Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

Umenena vema mkuu
 
Utachapa hiyo lapa Hadi lini ? WANAWAKE punguzeni umalaya hamjagundua Tu wanawaume hatuvumilii usaliti hasa Kwa mke wa ndoa.

Unataka maamuzi Gani magumu zaidi ya hayo ya kuwaua kama hao Ili wawe mfano Kwa wengine na Wewe ukiwemo.
 
Sasa mbona mimi natamani kuolewa jamani.
Mungu anitangulie kwakweli.
Yaani hali ilivyo sasa hivi kwa wanandoa wala hutakiwi kumshangaa mwenzio kuwa imekuwaje kauwawa au kaua Mana unaweza kuta hata wao walikuwa wakisikia habari kama hizi kwenye ndoa zingine wanajiuliza why.
Hapa ni kumuomba sana Mungu akuepushe au atuepusha kwamaana si ndoa pekee bali hata mahusiano.
Na yawezekana tukianza kuona dalili mbaya au umefikia hatua mbaya afadhali mtu uondoke hata kama ni mwanaume ukajipumzishe na kujitafakari pamoja na kupunguza hasira angalau urudi baadae ili usije tenda au tendwa vibaya.
Mungu atuongoze Mana hali ni mbaya na tunakoelekea sio kuzuri watakaoteseka ni watoto wanaobakia.
Kabla ya kufanya maamuzi ya hasira tuwatafakari kuwa tunawaachaje.
So sad kwakweli.
 
Unajua mkuu wanawake huwa anakubadilisha kuua kwa majibu yake huenda jamaa alimkamata na sms za kuchepuka ila majibu yake ndo jamaa akapandisha moli
Sijui watu tumekua kwenye mazingira tofauti ni bora niachane nae aendelee na maisha yake kuliko kumpiga mwanamke eti ndio namfundisha tabia sio kweli hawa wake zetu tumewakuta wakubwa kabisa leo utamfundisha kwa kumpiga? Na wengine unakuta anamjibu mme wake kama hawala yake inabidi ukae kwa kuzoea ukiona imezidi angalia mazingira ya kuwa alone kuliko kuja kupata kesi mbaya harafu hujui hata watoto wanaishije ukiwa ndani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…