Uwongo mweupe. Mimi nilikuwepo tena wakati najitambua kabisa. Hizo kofia, Joho, Koti, Misuri, yalikuwa ni mavazi ya kawaida na wala hayakutafsiriwa kwamba mvaaji ni mtu wa dini fulani.
Na kofia zilikuwepo aina tofauti. Hapakuwa na kapelo wala alshababu. Zilikuwa zikiitwa vibandiko, na zingine zilizokuwa na hadhi kubwa, zilikuwa kama anayovaa Mh. Mkono. Kanzu nakoti juu, bila kusahau fimbo mkononi.
Dini zote walivaa kwa sababu zilikuwa bei rahisi, zilikuwa zikipatikana kwa wingi na lakini upande wa kofia wengine walivaa kwa kuficha nywele zisizochanwa.
Tuliishi bila kubaguana na tuliheshimiana na kuelewana. Kwa sababu hapakuwa na chuki, watu hawakuwahi hata kufikiria vazi fulani ni la dini fulani. Zilikuwa na mavazi yanayoitwa casual tu na fashion kama vile leo wanawake wengi mijini na vijijini wanavaa madela na mitandio kwa sababu ya upatikanaji wake kwa wingi, bei poa na inampa urahisi wa kufanya movements za aina tofauti tofauti.
NITAKTAA MPAKA KESHO UNAPOTAKA KUPOTOSHA KWAMBA ETI VIBANDIKO VILIASHIRIA UISILAM. HUO NI UWONGO!.
Thank you for the photo
LIke any other history, moments haziwezi kuamuliwa kwa camera moja... tulichoona ni images za mpiga picha mmoja, na tukiweka historia kwenye camera moja, basi Hitler atakua saint
Anyhow, ni pich nzuri kwa historia yetu na heshima zaidi wa Mwl. J.K. Nyerere kwa kumanage hao wataalam bila kuleta mushkeri
Nnauhakika usemayo ni ukweli na hiyo inayakinisha kuwa dhanna yote ya Nyerere kuunganisha watu ni batili. Kumbe watu waliishi bila kubaguwana kabla yake.
Ahsante kwa ufafanuzi huo ambao kila mara huwa nnauelezea, kuwa kabla ya Nyerere ilikuwa hakuna kubaguwana, kubaguwana kumekuja baada ya Nyerere kutawala.
Hata Nyerere alipokuja Dar alipokelewa na Waislam wavaa vibaraghashia, akaishi kwao, akala kwao, akalala kwao bila kubaguliwa, hali kadhalika wengine wengi wasio Waislam, kuanzia mabaniani mpaka makadiani.
Hiyi ndiyo essence ya Dar Es Salaam, jina lililo ndani ya Qur'an. Na wala maaana yake si Bandari salama kama mnavyojazwa ujinga. Miji kadhaa duniani ina jina hilo.
Jee, unajuwa majina ya hizo kofia? Hivi ile anayovaa Pengo inaitwaje kama si kibandiko?
Swadakta.
hizo picha zimepigwa na mzee Bevin Thipha Msowoya
Thank you for the photo
LIke any other history, moments haziwezi kuamuliwa kwa camera moja... tulichoona ni images za mpiga picha mmoja, na tukiweka historia kwenye camera moja, basi Hitler atakua saint
Anyhow, ni pich nzuri kwa historia yetu na heshima zaidi wa Mwl. J.K. Nyerere kwa kumanage hao wataalam bila kuleta mushkeri
Imewekwa Nyerere mwenyewe alisilimu kabla ya kufa na kaburi lake kazi kiislamSafi sana hizo picha za Kihistoria. Kumbe hata meza ya kwanza yenye hadhi, ya Mwenyekiti wa TANU ilitengenezwa na Muislam.
Sijuwi wamekumbuka kuiweka makumbusho ya Nyerere hii?
Huwezi kuona hata picha moja ya wapigania uhuru mapdri au maaskofu,uhuru wa nchi hii kwa sana umepiganiwa na waislamu, lakini ndio wanaongoza kudharauliwa na kizazi cha sasa inasikitisha sana
Wewe ndiye umepotoka kidogo. Hizo kofia hazikuwa na maana wala tafsiri yoyote ya kidini hadi vijijini watu walivaa tu. Na kubaguana hakukuwepo katika jamii watu walipoishi pamoja.
