Nitaenda Misaa yaTatu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2025
- 403
- 812
ThibitishaJW pia walikula shaba
ThibitishaJW pia walikula shaba
Kwa kweli inaleta maswali mengi sana huu ufyatuajiAu machizi ndo walishika bunduki jamani? Wilitwanga kila mtu, awe omba omba fyeka, wasio na makazi fyeka, wehu mitaani fyeka, mtoto fyeka, mwanamke fyeka, muandandanamaji fyeka, aliejifungia ndani fyeka, mtembea barabarani fyeka, Mchungaji fyeka, sheikh fyekelea mbaliii!!!.
Yani nimeona udhibiti wa maandamano mengi katika nchi mbali mbali ila sikuwahi kushuudia aina hii ya udhibiti huu wa nchini kwetu. Rudisha mabomu ya machozi stoo na magari ya washawasha gereji, vua sare za polisi vaa kiraia mpaka jezi za tumu zetu pendwa shika bunduki fyeka kila binadamu awe kibarazani kwake, ndani ya ukuta wake, chumbani, sebuleni awe anakula chini ya mti nyumbani kwake we mwaga ubongo wake. Asèe sijui walipagawa wale polisi?Kwa kweli inaleta maswali mengi sana huu ufyatuaji
Sasa kuna jamaa alisema kuna mahali askar walikuwa juu ya jengo na wakawa wanashoot yeyote anaepita kwa chini,
Ukipata wasaa ukasikiliza video ya Sativa juu ya ushuhuda wake alipotekwa utaelewa aina ya watu waliopo katika hili genge/vikosi kazi au jina lolote linalowafaa.Au machizi ndo walishika bunduki jamani? Wilitwanga kila mtu, awe omba omba fyeka, wasio na makazi fyeka, wehu mitaani fyeka, mtoto fyeka, mwanamke fyeka, muandandanamaji fyeka, aliejifungia ndani fyeka, mtembea barabarani fyeka, Mchungaji fyeka, sheikh fyekelea mbaliii!!!.
Nani ana hatia ya kuuliwa ? Tukishaanza kwenye hio premise matokeo yake ndio tunafika hapa...Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Mbeya ilitokea hivyo! Walikuwa juu kabisa ya Hotel ya GR pale Kabwe...jamaa alikuwa anazunguka tu,anapiga Isanga,anapiga Soweto anapiga Mafiati...daahKwa kweli inaleta maswali mengi sana huu ufyatuaji
Sasa kuna jamaa alisema kuna mahali askar walikuwa juu ya jengo na wakawa wanashoot yeyote anaepita kwa chini,
Ilikua heri utoke kuandamana kuliko kujitenga na maandamano... Waliobaki nyumbani au kupita kwa mbali wakikwepa maandamano ndio waliodhurika zaidi
Ukipata wasaa ukasikiliza video ya Sativa juu ya ushuhuda wake alipotekwa utaelewa aina ya watu waliopo katika hili genge/vikosi kazi au jina lolote linalowafaa.
Wana mitusi, Discussion zao reasoning 0, wanavuta mibangi hadi gari linajaa moshi, Wanaanzisha safari haijulikani nani amepewa pesa ya mafuta, mafuta yakikaribia kuisha wanaanza kubishana wao kwa wao mwisho wanaongeza mafuta ya elfu 50, Msikilize Sativa vizuri ameeleza haya, Hii inasema nini? Maana yake hii ni mihuni iliyopelekwa course ili ije ilinde raia na mali zao, with 0 manners walizonazo na walivyojikatia tamaa wamekabidhiwa silaha za moto.. Haijanishangaza kuiona kwenye clip kwenye vichochoro visivyokuwa na watu ikilipua risasi za moto kuelekea uelekeo wowote.
Huyu atakuwa mkenya...kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Lianguke tu hata sasa hivi!MAMA YENU SI MUDA MREFU ANAANGUKA.
Ndiyo, ni kwasababu hawana weledi wa kazi inayowalipa mshahara. They are incompetentKwahiyo ni ilikuwa yeyote atakayeonekana Road !!!!
Ndio ubaya wa police wetu,order ya shoot on sight
They are too dumb to reason.Ndio ubaya wa police wetu,
Is like machinery. Once commanded, Reasoning sio kazi yao!