Marehemu...
Hali inatisha sanaMapenzi tenaa
Dah tena mapachaWatoto wazuri,wadogo wanakosa malezi ya wazazi wao. Wazazi wao wameamua kugawana majengo ya serikali. Baba celo, mama mortuary.
Hili nalo lakutazamwa.....pointSerikali isitoe leseni za ndoa bila mafunzo.
Sana Kaka!Hali inatisha sana
Inasikitisha. Mfia ndoa. Bora angeondoka tu.
Hilo jina sikushauri.Aisee mbona ivi jamanii kuna kuoa kweli kwa staili hii sitaki kuua mtoto wa mtu mimi
kweli angetulia ktk uandishi.Ila ungetulia uandike vizuri basi