Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Kwa matendo maovu aliyoyaishi Mkono wa Mwenyezi Mungu ni mrefu sana, walidhulumiwa wanalia sana na huyu mtu, "waliodhulumiwa maisha" yao ndugu zao wanalia sana.
 
Hahaaa safi sana,mambo ya chuki na visasi for what.
Alaaaar!
 
Makonda siyo wakubeza sanaa jamaa ni shupavu hatari na ndiyo maana anawacheki kwa dharau kama vile hawaoni kumbe anawaona
Hana lolote mkuu kama si wakubeza ajitokeze akaoneshe umwamba wake mahakamani
 
Huyu Makonda kwenye bunge la katiba si aliwahi kusema ikizipendeza mamlaka basi mama aje hata kua makamu wa Rais? Baada ya muda mfupi kweli mama akawa Makamu wa Rais na hatimae ni Rais wetu.
Tuendelee kutafuta kiburi anakitoa wapi au tuache kufatilia ishu za watu[emoji38]
 
Watu wasijielewa bwana sasa kwani kwa sasa ana uhuru gani zaidi kujificha maana hata kama katuma hiyo picha hayupo hapa inchi hata kama yupo ajitokeze basi hadharani kama hajakamatwa
Wanataka makonda apate tabu, afungwe waseme "tulisema sisi mwisho wake utakua mbaya" lakini wanajisumbua, wnapoteza muda kama hamuamini basi tusubiri muda.
 
Wote waliokuwa na akili kipindi cha Sadam Hussein kutiwa nguvuni na Vikosi vya Marekani mtakumbuka kauli za dharau na kibri kabla ya kutiwa nguvuni.
Anachofanya Bashite ni dharau kubwa sana kwa vyombo vya dola
 
Makonda siyo wakubeza sanaa jamaa ni shupavu hatari na ndiyo maana anawacheki kwa dharau kama vile hawaoni kumbe anawaona

Picha inaongea mengi sana, kwa kifupi ni kwamba mwana bado ana shield sehemu nayo ndiyo inampa dharau namna hii
Yap!..hii kesi haimtishi kabisa, na hao waliomshitaki ni kama wanapoteza muda tu
 
Back
Top Bottom