Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

Yupo, nyie wajinga mmeongopewa na kubenea. Makonda yupo dar na anakula bata kama kawaida, na kafungua dry cleaner ya kisasa na wateja Kama wote
Dry cleaner ya Mheshimiwa iko maeneo gani kiongozi..
 
Atakuwa na siri nyingi, mpaka wanamwogopa. Mbona yuko Arusha, inajulikana , simu yuko online, wanashinndwa kum trace alipo? Mahakama inamwita aje mwenyewe au inamtafuta?
 
Mimi nilikuwa nadhani kuwa hata Kubenea naye ni undercover tu lakini wenye kesi wapo, ni wengine. Sasa kesi si lazima mtu aanzishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…