Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Kuna picha ikimwonyesha Rais Samia akimtambulisha mwanae Abduli Kwa Rais wa Russia Putting

1. Abduli hana cheo chochote serikali iwe cha kuchaguliwa au kuteuliwa

2. Nchi tuna viongozi wataalam wameachwa

3. Nchi tuna mawaziri wote wameachwa kaenda Abduli

4. Je ameenda Kwa gharama za serikali?

5. Nyerere,Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli walikuwa na watoto ila hawajawahi kuambatana nao kwenye ziara za kikazi
 
Nguvu ya Mama na mwanae, kutengenisha mama na mtoto wake wa kiume haiwezekani, let's brace for enhanced Russo-Tanzania relationships and be Positive.
Pumba tupu,huko Uganda huyo bwana aliongoza ujumbe kutoka Tz kukutana na Kaguta bila hata uwepo na huyo Mamaake!!
 
hivi hata anaye kwanza? sijawahi kumuona popote naye tangia amechukuwa uraisi, hata picha tu sijawahi kuioan, si mahafali au hata kuapishwa kwake sikumuona popote, its really unusual …
Unataka umuone mume wa mtu Ili iweje?..ukunwe donda ndugu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…