Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

We uoni ajali za kizembe nyingi.
Makahaba na michepuko pekee ndio wanawake wanaozingatia mafunzo ya ndoa na kuyatumia kupora wanaume za watu.
Mwanamke akishapata cheti cha ndoa na watoto kinachofuata ni bidii ya kuibomoa ndoa.
Kweli bruh
 
Mwanamke achepuke ndio nimuue si namwacha aende kwao hawa watu wanaoua wanawekewa dawa nini mbona haingii akilini kabisa kuua kwa sababu ya pwechele...au wanakua wamerogwa na watu wasiowatakia ndoa njema kwa akili ya kawaida hawa wadogo hawawezi kuwa na maamuzi mazito hivyo huku wakiwa na watoto..
Unajua mkuu wanawake huwa anakubadilisha kuua kwa majibu yake huenda jamaa alimkamata na sms za kuchepuka ila majibu yake ndo jamaa akapandisha moli
 
Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam.

Anasimulia Ndugu wa Marehemu.

Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena.

Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo amejinyonga chumbani kwake, anaishi Tabata.

Lakini, polisi wakafika na wakachukua mwili na wakamchukua na mume wake mpaka staki shari.

Uchunguzi wa awali ukaonyesha Piariz amepigwa probably na mumewe labda na akaamua kumnyonga na kutudanganya amejinyonga ili kutupoteza maboya.

Tumekuta mwili ukiwa hauna nguo sakafuni zaidi ya kufunikwa shuka na una majeraha ya kipigo na ametoboka shingon.

Mumewe anasema amejinyonga kwenye feni, lakini kwa unene wa Piarizi hawez panda akakuta feni ajiue wakati mumewe kalala humo humo chumbani asijue

Dada wa kazi anasema ilipofika saa 1 au 2 akasikia wanagombana chumbani,kufika saa 3 akasikia kimya.

Kufika saa nne mume akatoka chumbani anali anamwambia dada yako amejinyonga..akaingia akakuta mwili sakafuni na watoto wakiwa wanalia. Solo

Huyu mwanaume boya sana , kwanza hawa watoto kwa haraka haraka hawahitaji DNA ...punguani mkubwa Nyokochinyoko😡 watoto watalelewa na nani?
 
Masanja anatajwa sana humu,nini kimemkuta?

Nipe link mkuu if possible
 
Ila wakuu shida ya wanawake kama unagombana nae au kuna kutokuelewana ndani hawa viumbe wanaongea haswa tena lugha chafu kama uwezi kujizuia hasira unaweza upige hadi uuwe kama huna moyo wa kuvumilia, nadhan ndo kilichomkuta jamaa😔😔
 
Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam.

Anasimulia Ndugu wa Marehemu.

Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena.

Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo amejinyonga chumbani kwake, anaishi Tabata.

Lakini, polisi wakafika na wakachukua mwili na wakamchukua na mume wake mpaka staki shari.

Uchunguzi wa awali ukaonyesha Piariz amepigwa probably na mumewe labda na akaamua kumnyonga na kutudanganya amejinyonga ili kutupoteza maboya.

Tumekuta mwili ukiwa hauna nguo sakafuni zaidi ya kufunikwa shuka na una majeraha ya kipigo na ametoboka shingon.

Mumewe anasema amejinyonga kwenye feni, lakini kwa unene wa Piarizi hawez panda akakuta feni ajiue wakati mumewe kalala humo humo chumbani asijue

Dada wa kazi anasema ilipofika saa 1 au 2 akasikia wanagombana chumbani,kufika saa 3 akasikia kimya.

Kufika saa nne mume akatoka chumbani anali anamwambia dada yako amejinyonga..akaingia akakuta mwili sakafuni na watoto wakiwa wanalia. Solo

Hiki nini siku hizi,yaani utamu wa kati ndio unaleta balaa kiasi hiki??
Kwanini upige,kwanini uue?
Si umuache tu.
 
Back
Top Bottom