Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani siamini kama Sabaya, the son of chief kala SATE.Hata Sabaya alianza hivihivi kwa dharau lakini moto ukakolea
UNATAFUTWA MSHIKAJI....HUJAPATA MESSAGE YA MAHAKAMA COMRADE?Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa na darubini.
Katika kesi hiyo, Saed Kubenea anaomba kuweza kumshtaki Paul Makonda, hata hivyo Makonda hajaonekana Mahakamani. Kesi imeahirisha hadi Machi 2, 2022.
Makonda amepost picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram lakini hajaandika chochote.
View attachment 2113609
Sasa why mahakama inakubali kutoa kibali cha kumtafuta alipo? Wakati mtu anaonekana yupo anawaenjoy waliomshtaki yani Mtuhumiwa anajipost instagram[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mnaenda kufungua kesi za kipumbavu alafu mnalaumu serikali? Mmerogwa?
Kesi zote za jinai zinafunguliwa na jamhuri kupitia dpp.
Kubenea aliambiwa serikali haina nia ya kumshtaki makonda
Anajipa matumaini hewa! katika watu waoga Paulo Bashite ni miongoni mwao. Huwezi hata kumlinganisha na Sabaya. Makonda alikuwa anasaidiwa na mfumo tu lakini mwoga balaa!Makonda siyo wakubeza sanaa jamaa ni shupavu hatari na ndiyo maana anawacheki kwa dharau kama vile hawaoni kumbe anawaona
Mama alimwambia achore kivipi wakati huyo mama ndio mtoa maagizo nani ashuguulikiwe au aachwe?Za ndani kabisa ashachora huyo , mama alimwambia achore arudi 2025 ,
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unaumia na kuteseka sana?Wote waliokuwa na akili kipindi cha Sadam Hussein kutiwa nguvuni na Vikosi vya Marekani mtakumbuka kauli za dharau na kibri kabla ya kutiwa nguvuni.
Anachofanya Bashite ni dharau kubwa sana kwa vyombo vya dola
Mahakama na Raisi ni mihimili miwili tofaut ,Mama alimwambia achore kivipi wakati huyo mama ndio mtoa maagizo nani ashuguulikiwe au aachwe?
Mlitaka apost kitu gani? Kwamba anaomba msamaha ili mmcheke na maneno yenu ya chuki....!! Nendeni mkamtafuteWote waliokuwa na akili kipindi cha Sadam Hussein kutiwa nguvuni na Vikosi vya Marekani mtakumbuka kauli za dharau na kibri kabla ya kutiwa nguvuni.
Anachofanya Bashite ni dharau kubwa sana kwa vyombo vya dola
Eti mwoga! Ungekuwa wewe ungejipeleka mbele ya wahuni wapenda damu?Anajipa matumaini hewa! katika watu waoga Paulo Bashite ni miongoni mwao. Huwezi hata kumlinganisha na Sabaya. Makonda alikuwa anasaidiwa na mfumo tu lakini mwoga balaa!
Acha story za vijiweni. Muendesha mashtaka ni DPP,Muajiriwa wa serikaliMahakama na Raisi ni mihimili miwili tofaut ,
Hata sabaya alimtegemea Jiwe ..yupo wapi huyo Jiwe? Na kama kweli Mama ndio mtoa maagizo basi naye hana muda mrefu..Mama alimwambia achore kivipi wakati huyo mama ndio mtoa maagizo nani ashuguulikiwe au aachwe?
Kwa hiyo ameamua kutuzoom kwa mbaalii kabisa, anamaanisha Nini🤔.Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa na darubini.
Katika kesi hiyo, Saed Kubenea anaomba kuweza kumshtaki Paul Makonda, hata hivyo Makonda hajaonekana Mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Machi 2, 2022.
Makonda amepost picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram lakini hajaandika chochote.
View attachment 2113609
Natamani atuwe nguvuni, Ila kesi aliyonayo sio kesi ya jinai ni kesi ya madai. Ni Kama kesi ya musiba. Umeona kinachoendelea?Naona Masanja ameandika maoni hapo, siku mtu akitiwa nguvuni aseme hivyo hivyo, sisi watz unafiki mwingi
Mkuu hii kesi aliyonayo makonda haina issue sana, kwa kuwa sio kesi ya jinai.Hata sabaya alimtegemea Jiwe ..yupo wapi huyo Jiwe? Na kama kweli Mama ndio mtoa maagizo basi naye hana muda mrefu..
Sent using Jamii Forums mobile app