Magereza na hata JWTZ wanataka kuwawa.kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Killing spree.. Bullets ceremony! Over innocent souls😭😭😭kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Hili tukio need to investigated deep downkwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Waendelee kukaza fuvu, ikipishwa poll leo hii kukubalika kwa ccm kumeshuka vibaya mnoChuki imezidi Kwa CCM
Mioyo ya wengi inafukuto ndani yao ni sawa na bomu la kutegwa ipo siku litalipuka
Massacre 😭😭😭Killing spree.. Bullets ceremony! Over innocent souls😭😭😭
Jamaa walipewa order ya shoot on sight........Kwahiyo ni ilikuwa yeyote atakayeonekana Road !!!!
Madogo wengi siwaoni bara barani wakiosha vioo vya magariAu machizi ndo walishika bunduki jamani? Wilitwanga kila mtu, awe omba omba fyeka, wasio na makazi fyeka, wehu mitaani fyeka, mtoto fyeka, mwanamke fyeka, muandandanamaji fyeka, aliejifungia ndani fyeka, mtembea barabarani fyeka, Mchungaji fyeka, sheikh fyekelea mbaliii!!!.
Hao madogo wote wapo mbinguni si wengi wao hawakua na pa kukimbilia wao walikua wakitunguliwa kama bisi vile.JW pia walikula shaba
Madogo wengi siwaoni bara barani wakiosha vioo vya magari
Siyo road tu, popote hata nyumbani kwako. Ndiyo sababu waliouawa nje ya maandamano ni wengi zaidi kuliko waandamanajiKwahiyo ni ilikuwa yeyote atakayeonekana Road !!!!