Lakini Nyerere aliimarisha zaidi mshikamano wa kitaifa na matabaka yote kwa level ya taifa. Kwamba watu wa dini zote kabila zote na makundi yote waishi kwa amani wao kwa wao, wao na makundi mengine lakini pia sehemu moja kwenda nyingine ndani ya mipakaya Tanzania. Nyerere aliendelea na mtazamo wa hata kuunganisha Africa ili watu wawe wamoja na ndiyo maana aliimarisha mahusiano mipakani mwetu na ujirani mwema.
Na hii ilifanyika kwa namna nyingi ikiwemo mtoto anasomea Moshi, halafu akifaulu anapangiwa Milambo Secondary, huyu wa Nansio anapangiwa Songea Boys, na huyu wa Mafia anakwenda kusoma Murutunguru n.k. n.k. Na mtindo wa elimu sahihi yenye malengo ya kuimarisha standards za taifa. Watu walishirikiana bila tatizo. Kumbuka tunapigania uhuru hapakuwa na umoja wa kitaifa.
Nyerere ndiye alihimiza waislam waende shule za maana badala ya kuishia madrasa walizoachiwa na waarabu. Tunaona kina Kikwete wamesoma shule za mission baada ya kujanjaruka kwenye madrasa ni mauti.
Nyerere ndiye aliuunda na matumizi ya lugha moja.
Udini undini wenu huu wa kuona Bargashia ndio usilam safi, huku watu wamejaa chuki, na kuanza kuona eti wako wachache kwenye uongozi wakisahau kwamba uongozi si migawo wala dini basi ni sifa na uwezo, vimeanza wakati wa Mwinyi.
Na hii ni kwa sababu ya waislam kukosa vision na kuishi kwa manung'uniko pasipo kukubali tatizo ni mafundisho ya dini yenu kama vile watoto sasa kule Singida wanakatazwa kusoma shule, eti wanatakiwa wamfie allah, wanfundishwa Karate misikitini, au wale wanaopasishwa kwa marks za kusubu, halafu kesho waanze kusema hawapati nafasi nzuri. Hilo si tatizo?
Faiza Foxy usikwepeshe agenda.
Narudia tena, hivyo vibandiko vilivaliwa na watu wote hivyo ukiona picha za kale zinaonyesha watu wanavibandiko, usianza kujenga picha ya udini kwamba wlakuwa waislam. Vibandiko haikuwa alama ya dini kama unavyotamani kuongopea watu hapa.
Na mshikamano wa kitaifa Nyerere ndiye kaujenga. Unaharibiwa na ccm ya sasa inayogawa watu kwa misingi ya dini ujinga ujinga tu. Hilo liko dhahiri.
KWA HIYO HOJA YAKO YA UDNI ETI WAISLAM WALIMPOKEA NYERERE, KWANI WAISLAM KUPOKEA MTU NI KOSA? MBONA HAO WAISLAM NAO WALIPOKELEWA NA WATU WENGINE WASIO WAISLAM NA WAKAKIRIMIWA TU? NA HAO WENYE VIBANDIKO SIYO WOE WAISLAM. NI WATU MCHANGANYIKO, USIJICHANGANYE.
UBAGUZI WA KIDINI UMELETWA NA CCM BAADA YA NYERERE KUFA, MFUMO UKAWA DHAIFU, MAJUNGU YAKASHIKA HATAMU NA WAPUMBA.VU WAKACHUKUA SHERIA MIKONONI KULAZIMISHA KUPEWA VYEO VILA ELIMU NA UWEZO. JK KAMA ALIVYONUIA, KAWAPA VYEO KAMA NJUGU BILA KUJALI UWEZO NA SIFA SASA SEIKALI IMEMFIA. MTASEMA TENA MPEWE VYEO KWA MISINGI YA DINI? LABDA SI TANZANIA TENA.
TUNAJENG ATAIFA LENYE UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA ALIOUACHA MWALIMU. HATUHADAIKI. TUTAWEKA WATU SAHIHI, MAHALA, SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI BILA KUJALI DINI WALA KABILA LA MTU. UJINGA UJINGA HUU WA KUCHEZA REDE KWENYE MAISHA YA WATU ALIOUFANYA HUYU, UMELIGHARIMU TAIFA. HATURUDII.
NINAOMBA TENA WENYE TABIA ZA KUHUBIRI UDINI UJINGA UJINGA ACHENI MARA MOJA!
