PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.

Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Kulingana na polisi, huyo anatoka nje ya nchi!
 
Mbwa kala mbwa... hawa si ndio wanatambaga mahakamani wakimpeleka kamanda Lissu...
Kafa au kawa majeruhi?
 
Zero brains wakiwa na silaha walifyatua kwa yoyote waliyemkuta mbele yao.
20251104_030225.jpg
 
Back
Top Bottom