Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Atakuwa na siri nyingi, mpaka wanamwogopa. Mbona yuko Arusha, inajulikana , simu yuko online, wanashinndwa kum trace alipo? Mahakama inamwita aje mwenyewe au inamtafuta?
 
kiufupi mwamba namkubali,yaani ana spirit ya kujikubali na kujiamini mno. [emoji23][emoji23][emoji23].unajua ile strong spirit ya kujiamini aliyonayo,inaweza ikakufanya ukabadili mawazo kwa hofu kumfuatilia [emoji23][emoji23].naamini hata kubenea Sasa hv hayuko huru ,anatembea na kulala kwa mashaka [emoji23][emoji23].
Mimi nilikuwa nadhani kuwa hata Kubenea naye ni undercover tu lakini wenye kesi wapo, ni wengine. Sasa kesi si lazima mtu aanzishe?
 
Bashite yupo wapi

FB_IMG_1644910925047.jpg
 
Back
Top Bottom