Safi sana hizo picha za Kihistoria. Kumbe hata meza ya kwanza yenye hadhi, ya Mwenyekiti wa TANU ilitengenezwa na Muislam. Sijuwi wamekumbuka kuiweka makumbusho ya Nyerere hii?
kumbe hapo enzi hizo vikundi vya ulinzi kwa viongozi vilikuwepo umewaona Bantu group lakini siku hizi green guard wanapigwa vita et wanabeba silaha za kivitaHiyo nimeona very interesting
sababu siku hizi vibarakashia kwenye mikutano vinaitwa 'udini'
wakati kumbe hata TANU vilikuwepo vingi na havikuwa na shida
now CUF wanaitwa chama cha kidini sababu ya kanzu na vibarakashia...
Huu mzunguko hauchoki.. si utani.
Na hilo jumba refu linalojengwa (hii picha ya muda kidogo, sasa hivi limekwisha jengwa) ndiyo kwetu nilipozaliwa.
Mimi na TANU tuna historia ndefu sana, si wengi wanaoweza kutamba kuzaliwa hapo jirani na palipozaliwa TANU. Nyerere binafsi yake akija kununuwa sigara "karata" dukani kwetu halafu baadae akabadili akija mtu kumnunulia sigara SENATE.
Faiza ni kweli Nyerere alikuwa anavuta sigara wakati fulani lakini hakuwa anavuta sigara karata wala senate bali alikuwa anavuta sigara aina ya CLIPPER!!!Usituongopee hata kama unasema ulizaliwa mtaa wa Lumumba!!!
Wewe ndiye umepotoka kidogo. Hizo kofia hazikuwa na maana wala tafsiri yoyote ya kidini hadi vijijini watu walivaa tu. Na kubaguana hakukuwepo katika jamii watu walipoishi pamoja.
Lakini Nyerere aliimarisha zaidi mshikamano wa kitaifa na matabaka yote kwa level ya taifa. Kwamba watu wa dini zote kabila zote na makundi yote waishi kwa amani wao kwa wao, wao na makundi mengine lakini pia sehemu moja kwenda nyingine ndani ya mipakaya Tanzania. Nyerere aliendelea na mtazamo wa hata kuunganisha Africa ili watu wawe wamoja na ndiyo maana aliimarisha mahusiano mipakani mwetu na ujirani mwema.
Na hii ilifanyika kwa namna nyingi ikiwemo mtoto anasomea Moshi, halafu akifaulu anapangiwa Milambo Secondary, huyu wa Nansio anapangiwa Songea Boys, na huyu wa Mafia anakwenda kusoma Murutunguru n.k. n.k. Na mtindo wa elimu sahihi yenye malengo ya kuimarisha standards za taifa. Watu walishirikiana bila tatizo. Kumbuka tunapigania uhuru hapakuwa na umoja wa kitaifa.
Nyerere ndiye alihimiza waislam waende shule za maana badala ya kuishia madrasa walizoachiwa na waarabu. Tunaona kina Kikwete wamesoma shule za mission baada ya kujanjaruka kwenye madrasa ni mauti.
Nyerere ndiye aliuunda na matumizi ya lugha moja.
Udini undini wenu huu wa kuona Bargashia ndio usilam safi, huku watu wamejaa chuki, na kuanza kuona eti wako wachache kwenye uongozi wakisahau kwamba uongozi si migawo wala dini basi ni sifa na uwezo, vimeanza wakati wa Mwinyi.
Na hii ni kwa sababu ya waislam kukosa vision na kuishi kwa manung'uniko pasipo kukubali tatizo ni mafundisho ya dini yenu kama vile watoto sasa kule Singida wanakatazwa kusoma shule, eti wanatakiwa wamfie allah, wanfundishwa Karate misikitini, au wale wanaopasishwa kwa marks za kusubu, halafu kesho waanze kusema hawapati nafasi nzuri. Hilo si tatizo?
Faiza Foxy usikwepeshe agenda.
Narudia tena, hivyo vibandiko vilivaliwa na watu wote hivyo ukiona picha za kale zinaonyesha watu wanavibandiko, usianza kujenga picha ya udini kwamba wlakuwa waislam. Vibandiko haikuwa alama ya dini kama unavyotamani kuongopea watu hapa.
Na mshikamano wa kitaifa Nyerere ndiye kaujenga. Unaharibiwa na ccm ya sasa inayogawa watu kwa misingi ya dini ujinga ujinga tu. Hilo liko dhahiri.
KWA HIYO HOJA YAKO YA UDNI ETI WAISLAM WALIMPOKEA NYERERE, KWANI WAISLAM KUPOKEA MTU NI KOSA? MBONA HAO WAISLAM NAO WALIPOKELEWA NA WATU WENGINE WASIO WAISLAM NA WAKAKIRIMIWA TU? NA HAO WENYE VIBANDIKO SIYO WOE WAISLAM. NI WATU MCHANGANYIKO, USIJICHANGANYE.
