Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Nimekumbuka Gadafi kabla ya kukamatwa alikimbilia kujificha kwenye culvert,mi nimekumbuka tu nikacheka......
Scenario tofauti sanaaa. Ilikuwa baba na mwana, sasahivi ni mama na mwana
 
Ninesema Mara nyingi hapa siku hizi mahakama inachezewa na kudharauliwa sana tena wanasiasa ndio wamejijengea hiyo tabia Pro Juma CJ okoa huu Muhimili. Mnadhalilika Sana hayo makoti marefu na mishipi mnayovaa mnaonekana Kama waganda tuu hamna nguvu nyie watu kwenye kesi Kama hii ndipo wanakasirika nakumtafuta wenyewe na kulipiza kisasi
 
Yupo, nyie wajinga mmeongopewa na kubenea. Makonda yupo dar na anakula bata kama kawaida, na kafungua dry cleaner ya kisasa na wateja Kama wote
Mbona umenishukia hivyo mkuu...chawa wake nn, mi nimesema sidhani kama yupo nchini.
 
Huyo hayupo nchi hii ashasepa zake kitambo. Hapo anawacheki kwa mbali Sana, yaweza kuta yupo Visiwani Cyprus akila maisha na don Balali
 
Hivi JF moderators mnakagua signature zetu, kweli! Haya mambo yanaruhusiwa hapa Jamvini kwa mujibu wa sheria za Nchi ya Tanzania na kwa mujibu wa sheria za JF?

Ebu kagueni signature kwenye bandiko namba #41 la uzi huu.
 
Back
Top Bottom