Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafunzo wanayaacha baada ya kupata vyetiSerikali isitoe leseni za ndoa bila mafunzo.
KWA sisi wataalamu wa elimu kuhusu ulimwengu usioonekana tunajua chanzo.Mwanamke achepuke ndio nimuue si namwacha aende kwao hawa watu wanaoua wanawekewa dawa nini mbona haingii akilini kabisa kuua kwa sababu ya pwechele...au wanakua wamerogwa na watu wasiowatakia ndoa njema kwa akili ya kawaida hawa wadogo hawawezi kuwa na maamuzi mazito hivyo huku wakiwa na watoto..
Wanawake midomo yao ndo uwaponzaInasemekana Jamaa Alikuwa anamtia Ndonga Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mengine unayaaacha tu hawa viumbe ni mtego wa shetani.Mfano ukirudi ukakuta njemba kwenye hiyo nyumba haitakuuma?
Mafunzo ya udereva unayaacha ukipata leseni?Mafunzo wanayaacha baada ya kupata vyeti
Kisa?Inasemekana Jamaa Alikuwa anamtia Ndonga Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa Nae Mtu Wa mademu na demu Nae Mtu Wa kuchapwa Sana so Mshikaji wivu mwingi Kwa manziKisa?
So walikuwa wanakomoanaJamaa Nae Mtu Wa mademu na demu Nae Mtu Wa kuchapwa Sana so Mshikaji wivu mwingi Kwa manzi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Miaka 20 ijayo sijui itakuaje hali.Hali inatisha sana
Jamaa kainyongelea mbali duh