Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhakama ipi? Mahakama ya wapi?ni kheri utafutwe na Police kuliko kutafutwa na Mahakama - endapo Mahakama itaridhia kesi iendelee basi unaweza kujikuta unapigwa miaka kadhaa na popote ulipo tayari utakuwa mfungwa.
Chezea chochote duniani ila si MAHAKAMA.
Yap...tumuache 'mwamba' ale zege.!Jamuhuri haina interest na case ya Makonda. Hakuna binadamu mkamilifu, wote waovu tu, sema levels tumetofautiana. Wamuache mwamba aendelee kuwakula bata mpk kuku waone wivu
Sana mkuu [emoji16][emoji16]Naona Masanja ameandika maoni hapo, siku mtu akitiwa nguvuni aseme hivyo hivyo, sisi watz unafiki mwingi
Kweli anaishi kama digidigi! Hapo anangalia kama wanakuja au la, pengine atokee mlango wa nyuma!Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije...
Alidhani bado ana nguvu akaamuru ndege za kivita ziue mende wote waliokuwa wamekusanyika, kumbe haikuwa kama anavyofikiri.Nimekumbuka Gaddafi kabla ya kukamatwa alikimbilia kujificha kwenye culvert,mi nimekumbuka tu nikacheka......
Huyu jamaa yupo juu ya mahakama!#WamuacheeSiku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije...
Hawezi kukubali# Ni usalamaMwambie mwamba aitikie wito
Hapo damu za watu zinamzingua
Hakuna aliyejuu ya Sheria,hakuna usalama mwenye akili hizo,huyu ataingia kwenye kibanio saaafiiiHawezi kukubali# Ni usalama
Usalama wapo juu ya mahakama?Hawezi kukubali# Ni usalama
Uvunjifu wa haki za binadamu na matumizi mabaya ya madaraka Ni kesi za madai?Natamani atuwe nguvuni, Ila kesi aliyonayo sio kesi ya jinai ni kesi ya madai. Ni Kama kesi ya musiba. Umeona kinachoendelea?
Oh YesUsalama wapo juu ya mahakama?
Mwamba mbona yuko segerea siku nyingi, Sasa aitikie wito gani tena?Mwambie mwamba aitikie wito