UBAGUZI WA KIDINI UMELETWA NA CCM BAADA YA NYERERE KUFA, MFUMO UKAWA DHAIFU, MAJUNGU YAKASHIKA HATAMU NA WAPUMBA.VU WAKACHUKUA SHERIA MIKONONI KULAZIMISHA KUPEWA VYEO VILA ELIMU NA UWEZO. JK KAMA ALIVYONUIA, KAWAPA VYEO KAMA NJUGU BILA KUJALI UWEZO NA SIFA SASA SEIKALI IMEMFIA. MTASEMA TENA MPEWE VYEO KWA MISINGI YA DINI? LABDA SI TANZANIA TENA.
TUNAJENG ATAIFA LENYE UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA ALIOUACHA MWALIMU. HATUHADAIKI. TUTAWEKA WATU SAHIHI, MAHALA, SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI BILA KUJALI DINI WALA KABILA LA MTU. UJINGA UJINGA HUU WA KUCHEZA REDE KWENYE MAISHA YA WATU ALIOUFANYA HUYU, UMELIGHARIMU TAIFA. HATURUDII.
NINAOMBA TENA WENYE TABIA ZA KUHUBIRI UDINI UJINGA UJINGA ACHENI MARA MOJA!
Mzee Mwanakijiji,
Hakika huu mzunguko unachukua kasi kubwa kila kukicha.
Watoto na wajukuu wa wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika sasa
wanatafakhar na historia ya wazee wao.
Jana hapa Majlis kuna mtu anaitwa Tarangire yeye aliwakebehi hawa wazalendo.
Nilimuonya nikamwambia toka majuzi watu wengi wanaingia humu kumsoma
Ali Msham na tawi la Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa 1954 na wengine ni watoto
na wajukuu wa hawa wazalendo.
Nikamtahadharisha kuwa watu hawa watafadhaika sana ikiwa watakusoma wewe
unawatukania wazee wao bila kosa lolote.
Ikiwa kosa lipo basi ni kwa wazee wao kuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa
nchi yetu.
Asubuhi hii nimeletewa picha hiyo hapo chini na rafiki yangu Athman Kassanda na
kanisahihisha jina la marehemu mama yake kuwa siyo Khadija biti Said bali ni
Khadija biti Jaffar:
Waliosimama wa pili kushoto ni Ali Msham (Mwenyekiti wa Tawi la Magomeni
Mapipa) na wa nne ni Bi. Khadija biti Jaffar (mama yake Athman Kassanda)
wa tano Bi. Mtendwa biti Iddi Sudi, wa sita biti Feruzi wa saba Mama Tindwa
waliokaa wa kwanza ni Mzee Mwinjuma Mwinyikambi na wa tatu ni Bi. Titi
Mohamed na pembeni ni mwanae.
Nimeelezwa kuwa hao ndiyo walikuwa wanachama wa mwanzo wa TANU katika
tawi hilo na hapa walimkaribisha Bi. Titi na Mzee Mwinjuma Mwinyikambi
waje tawini wafahamiane.
Jembepori,
Hebu onyesha dini ilipo katika historia hii ya Ali Msham.
Kuna Magreat thinkers humu Nguruvi3, Mag3, Jasusi, Mzee Mwanakijiji na wengineo walikuwa wanabainisha kuwa wewe unachoandika siku zote ni Histohisia na wala sio Historia, maana umeandika kitu bila kuwa na dta na utafiti wa kutosha, Huwezi kuwa unasimamia kisa cha Mshume Kiyate na ukamsahau Bwana Ally Masham, inaonekana hilo tawi lilikuwa active sana lakini wewe wala habari nalo huna, wewe ni Gerezani na Kipata tu, Ukiulizwa habari za Magomeni basi wa kwanza kutajwa ni Tambaza
Kaka Mohamed Said, unajinasibisha kuwa unaandika historia ya waliosahaulika, mbona wewe hukuweka habari za hilo tawi la Jaribu? Nalo umelisahau? Kwa hiyo na watoto wake waje na Historia yao ya waliosahaulika?
Naomba pia kuuliza kwa nini zaidi ya asilimia 90 ya picha za Tanu zinazoonekana hakuna the Skyes family members wanayeonekana? Nilitegemea kabisa picha za hilo tawi la Jaribu kumuona Abdul